Wavuvi 109 kutoka Tanzania wakamatwa Kenya

Jeshi la wanamaji wa Kenya liliwakamata raia 109 wa Tanzania kwa kushiriki katika uvuvi haramu katika himaya ya maji ya Kenya katika bahari hindi.

Wavuvi hao walikamatwa katika eneo la Shimoni , linalomiliki bandari kusini mashariki mwa Kenya karibu na mpaka na taifa la Tanzania na kuwasilishwa mbele ya mahakama ya kaunti ya Kwale siku ya Jumatatu.

Wavuvi hao walizuiliwa baada ya kushindwa kulipa dhamana ya shilingi 20,000 za Kenya kila mmoja wao lilisema gazeti la Biashara nchini...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

VOASwahili

Wavuvi 109 kutoka Tanzania washikiliwa Kenya

Serikali ya Kenya inasema kwamba wavuvi 109 kutoka Tanzania, waliokamatwa katika bahari Hindi, waliingia maji ya Kenya bila idhini na walivunja shera za uhamiaji pamoja na kanuni za uvuvi.

 

8 months ago

BBCSwahili

Kenya yawakamata wavuvi 109 wa Tanzania

Jeshi la wanamaji wa Kenya Jumamosi iliopita liliwakamata raia 109 wa Tanzania kwa kushiriki katika uvuvi haramu katika himaya ya maji ya Kenya katika bahari hindi

 

2 years ago

VOASwahili

Watu 35 kutoka Ethiopia wakamatwa Kenya

Polisi wa Kenya, wamekamata watu thelathini na watano wanaoaminika kuwa raia wa Ethiopia, katika operesheni ya kukabiliana na usafirishaji haramu wa binadamu.

 

1 year ago

Channelten

Wavuvi wanne wakamatwa kuhusika na Uvuvi haramu

picha-6-1024x768

Ofisi ya Udhibiti wa Rasilimali za Uvuvi kitengo cha doria, mkoani Kigoma, imefanikiwa kukamata wavuvi wanne kwa kosa la kuvua samaki wachanga katika Ziwa Tanganyika, kwa kutumia zana zisizokubalika kwa mujibu wa sheria ya uvuvi namba 22 ya mwaka 2003.

Afisa mfawidhi wa usimamizi na udhibiti wa uvuvi haramu mkoa wa Kigoma, Rodrick Mahimbali, amesema pia wamekamata nyavu haramu zenye thamani ya shilingi milioni 50 pamoja na injini tano za boti zenye thamani ya shilingi milioni 80 wakati wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Uingiaji wa Meli kutoka Nje Waleta Kero kwa Wavuvi wa Chwaka

Wavuvi wa kijiji cha Chwaka wamepiga hatua ya kuweza kudhibiti uvuvi haramu kijijini humo kwa lengo la kuleta maendeleo ya uvuvi .

Kauli hiyo imetolewa na wananchi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na Mwandishi wa habari hizi, walisema kudhibitiwa  kwa uvuvi haramu kijijini humo kumetokana na mashirikiano makubwa baina  ya wananchi na wavuvi.

Walisema mafanikio hayo yametokana na  kuunda  kwa kamati ya uvuvi yenye lengo la kuwasimamia  shughuli  zote za bahari pamoja na kufuata maelekezo...

 

2 years ago

VOASwahili

Mzozo wa uvuvi wazuka katika kisiwa cha Sigulu kati ya wavuvi wa Kenya na Uganda.

Inaelezwa kuwa kisa hiki si cha kwanza kutokea kwani wavuvi katika eneo la Marenga wamekuwa wakikamatwa na maafisa wa usalama wa Uganda kila mara.

 

4 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 64 kutoka Ethiopia wakamatwa

Wahamiaji haram 64 kutoka Ethiopia wamekamatwa nchini Tanzania wakiaminika kwenda kusini mwa Afrika.

 

4 years ago

BBCSwahili

Vipigo kutoka Kenya,ni somo:Tanzania

Kocha wa timu ya taifa ya kriketi Tanzania Hamisi Abdallah amesema kipigo ilichokipata timu yake hivi karibuni kimempa somo .

 

1 year ago

Zanzibar 24

Nane kutoka Ethiopia wakamatwa mbagala

Idara ya uhamiaji nchini inawashikilia raia nane wa Ethiopia waliokuwa wanasafirishwa kwenda Mtwara kwa kutumia usafiri wa lori lenya namba za usajili T 181 DKB likiwa na trailer lenye namba za usajili T 961 DKA mali ya kampuni ya DANGOTE.

Kamishna wa utawala na fedha wa idara ya uhamiaji nchini amesema watu hao wamekamatwa eneo la Kongowe Mbagala wakiwa katika harakati za kusafirishwa kuelekea Mtwara ambapo idara hiyo pia inawashikilia watanzania wanne ambao wanadaiwa kushiriki kwenye...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani