Wayne Rooney kucheza dakika 45 dhidi ya Gor Mahia Tanzania

Mkufunzi wa klabu ya Everton Ronald Koeman yuko tayari kuiongoza klabu yake nchini Tanzania wiki hii katika mechi ya maandalizi ya msimu ujao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Wayne Rooney alivyofunga bao dhidi ya Gor Mahia

Wayne Rooney alifunga bao kutoka mbali mechi yake ya kwanza tangu aliporejea klabu ya Everton kutoka Manchester United.

 

2 years ago

BBCSwahili

Wayne Rooney aiongoza Everton kuilaza Gor Mahia Tanzania

Wayne Rooney ameiongoza klabu yake mpya Everton kuishinda klabu ya Kenya ya Gor kwa kufunga bao zuri katika mechi ya kirafiki iliodhaminiwa na kampuni ya Sportpesa.

 

2 years ago

Michuzi

Mshabiki avamia uwanja kumkubatia Wayne Rooney wakati Everton ikiifunga Gor Mahia 2-1

Mshabiki wa Manchester United aliyevamia uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kwenda kumkumbatia Wayne Rooney wakati Everton ya Uingereza  ikichuana na Gor Mahia ya Kenya.
Mpira umekwisha kwa Everton kushinda bao 2-1, magoli yakifungwa na Rooney dakika ya 35 kabla  Tuyisenge wa Gor Mahia kusawazisha dakika mbili baadaye. Goli la ushindi la Everton limepatikana dakika ya 82 kupitia kwa Dowell.
Askari wakimdaka mshabiki wa Manchester United aliyevamia uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na...

 

2 years ago

BBCSwahili

Rooney: Mechi dhidi ya Gor Mahia itakuwa ngumu

Wayne Rooney amesema kuwa anatarajia mechi ngumu dhidi ya Gor Mahia saa chache kabla ya kipute hicho kuanza katika uwanja wa kitafa wa Dar es Salaam.

 

1 year ago

BBCSwahili

Gor Mahia kucheza dhidi ya Hull City kutoka Uingereza

Mabingwa wa ligi ya kandanda nchini Kenya Gor Mahia watakabiliana na klabu ya Uingereza Hull City jijini Nairobi

 

2 years ago

BBC

Rooney mania grips Tanzania as Everton play Gor Mahia

The England international will make his first appearance for Everton in a friendly in East Africa.

 

2 years ago

Mwananchi

Rooney aitungua Gor Mahia

Mshambuliaji Wayne Rooney amefanya kile walichotaka kuona mashabiki wa soka Tanzania baada ya kuiongoza Everton kuichapa Gor Mahia kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Rooney ukata utepe kwa Gor Mahia

Mshambuliaji Wayne Rooney atacheza mechi yake ya kwanza akiwa na kikosi cha Everton leo dhidi ya Gor Mahia kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam (saa 11:00 jioni).

 

2 years ago

Mwanaspoti

Rooney kukata utepe kwa Gor Mahia

Mshambuliaji Wayne Rooney atacheza mechi yake ya kwanza akiwa na kikosi cha Everton leo dhidi ya Gor Mahia kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam (saa 11:00 jioni).

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani