WAWILI WATIWA MBARONI KWA MAUAJI YA MTOTO MKOANI MBEYA


Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili waliofahamika kwa majina ya 1. JAPHET YAHAYA NGUKU [37] na ANDREW ANGANILE MWAMBULUMA kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa miaka sita [06] aitwaye ROSE JAPHET Mkazi wa Kijiji cha Msewe, Wilayani Mbarali.

Ni kwamba mnamo tarehe 03.05.2019 majira ya saa 21:00 usiku huko Kijiji cha Msewe kilichopo Kata ya Igurusi, Tarafa ya Ilongo, Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya katika msitu wa hifadhi wa Chimala Mtoto aitwaye ROSE JAPHET [06] alikutwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

WATU WAWILI WATIWA MBARONI KWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KIONGOZI WA CHADEMA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Slaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Kiongozi wa chama cha Chadema Kata ya Hananasifu, Marehemu Daniel John.

Akizungumza na wanahabari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa alisema watu hao walikamatwa majira ya saa nne usiku, Februari 23 mwaka huu maeneo ya Hananasifu Kinondoni.
“Kufuatia uchunguzi unaoendelea juu ya mauaji hayo, walikamatwa watu wawili...

 

5 years ago

Michuzi

WATU WATANO (5) MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MADEREVA WAWILI WA BODABODA MKOANI DODOMA

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watano (5) kwa kuhusika na mauaji ya madereva wawili wa bodaboda kwa nyakati tofauti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watuhumiwa watatu ambao ni ALEX S/O LETEMA LEWENJE mweye umri wa miaka 20, Mkaguru, ANDREA S/O MAJUTO CHIGUNDULA mwenye umri wa miaka 24, Mkaguru na NABAKI S/O MAUNGO MWIGOE mwnye umri wa miaka 23, Mkaguru wote...

 

1 week ago

RFI

Watu wawili washikiliwa na polisi Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto

Polisi mkoani Mbeya nchini Tanzania, wanashikilia watu wawili kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa miaka sita Rose Japhet, aliyeuawa kutokana na imani za kishirikina.

 

5 years ago

Mwananchi

Wawili watiwa mbaroni kwa ‘unga’

Kikosi cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia), kimewakamata mkazi wa Ilala na raia wa Nigeria, kwa tuhuma za kukutwa na begi lenye kilo 4.8 za dawa zinazodhaniwa kuwa ni za kulevya.

 

1 year ago

Zanzibar 24

14 watiwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Watu 14 washikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Tabora kwa tuhuma za mauaji, wizi pamoja na kukutwa na noti bandia.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Wilbroad Mutafungwa amesema kuwa watuhumiwa 10 kati ya hao wanaoshikiliwa wanatuhumiwa kwa kosa la mauaji, watatu kwa tuhuma za wizi na mmoja kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia.

Kwa mujibu wa Kamanda Mtafungwa amesema kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa katika msako ulifanyika katika wilaya mbalimbali za mkoa huo na kubaini watuhumiwa hao wakiwemo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Viongozi watiwa mbaroni kwa mauaji ya Wanawake wa 5 Tabora

Watu 32 wakiwemo viongozi wa kijiji na kata  wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilayani Nzega kwa tuhuma za mauaji ya wanawake watano wa kijiji cha Udoma kata Uchama.

Mwendesha Mashtaka wa jeshi la Polisi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Merito Ukongoji,mbele ya Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo Sarafina Nsana, ameiambia Mahakama hiyo kuwa tarehe 25, 7 mwaka huu katika kijiji cha Undomo watuhumiwa hao waliwashambulia kwa kuwapiga na kuwachoma moto hadi kufa wanawake watano kwa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Watu wawili watiwa mbaroni kwa kusababisha kifo mjamzito

Watu  wawili wakazi wa kijiji cha Itagata tarafa ya Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kufanya uzembe wa kumchelewesha Heleni Maduhu (29), kitendo kilichosababisha afie  kwenye duka la madawa muhimu.

Watuhumiwa hao ni mume wa Heleni, Bahame Kamuda (32) na mmiliki wa duka la dawa muhimu, Joseph Hengwe.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, ACP Debora Magiligimba, alisema tukio hilo limetokea Januari, 25 mwaka huu saa 9:30 alasiri  huko...

 

2 years ago

Dewji Blog

Polisi wawili watiwa mbaroni kwa kuwaibia wachina milioni 215

Polisi wawili nchini Kenya wametiwa mbaroni kwa kuvamia na kuwaibia wachina wawili kiasi cha fedha cha milioni 10 za Kenya ambazo kwa pesa ya Kitanzania zinafikia milioni 215.

Polisi hao wawili ambao wamejulika kwa majina ya Mary Muthoni and Eunice Mutuku inadaiwa walifanya tukio hilo Januari, 4 mwaka huu katika eneo la Embakasi, Nairobi ambapo polisi hao waliwavamia Xing Shaoxiong na Jing Da Fei na kuwapora kiasi hicho cha pesa.

Wakielezea tukio hilo mahakamani, wachina walioporwa pesa hizo...

 

4 years ago

Michuzi

WATATU WATIWA MBARONI JIJII DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion iliyopo  maeneo ya Ununio, Mbezi Beach wilaya ya kipolisi Kawe mkoa wa kipolisi wa Kinondoni aliyejulikana kwa jina la ANNA D/O MIZINGI, Miaka 48, Mfanyabiashara, Mkazi wa Boko.
Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa za mchana mtoa taarifa alifika kituo cha Polisi na kueleza kwamba marehemu ANNA D/O MIZINGI aliondoka tangu tarehe 26/12/2014 majira ya saa 1:00hrs...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani