Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wadau wa Soka Nchini Kujadili Namna ya Kuendeleza Mchezo Huo Hapa Nchini.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na baadhi ya Wadau wa mpira wa miguu kuhusu namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wa mpira wa miguu nchini wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Rais wa Heshima wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Shrikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyekaa katikati) baada majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mpira wa miguu leo jijini Dar es salaam.

(Picha na Eleuteri Mangi-WHUSM)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Michuzi

Mwakyembe akutana na Waziri Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kujadili mapokezi ya viongozi wa FIFA na CAF nchini

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe ameitaka Tanzania kuitendea haki heshima ya kupewa nafasi ya kufanyika kwa mkutano wa viongozi wa FIFA na CAF hapa nchini unaotarajiwa kufanyiaka kwa siku mbili mwishoni mwa mwezi Februari. 

Waziri Mwakyembe ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia ujio wa viongozi wa FIFA na CAF nchini kwa ajili ya kufanya mkutano hapa nchini ambao wanatarajia kuwasili nchini na kufanya mkutana...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BALOZI WA JAMRURI WA KOREA HAPA NCHINI LEO

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young alipomtembelea ofisini kwake mapema leo (17/11/2016) jijini Dar Es Salaam. Wengine pichani ni Msaidizi wa Balozi Bw. Song Wong (kulia) na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Abdala Kirumbu (kushoto). Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Serikali ya Jamhuri...

 

6 months ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO

 Mkurugenzi Maendeleo ya Michezo Bw. Makoye Nkenyenge (kulia) akiwatambulisha viongozi wa mchezo wa Base Ball na Soft Ball Tanzania kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) walipomtemtembelea kumkabidhi hati ya kutambuliwa na Shirikisho la dunia la mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akipokea hati ya utambulisho wa mchezo wa Base Ball na Soft Ball...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AONANA NA BALOZI WA MAREKANI HAPA NCHINI MHE. MARK CHILDRESS KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA YA MALIASILI NCHINI

Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza katika kikao na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Mark Childress (kulia) na Ujumbe wake katika ukumbi wa Selous Makao Makuu ya Wizara hiyo Mpingo House leo tarehe 23 Machi, 2016. Waziri Maghembe amemuomba Balozi huyo wa Marekani kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukuza sekta ya utalii nchini kwa kuwakaribisha wawekezaji kutoka Marekani kuwekeza katika sekta hiyo.Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Mark Childress...

 

2 years ago

Channelten

Chama cha mchezo wa gofu nchini ‘TGU’ kimeandaa mkakati maalum wa kuhakikisha kinawaelimisha makocha na nyota wa mchezo huo

 

golf

Chama cha mchezo wa gofu nchini ‘TGU’ kimeandaa mkakati maalum wa kuhakikisha kinawaelimisha makocha na nyota wa mchezo huo ‘Maprofessionals’ nchini ili waweze kufikia viwango vya kimataifa.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa chama hicho Joseph Tango wakati wa mahojiano na channel ten mara baada ya kukamilika kwa kliniki maalum ya mchezo wa gofu kwa vijana iliyokuwa ikiendeshwa nchi nzima na mtaalam wa mchezo huo kutoka makao makuu ya chama cha gofu ulimwenguni Norman Mashaba ambaye ni Raia...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA


 Balozi wa Korea nchini Tanzania Bw. Chung IL akibadilishana mawazo na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria alipomtembelea leo (10/3/2016) ofisini kwake jijini Dar Es Salaam. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na Balozi wa Korea nchini Tanzania Bw. Chung IL alipomtembelea leo (10/3/2016) ofisini kwake jijini Dar Es Salaam. 

 

3 years ago

Vijimambo

DKT. MWAKYEMBE AKUTANA NA WADAU WA BANDARI DAR

Massawe akimkaribisha Dkt. MwakyembeWaziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza na wadau wa sekta ya bandari kwenye mkutano uliofanyika leo Jumanne Desemba 30, 2014 kwenye ofisi ya meneja wa bandari ya Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kutathmini huduma za bandari na utekelezaji wa matokeo makubwa sasa kwa mwaka 2014. Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwakyembe aliipongeza Mamlaka ya bandari kwa kazi nzuri ya utoaji huduma uliopelekea ongezeko la mizigo ingawa hata hivyo aliwajia...

 

2 years ago

Michuzi

Serikali yaahidi kuendeleza mchezo wa Hockey nchini

Na: Genofeva Matemu – WHUSM
Serikali ipo tayari kuendeleza michezo yote badala ya kubaki na michezo michache ikiwemo mchezo wa mpira wa magongo (Hockey) ambao kwa miaka mingi iliyopita mchezo huo uliiletea heshima kubwa Tanzania.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa ziara ya marais wa shirikisho la Mchezo wa Mpira wa Magongo Duniani na Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
“Mchezo wa mpira wa magongo ni mchezo ambao Tanzania kwa miaka mingi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani