WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA LORI KIJIJI CHA KATIKA KIJIJI CHA KIJOTA, SINGIDA.

Watu sita wamefariki dunia huku wengine 42 wakijeruhiwa baada ya lori lenye namba za usajili T.806 AEL aina ya scania mali ya Abdalla Mussa (39) mfanyabiashara mkazi wa Mwenge mjini Singida, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kijota, Singida.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Debora Magiligimba amesema ajali hiyo imetokea Agosti 27 mwaka huu saa 1.30 usiku katika kijiji cha Kijota wakati likitokea mnadani katika kijiji cha Mtinko Singida vijijini, likielekea Singida mjini.
ACP...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

WATU 21 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI KIJIJI CHA MCHINGA, LINDI

Afisa wa polisi akisimamia mizigo ya abiria waliokuwa wakisafiri katika basi la SB lenye namba za usajili T607 BDG lililokuwa njiani kuelekea Dar es salaam kutoka Nachingwea na kupata ajali katika kijiji cha Mchinga mkoani Lindi. Abiria 21 wamejeruhiwa na wamelazwa kwa matibabu katika hospitali ya mkoa Lindi.
Basi la SB lenye namba za usajili T607 BDG lililokuwa njiani kuelekea Dar es salaam kutoka Nachingwea baada ya ...

 

2 years ago

Michuzi

DC NDEJEMBI ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KATIKA KIJIJI CHA SILWA KATA YA PANDAMBILI NA KUMUAGIZA MKURUGENZI KUMSIMAMISHA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI CHA SILWA.

Leo (jana) baada ya shuguli ya kuadhimisha miaka 17 toka Mwalimu Nyerere afariki, DC Ndejembi na Mkurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya ya Kongwa Ndg Izengo walifanya ziara ya kushtukiza katika Kijiji Cha Silwa kata ya Pandambili Baada ya kupata taarifa kuna uchimbaji wa madini aina ya KONISUPHIRE unaofanyika na wafanyabiashara bila kua na vibali vyovyote. 
Baada ya kufika eneo la tukio wakabaini mtendaji wa kijiji Ndg Michael Boniface Magenje alitoa eneo bila kutoa nakala kwenye Kata wala...

 

3 years ago

Ippmedia

Msafara wa makamu wa rais wapata ajali katika kijiji cha Malanje mkoani Mtwara.

Msafara wa makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani, ambao ulikuwa unaelekea wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara, kwa ziara ya kikazi umepata ajali katika kijiji cha Malanje, halmashauri ya wilaya ya Mtwara na kusababisha wasaidizi wake wanne kujeruhiwa na 

Day n Time: IJUMAA SAA 2: 00 USIKUStation: ITV

 

2 years ago

Channelten

JESHI la Polisi wilayani Mufindi linawashikilia watu wawili wakazi wa kijiji cha Ihanganatwa kwa tuhuma za kujihusisha na kilimo cha bangi

IMG_20170406_142352

JESHI la Polisi wilayani Mufindi mkoani Iringa linawashikilia watu wawli wakazi wa kijiji cha Ihanganatwa kata ya Maduma kwa tuhuma za kujihusisha na kilimo cha bangi.

cha zaidi ya vitalu vitatu hali inayosababisha kuendelea kusambaza madawa ya kulevya katika kijiji chao.

Akizungumza wakatia wa zoezi la uteketezaji wa madawa hayo ya kulevya aina ya bangi, mkuu wa wilaya ya Mufindi Bw. Jumuhuri William amesema zoezi hilo ni endelevu na amewataka wananchi ambao wanaojihusisha na kilimo hicho...

 

1 year ago

Malunde

WATU 6 WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI LA TAKA DODOMA


Watu sita wamefariki papo hapo na wengine sita kujeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria kugongana na lori mjini Dodoma.
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Gillece Muroto amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Machi 4, 2018 majira ya mchana wakati daladala iliyokuwa na abiria zilipogongana na lori hilo.
"Taarifa zaidi nitazitoa baada ya kufuatilia lakini kwa ufupi ajali hiyo ipo na watu sita wamekufa na wengine sita wapo katika hospitali ya rufaa ya mkoa na hali zao sio nzuri," amesema...

 

5 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...

 

2 years ago

Channelten

Watu wawili wamefariki Dunia katika kijiji cha Ruhokwe baada ya kupigwa na radi

radi

Watu wawili wamefariki Dunia katika kijiji cha ruhokwe baada ya kupigwa na radi na wengine wanne kujeruhiwa huku majumba 157 pamoja na madarasa 4 kati ya 7 ya shule ya msingi Muungano iliyo kata ya mnazi mmoja manispaa ya Lindi zimeezuliwa na upepo mkali uliombatana na mvua iliyonyesha jana katika wilaya ya Lindi.

Vifo hivyo vya watu 2 na wengine kujeruhiwa kwa radi vimetokea katika kijiji cha Ruhokwe wilayani lindi huku katika kata ya mnazi mmoja ambapo nyumba 157 pamoja na madarasa 4 kati...

 

2 years ago

Channelten

Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia machimbo ya dhahabu yaliyopo katika kijiji cha Nyakavangara

Screen Shot 2017-06-10 at 7.38.12 PM

Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia machimbo ya dhahabu yaliyopo katika kijiji cha Nyakavangara tarafa ya Isimani ktk halmashauri ya wilaya ya Iringa mkoani Iringa na kuwapora wachimbaji wadogo katika machimbo hayo zaidi ya shilingi milioni 80 pamoja na dhahabu yenye uzito wa gramu 480.

Katika tukio hilo la uvamizi wa kutumia silaha za moto wachimbaji 9 wamejeruhiwa na na kulazwa ktk hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa kwa matibabu huku mmoja kati yao akielezewa kuwa ktk hali ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani