WAZIRI : TFF HAIPO JUU YA SHERIA

Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza imesema Shirikisho la soka nchini TFF limesajiliwa chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano hivyo shughuli zake zote zipo chini ya serikali.


Mh. Shonza ameyasema hayo jana wakati akjibu swali la mbunge wa Singida Mjini Mussa Ramashani Sima ambaye alihoji kuhusu mamlaka ya Waziri katika kusimamia kazi za TFF ikiwemo mapato na matumizi ya shirikisho hilo kutokana na katiba ya TFF kutoruhusu kuingiliwa na...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Hii ya TFF ya Malinzi haipo popote duniani

Kuna vitu vingine huwezi kuvikuta sehemu nyingine yoyote duniani zaidi ya Tanzania tu.

 

4 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA USILAZIMISHWE KULIPA ASILIMIA KUMI SERIKALI ZA MITAA MAANA HAIPO KISHERIA.


Na Bashir YakubMara nyingi nimekuwa nikiandika kuhusu masuala muhimu kuhusu ardhi hasa  namna ya kuandika mikataba  mtu anapokuwa ananunua nyumba/kiwanja , hadhi ya mikataba hiyo kisheria, na ubora wake. Pia nimeandika mambo mbalmbali kuhusu namna ya kununua nyumba au kiwanja kwa usalama ili watu wasitapeliwe. Nikasema suala si tu kununua kile unachokipenda na kuondoka isipokuwa ni kununua  na  kuwa salama  na ulichonunua  bila hatari ya kukumbana na mgogoro mbeleni. Lengo la haya yote ni...

 

3 years ago

Habarileo

Waziri asema JWTZ haiko juu ya sheria

ASKARI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanadaiwa kuwanyanyasa wavuvi kwa kuwanyang’anya samaki wao, Bunge limeelezwa. Maeneo yaliyotajwa kukithiri kwa unyanyasaji huo ni Kigamboni na Kunduchi jijini Dar es Salaam ambako wanajeshi hao wanatuhumiwa pia kuwanyang’anya leseni wavuvi hao wakidai hazitakiwi kwa ajili ya uvuvi huo.

 

2 years ago

Michuzi

MAJAJI WANAOSHIRIKI KATIKA MAFUNZO YA KUBADILISHANA UZOEFU JUU YA UENDESHAJI WA MASHAURI YA JINAI WAPATIWA SOMO JUU YA SHERIA YA UTAKATISHAJI FEDHA ‘MONEY LAUNDERING’

Na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania.
Katika muendelezo wa mafunzo ya kubadilishana uzoefu juu ya uendeshaji wa mashauri ya jinai, Majaji wanaoshiriki katika mafunzo haya wapatiwa somo  juu ya Sheria ya Utakatishaji Fedha ‘Money Laundering.’ 
Akitoa somo hilo mapema jana, katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma, Bw. Robert Kassim, ambaye ni Mwanasheria- Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu ‘Financial Intelligency Unit’ (FIU) - Wizara ya Fedha na Mipango alisema elimu juu ya Sheria hii kwa Wahe....

 

2 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI ZA BUNGE WAJENGEWA UWEZO KUHUSU SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI NA HAKI YA KUPATA TAARIFA NA WAJIBU WAO JUU YA SHERIA HIZO

Taasisi ya vyombo vya habari kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania kwa kushirikiana na Wakifu  wa Taasisi Huru za Uwazi Afrika (OSIEA) wamefanya semina ya siku moja na waandishi wa habari  mkoani Dodoma katika  ukumbi wa Hazina  Ndogo, iliyolenga kuboresha utendaji katika kazi zao.Mjadala huu umelenga kuwajengea wanahabari uwezowa utendaji wao wa kazi.Waandishi wa habari hao wamejengewa uwezo kuhusu sheria ya huduma zavyombo vya habari ili kuleta ufanisi katika majukumu yao. Mkutano huu...

 

4 years ago

Mwananchi

TFF yataka cha juu

Klabu 12 za Ligi Kuu zimegomea uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutaka kukata asilimia tano kwenye fedha za mgawo wa wadhamini.

 

5 years ago

Mwananchi

Simba SC yaijia juu TFF

Uongozi wa Simba umelishukia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kulitaka liwarudishie fedha Sh25 milioni ambazo walikatwa kama gharama ya uharibifu wa viti kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Oktoba 31 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani