WAZEE CHADEMA WAOMBA KUKUTANA NA RAIS MAGUFULI

Baraza la Wazee wa Chadema limemuomba Rais John Magufuli kukutana na wazee ili kubadilishana nao mawazo sambamba na kumpa ushauri wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.

Akizungumza leo Jumanne Machi 13, 2018 katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, katibu mkuu wa baraza hilo, Roderick Lutembeka amesema kumekuwa na mambo mengi yanayopigiwa kelele, ni vyema rais akakutana na wazee ili wamueleza mambo hayo.

“Ni lazima kama Taifa tuchukue hatua mapema kabla hatujachelewa....

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Wabunge EAC watangaza kumuunga mkono Rais Magufuli,waomba kukutana nae

Baadhi ya wabunge wa bunge la Afrika ya Mashariki (EALA), wameeleza kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli,kupambana na rushwa na kurejesha uwajibikaji serikalini huku  wakimuomba kukutana nae.

 

1 year ago

Malunde

CHADEMA YAOMBA RAIS MAGUFULI AKUTANE NA WAZEE

Wakati leo Jumapili dunia ikiadhimisha siku ya wazee, Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limemwomba Rais John Magufuli kukutana na wazee nchini ili kujadiliana na kupata ufumbuzi wa masuala mbalimbali.

Wito huo umetolewa leo na katibu mkuu wa baraza hilo, Roderick Lutembeka wakati akizungumza na waandishi wa habari makao mkuu wa Chadema jijini Dar es Salaam kuhusu siku ya wazee duniani.

"Wazee ambao tunashauri Rais Magufuli akutane nao ni wazee kutoka vyama vya...

 

10 months ago

CHADEMA Blog

Baraza la Wazee CHADEMA lamtaka Rais Magufuli aongoze kwa busara na hekima ya mtu mzima, ladai kauli zitawapeleka ICC

Baraza la wazee wa CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu wake, Lodrick Rutembeka wamezungumzia kukamatwa, kubambikiziwa kesi, kuteswa, kutekwa, kushambuliwa hata kuuawa kwa viongozi wa kisiasi hata wananchi wengine wanaoonekana kukosoa utendaji wa kazi wa Rais Magufuli na serikali kwa kutumia rejea ya matukio kama la Tundu Lissu, kuuawa kwa kaimu mwenyekiti wa CUF jimbo la Matopetope, Ali Juma Suleyman

 

2 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAZEE JIJINI ARUSHA WAMUOMBA RAIS MAGUFULI AWAKUMBUKE WAZEE AMBAO HAWAJALIPWA STAHIKI ZAO ZA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Na.Vero Ignatus, Arusha.
 Baraza la Wazee Jijini Arusha wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwaangalia wazee ambao walikuwa  Jumuiya ya Afrika Mashariki awalipe  stahiki zao kwani wameifanyia nchi hii mambo mazuri bali manufaa wameyakosa baada ya kuvunjika Jumuiya hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari  kwa niaba ya wazee hao mwenyekiti wa Baraza hilo  Mathius Kichao amesema  kuwa hadi sasa kuna wazee ambao hawajalipwa stahiki zao jambo ambalo siyo...

 

3 years ago

Vijimambo

DR SLAA AKIRI KUKUTANA NA MWAKYEMBE SIKU MOJA KABLA YA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI, AMWAMBIA LISSU AONYESHE VOCHA YA YEYE KUCHUKUA MSHAHARA CHADEMA

NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia mgombea...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Wamiliki wamabasi wahitaji kukutana na Rais Magufuli

Wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani, wameomba kukutana na Rais John Magufuli kumweleza matatizo yanayowakabili ikiwamo  vipengele wanavyodai kuwa ni kandamizi katika kanuni mpya za leseni za usafirishaji.

Wamefikia hatua  hiyo baada ya kutofikia muafaka katika kikao kilichofanyika jana  jijini Dar es Salaam kati yao  na maofisa kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa  Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, na Jeshi la  Polisi Kikosi cha Usalama...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wazee Muheza waomba uzio

WAZEE wanaoishi kwenye kambi ya ukoma iliyopo Ngomeni, wilayani hapa, wameiomba serikali kuwajengea uzio ili kuwanusuru na vibaka wanaowavamia mara kwa mara na kupora mali zao, ikiwemo mifugo. Walitoa ombi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani