Watu 21 wafariki katika mashambulizi dhidi ya mabasi Sudan Kusini

1

Ofisa wa Sudan Kusini amethibitisha kuwa, Watu 21 waliuawa na wengine 25 walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya mabasi waliyokuwa wakisafiria kushambuliwa Ijumaa na watu wenye silaha, yakiwa njiani kutoka Juba kuelekea Bor.

Ofisi ya habari ya jimbo la July imesema, magari hayo mawili yalisimamishwa na kushambuliwa kwa risasi kwenye kituo cha ukaguzi kisichotumika.

Hivi sasa uchunguzi kuhusu shambulizi hilo unaendelea.

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

RFI

Watu 21 wauawa katika shambulizi kusini mwa Sudan Kusini

Watu ishirini na moja, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, waliuawa Jumamosi katika shambulizi lililohusishwa waasi wa Sudan Kusini kwenye barabara inayotokea mji mkuu, Juba, katika mji wa Yei, kusini mwa Sudan Kusini inayokumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwishoni mwa mwaka 2013, polisi imetangaza Jumatatu hii.

 

3 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU 24 WAFARIKI DUNIA KATIKA TUKIO LA AJALI YA MABASI MAWILI YA KAMPUNI MOJA MANYONI, MKOANI SINGIDA LEO

Taarifa iliyotukikia chumba chetu cha habari muda huu, inaeleza kuwa ajali mbali iliyohusisha mabasi mawili ya abiria, imetokea katika eneo la Manyoni Mkoani Singida na kupelekea vifo vya abiria 24 papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Akizungumza kwa njia ya kuelezea ajali hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea majira ya saa nane mchana wa leo, ambayo inayahusisha mabasi ya Kampuni moja ya CITY BOYS ambalo moja lilikuwa...

 

5 years ago

Michuzi

BREANKING NYUZZZ.....: ZAIDI YA WATU 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MABASI ILIYOTOKEA MCHANA HUU MJINI MUSOMA ANEO MAARUFU LA SABA SABA

 Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari Mkoani Mara likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba,Mjini Musoma mchana huu.

Watu zaidi ya 35 wamepoteza maisha papo hapo na wengine zaidi ya 86 kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio hivi sasa,inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo Basi la J4...

 

2 years ago

Channelten

Watu zaidi ya 90 wauawa katika mapigano mapya Sudan Kusini

22137031_1287831941328116_4844227734733686638_o

Jeshi la Sudan Kusini limesema limeua waasi 91 na kujeruhi wengine kadhaa baada ya mapigano mapya kutokea katika eneo la Waat lililoko mkoa wa Bieh nchini humo.

Msemaji wa jeshi hilo Lul Ruai Koang amesema, mapigano hayo yalitokea jumapili, na kuna uwezekano wa vifo na majeruhi kuongezeka kwa kuwa mapigano hayo yaliendelea tena jana. Amesema katika mapigano ya jumapili, askari wanne pia waliuawa.

Koang amesema hakuna raia waliouawa isipokuwa wapiganaji wa kabila la Lou-Nuer ambao wengi wao...

 

1 year ago

RFI

Watu 43 wauawa katika machafuko ya kikabila nchini Sudan Kusini

Mapigano ya kikabila yamesababisha vifo vya watu 43 na 19 kujejeruhiwa katika jimbo la Kusini mwa Sudan la Jonglei katikati ya nchi, viongozi wa jimbo hilo wamesema leo Jumatano.

 

1 year ago

RFI

Zaidi ya watu 60 wauawa katika mapigano kati ya makabila hasimu Sudan Kusini

Katika vita vya hivi karibuni ambavyo vilianza mnamo Desemba 6, watu zaidi ya 60 waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa, wabunge wawili wa jimbo la Western Lakes, kilomita 250 kaskazini magharibi mwa Juba, mji mkuu wa Sudan Kusini.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Jeshi, upinzani Sudan yaunda kamati kuchunguza mashambulizi dhidi ya waandamanaji

Kamati ya kijeshi inayosimamia serikali ya mpito nchini Sudan, imeunda kamati ya pamoja na muungano wa upinzani unaopigania uhuru na mabadiliko, kuchunguza mashambulizi yanayowalenga waandamanaji.

 

2 years ago

Channelten

Sudan na Sudan Kusini zajadili mpango wa ziara ya rais wa Sudan Kusini nchini Sudan

qw

Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Bw. Ibrahim Ghandour na balozi wa Sudan Kusini nchini humo Bw. Mayan Dot, wamejadili mpango wa ziara atakayofanya rais Salva Kiir wa Sudan Kusini nchini Sudan.

Maofisa hao pia wamejadili ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, na kuharakisha utekelezaji wa matokeo ya mikutano ya kamati ya pamoja ya siasa na usalama iliyofanyika hivi karibu na mpango wa mawasiliano kati ya wizara za mafuta za nchi hizo mbili.

Waziri huyo wa Sudan ameihimiza serikali ya Sudan...

 

3 years ago

BBCSwahili

Maandamano dhidi ya rais Kabila: Watu 17 wafariki DRC

Takriban watu 17 wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia maandamano yanayomtaka rais Joseph Kabila kujiuzulu.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani