Wavuvi wa Kijiji cha Nungwi Walalamikia Uvuvi Haramu Katika Bahari

Mwananchi Mvuvi wa Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na uvuvi haramu unaofanywa na baadhi ya makampuni katika ukanda wao wa bahari ya nungwi kwa kutumia bunduki na mishale wakati wa uvuvi wao na kuwakimbiza samaki katika maeneo hayo na wao inawalazimu kwenda kuvua sehemu ya mbali na eneo hilo kutokana na samaki kukimbilia maeneo mengine, wameitaka taasisi husika kulichunguza hilo.Mwananchi wa Kijiji cha nungwi Unguja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

SERIKALI KUTUMA KIKOSI MAALUM CHA KUKABILIANA NA WAVUVI HARAMU UNAOENDELEA KATIKA BAHARI YA HINDI

Makamu wa Rais akiwasalimia wananchi katika mji wa Nangurukuru Wilaya ya Kilwa waliojitokeza kwa wingi wakati akipita kuelekea Mkoani Mtwara kwa ziara ya kiserikali.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amesema serikali itatuma kikosi maalum cha kukabiliana na uvuvi haramu unaoendelea katika bahari ili kudhibiti na tatizo hilo ambalo limeathiri sana mazalia ya samaki na kuchangia kupungua kwa samaki baharini.

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN ametoa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Bahari kuu kutumia anga kusaka wavuvi haramu

Mamlaka ya Bahari Kuu imeanza doria kwa njia ya anga kuzisaka meli zinazovua na kuvuka mpaka katika bahari ya Hindi bila ya leseni.

Zoezi hilo limeanzia Zanzibar ambapo ndipo kwenye makao makuu ya mamlaka hiyo, limeshirikisha maofisa waandamizi wa vikosi vya baharini vya JWTZ, KMKM na polisi

The post Bahari kuu kutumia anga kusaka wavuvi haramu appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Channelten

Wavuvi wanne wakamatwa kuhusika na Uvuvi haramu

picha-6-1024x768

Ofisi ya Udhibiti wa Rasilimali za Uvuvi kitengo cha doria, mkoani Kigoma, imefanikiwa kukamata wavuvi wanne kwa kosa la kuvua samaki wachanga katika Ziwa Tanganyika, kwa kutumia zana zisizokubalika kwa mujibu wa sheria ya uvuvi namba 22 ya mwaka 2003.

Afisa mfawidhi wa usimamizi na udhibiti wa uvuvi haramu mkoa wa Kigoma, Rodrick Mahimbali, amesema pia wamekamata nyavu haramu zenye thamani ya shilingi milioni 50 pamoja na injini tano za boti zenye thamani ya shilingi milioni 80 wakati wa...

 

2 years ago

Mwananchi

Wavuvi haramu wawajeruhi maofisa uvuvi kwa kipigo

Zaidi ya maofisa uvuvi 10 mkoani Mwanza wamekutana na kipigo kutoka kwa wavuvi haramu wakati walipokwenda kukamata zana zao walizokuwa wamezamisha majini katika mwalo wa Igombe Manispaa ya Ilemela ili kutega samaki.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Serikali kudhibiti uvuvi haramu bahari kuu

Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  imesema  itafanya operesheni katika maeneo ya bahari kuu kutafuta meli za kigeni zinazovua uvuvi haramu.

Akizungumza katika mafunzo  ya uvuvi Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya kusimamia uvuvi wa bahari kuu Hosea Gonza Mbilinyi amesema shughuli za uvuvi zinazoendeshwa na meli za kigeni bila ya kibali zinaikosesha serikali mapato yake.

Amesema serikali imeamua kuchukua hatua hiyo ili kukamata meli za kigeni zinazovua kwenye maeneo ya bahari ya...

 

2 years ago

VOASwahili

Mzozo wa uvuvi wazuka katika kisiwa cha Sigulu kati ya wavuvi wa Kenya na Uganda.

Inaelezwa kuwa kisa hiki si cha kwanza kutokea kwani wavuvi katika eneo la Marenga wamekuwa wakikamatwa na maafisa wa usalama wa Uganda kila mara.

 

3 years ago

Michuzi

PAMOJA NA KUWAOMBA KURA,MAGUFULI AWAASA WAVUVI KUTOFANYA UVUVI HARAMU.

 Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukihutubia maelfu ya wananchi wa kijiji cha Nkome,Geita Vijijini Mkoani Geita kwenye mkutano wa kampeni,Dk. John Pombe Magufuli aliomba kura za ndiyo kwa wananchi ili wamchague na kuwa rais wa Tanzania  katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote ukishirikisha vyama vingi vya siasa

Dk Magufuli akiwahutubia wananchi hao  ambao wengi wao ni wavuvi....

 

3 years ago

StarTV

Wavuvi Butundwe Geita wakamata mitumbwi 9 kwenye operesheni ya kutokomeza uvuvi haramu..

VIBAKA 3005.00_00_02_14.Still001

Baadhi ya Wavuvi haramu wanadaiwa kuingia katika kijiji cha Lukumbi wilayani Geita na kuvamia maeneo ya mazalia ya samaki ambayo hayaruhusiwi kufanya shughuli za uvuvi mpaka baada ya miezi sita.

Wavuvi hao wanadaiwa kuwapiga na kuharibu zana za wavuvi wanaovua kwa kutumia ndoano kijijini hapo.
Hatua hiyo imesababisha wanakijiji kuungana na kufanya operesheni ziwani na kufanikiwa kukamata mitumbwi 9 yenye thamani ya shilingi milioni 3.6 na Makokoro 9 huku wavuvi haramu wakiwa...

 

2 years ago

Channelten

Mapambano dhidi ya uvuvi haramu, baadhi ya wavuvi wasema matunda yameanza kuonekana

qr

Baadhi ya wavuvi wa samaki katika manispaa ya Mtwara Mikindani wamesema kuwa juhudi zilizofanywa na serikali za kupambana na uvuvi haramu zimeanza kuzaa matunda baada ya uvuvi huo kupungua kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miezi mitatu sasa na kuwezesha samaki kuanza kupatikana kwa urahisi zaidi.

Majira ya saa kumi na mbili asubuhi wachuuzi wa samaki kwa wingi wao wanafika katika bandari ya uvuvi ya mikindani kununua samaki. Samaki wengi wanaouzwa hapa ni samaki wadogo yaani dagaa

Wavuvi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani