Wawekezaji Ziwa Tanganyika waishukuru Serikali

3123

BAADHI ya wawekezaji wa Mwambao wa Ziwa Tanganyika katika wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa wameipongeza serikali kwa hatua inazozichuku katika kudhibiti Rushwa, Ufisadi na ubabaishaji ikiwa ni pamoja na kuweka wazi matumizi ya pesa zinazotokana na mapato ya kodi zinazokusanywa nchini.

Wakizungumza katika Mwambao wa Ziwa Tanganyika, wawekezaji hao wamesema kuwa hatua zinazochukuliwa na Rais tangu aingie madarakani miaka miwili sasa zimeweka mazingira mazuri kwa uwekezaji kutokana na kupunguza...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA WAWEKEZAJI LA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA LEO SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Uwekezaji la Ukanda wa ziwa Tanganyika linalojumuisha Mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma. kongamano hilo linafanyika leo 01 Nov 2014  katika Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, Mkoani Rukwa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi na tano kwa wajasiriamali wadogo wadogo wa Sumbawanga...

 

2 years ago

Michuzi

DC wa Tanganyika,Saleh Mhando akagua shughuli mbalimbali za uvuvi ziwa Tanganyika mkoani Katavi


Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi,Mh.Saleh Mbwana Mhando leo amefanya ziara ya kutembelea na kukagua shughuli mbalimbali za uvuvi wa samaki aina ya Sangara na Dagaa katika mwambao wa ziwa Tanganyika mkoani humo.Dc Mhando amesema kuwa ziara hiyo imelenga kuangalia fursa mbalimbali zilizopo na kuwawezesha wavuvi hao wadogo wadogo.Pichani Dc Mhando (pili kulia) akipata maelezo mafupi kuhusiana na mradi huo wa kukausha dagaa pembezoni mwa ziwa Tanganyika,mkoani Katavi.

Samaki...

 

10 months ago

Michuzi

Serikali yadhamiria kufanikisha utafutaji na upatikanaji wa mafuta katika bonde la Eyasi Wembere na ziwa Tanganyika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kufanikisha utafutaji na upatikanaji wa mafuta yaliyopo katika bonde la Eyasi Wembere na ziwa  Tanganyika hapa nchini ili Tanzania ianze kunufaika na rasilimali hiyo.

Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo muda mfupi baada kupokea taarifa ya maendeleo ya utafiti wa mafuta katika maeneo ya bonde la ufa ya Eyasi Wembere na ziwa Tanganyika, iliyowasilishwa na timu ya wataalamu wa...

 

2 years ago

Channelten

Uvamizi Ziwa Tanganyika

boti

Wavuvi  katika ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma wameiomba serikali kutumia vikao vya ujirani mwema kwa ushirikiano wa nchi jirani kukomesha vitendo vya uvamizi vinavyojitokeza katika Ziwa Tanganyika na kuadhiri mfumo wa maisha ya wavuvi.

Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wavuvi pamoja na wafanyabiashara wanaojishughulisha na uchakataji wa mazao ya samaki na dagaa katika mwalo wa Katonga uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani hapa.
Wamesema ujambazi unaofanyika katika ziwa hilo mara kadhaa...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika

WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...

 

4 years ago

Dewji Blog

Masaa 14 ya safari ya Kinana Ziwa Tanganyika

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka mkoa wa Kigoma kuelekea Karema mkoani Katavi kwa siku nne.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kijiji cha Sigunga wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipowasili kijijini hapo kuzungumza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi,wengine wanaonekana kwenye picha ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Abeid Karume.

ccm 1

Katibu Mkuu wa CCM...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Majambazi yavamia wavuvi Ziwa Tanganyika

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakiwa na silaha wamevamia wavuvi katika Ziwa Tanganyika na kuwapora zana mbalimbali za uvuvi zikiwemo mashine saba za boti...

 

2 years ago

BBCSwahili

Sababu ya samaki kupungua Ziwa Tanganyika

Utafiti mpya umebaini kupungua pakubwa kwa idadi ya samaki katika Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa muhimu zaidi kwa uvuvi duniani, kumetokana na ongezeko la joto duniani katika karne moja iliyopita.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani