Watu watatu watiwa mbaroni kwa shutuma za kuua Simba

Maafisa nchini Tanzania wanasema wamewatia mbaroni watu watatu wanoshukiwa kuwapatia sumu simba tisa katika mbuga maarufu ya taifa hilo ya Serengeti

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Watu Watatu Watiwa Mbaroni kwa Kuiba Ng’ombe wa Rais Museveni

Rais Museveni KAMPALA: Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Kampala, Uganda kwa tuhuma za kuiba ng’ombe ambao idadi yake haijajulikana vizuri katika shamba la Rais wa nchi hiyo, Yoweri Kaguta Museveni, polisi walisema jana Jumapili. “Mmoja kati yao anafanya kazi kwenye shamba la rais Museveni. Walikuwa wakipeleka ng’ombe hao mnadani kuuza,” Mkuu wa [...]

 

5 years ago

Michuzi

WATU WATATU WATIWA MBARONI MKOANI PWANI,WAKUTWA NA BASTOLA NA SARE ZA JESHI

Na John Gagarini, Kibaha
JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kuwakamata watu watatu akiwemo mtu Daniel Mtalisi mkazi wa Kisemvule wilaya ya Mkuranga ambaye alipitia mafunzo ya kijeshi kwa tuhuma za kufanya tukio la uhalifu wa kupora silaha na vitu mbalimbali.
Mtuhumiwa huyo ambayealiwahi kupata mafunzo ya kijeshi kwenye Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi namba 833 Oljoro Arusha na namba yake ni MT. 95150.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa waandishi wa habari mjini Kibaha,...

 

4 years ago

Michuzi

WATATU WATIWA MBARONI JIJII DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion iliyopo  maeneo ya Ununio, Mbezi Beach wilaya ya kipolisi Kawe mkoa wa kipolisi wa Kinondoni aliyejulikana kwa jina la ANNA D/O MIZINGI, Miaka 48, Mfanyabiashara, Mkazi wa Boko.
Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa za mchana mtoa taarifa alifika kituo cha Polisi na kueleza kwamba marehemu ANNA D/O MIZINGI aliondoka tangu tarehe 26/12/2014 majira ya saa 1:00hrs...

 

3 years ago

Dewji Blog

Watu wanne watiwa mbaroni kwa tuhuma za ujambazi

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kupitia kikosi cha kupambana na ujambazi wa kutumia silaha limekamata watu wanne kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi wa kanda hiyo, Hezron Gymbi amesema watuhumiwa hao walikamatwa jana maeneo ya Chamanzi muda mfupi baada ya kukutana na kupanga kufanya uhalifu wa kutumia silaha.

Watuhumiwa hao wanaofahamika kwa majina ya Uswege Seleman (23), Hassan...

 

2 years ago

Dewji Blog

Watu wawili watiwa mbaroni kwa kusababisha kifo mjamzito

Watu  wawili wakazi wa kijiji cha Itagata tarafa ya Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kufanya uzembe wa kumchelewesha Heleni Maduhu (29), kitendo kilichosababisha afie  kwenye duka la madawa muhimu.

Watuhumiwa hao ni mume wa Heleni, Bahame Kamuda (32) na mmiliki wa duka la dawa muhimu, Joseph Hengwe.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, ACP Debora Magiligimba, alisema tukio hilo limetokea Januari, 25 mwaka huu saa 9:30 alasiri  huko...

 

2 years ago

Bongo5

Watu 10 watiwa mbaroni kwa kumchapa mwanamke hadharani mkoani Mara

Kufuatia tukio lililotokea hivi lililoonyesha mwanamke mmoja akichapwa viboko visivyo na idadi mbele ya umati wa watu, Jeshi la Polisi limewatia mbaroni watu kumi kwa kuhusika na tukio hilo lilitokea mkoani Mara.

Hii taarifa ya jeshi hilo:

Hivi karibuni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangallah alisema serikali imepinga vikali kitendo hicho huku ikisisistiza kutofumbia macho matukio kama hayo.

BY: Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com...

 

2 years ago

Bongo5

Arusha: Watu 80 watiwa mbaroni kwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya

Jeshi la polisi mkoani Arusha linawashikilia watuhumiwa 80 akiwemo askari moja wa polisi kwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya

Aizungumza na wanahabari ofisini kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema kuwa msako uliofanyika mwanzoni mwa mwezi huu umefanikisha kukamata misokoto 3,845 ya bangi na mirungi Kilogramu 33 pamoja na kete 167.

Alisema, “Katika misako hiyo ambayo ilifanyika wilaya zote sita za mkoa huu, watuhumiwa 54 walipatikana kwenye tuhuma za...

 

1 year ago

Malunde

WATU WAWILI WATIWA MBARONI KWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KIONGOZI WA CHADEMA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Slaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Kiongozi wa chama cha Chadema Kata ya Hananasifu, Marehemu Daniel John.

Akizungumza na wanahabari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa alisema watu hao walikamatwa majira ya saa nne usiku, Februari 23 mwaka huu maeneo ya Hananasifu Kinondoni.
“Kufuatia uchunguzi unaoendelea juu ya mauaji hayo, walikamatwa watu wawili...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani