WAZIRI KAKUNDA: “KULENI KOROSHO ZINAONGEZA HESHIMA YA NDOA"

Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda, amewashauri Watanzania kula korosho kwa sababu zina virutubisho vya kurudisha heshima ndani ya ndoa.
Kakunda ameyasema hayo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Mei 16, kuwaelezea maendeleo ya ununuzi wa korosho, ambapo pamoja na mambo mengine amesema hata watu wa mikoa ya kusini wanazaliana sana kwa sababu wanakula korosho kwa wingi.
“Korosho ni kirutubisho kizuri, ni ajabu Watanzania hawataki kuzitumia, zinaongeza virutubisho,...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI KAKUNDA AFANYA ZIARA KILWA

Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI George Kakunda amewataka viongozi wa serikali wilayani Kilwa Mkoani Lindi kuhakikisha wanasimamia vyema upandaji wa miche mipya yazao la korosho hali ambayo itaongeza uzalishaji wa zao hilo kwa wananchi na kuinua uchumi wa Taifa
Hayo aliyasema jana wilayani Kilwa wakati wa ziara yake baada ya kuelezwa kuwa mkakati wa wilaya uliopo ni kuhakikisha wanazalisha na kupanda miche milioni moja kila mwaka hali ambayo itaongeza mashina ya zao hilo kutoka laki sita...

 

1 year ago

Michuzi

Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba

Nteghenjwa Hosseah,Chemba.
Naibu Waziri Ofisi yaRais- TAMISEMI Mhe. Joseph George Kakunda ameiagiz ahalmashauri ya Wilaya ya Chemba kumsimamisha Mhandisi wa Maji wa Halmashauri hiyo kwa kushindwa kusimamia miradi ya maji.
Mhe.Kakunda alitoa maagizo hayo wakati wa ziara yake Wilayani humo aliyoifanya ambapo alikagua miradi ya maji na kuzungumza na wananchi wa vijiji vya Lahoda,Kisande na Honta.
Baada ya kufanya ukaguzi huo na kubaini mapungufu yaliyopo kwenye miradi ya maji sambamba na...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wadau wa zao la Korosho kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Septemba 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi pamoja na Bodi ya Korosho Tanzania zifanye tathimini ya maandalizi ya msimu ujao kwa wakati na zimpatie taarifa mara moja.
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jana usiku (Jumanne, Septemba 5, 2017) wakati akizungumza na wadau wa zao la korosho kwenye kikao...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI TAMISEMI,JOSEPH KAKUNDA AFURAHISHWA NA MIRADI YA KUWAWEZESHA WANANCHI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi),Joseph Kakunda(kushoto) akipanda ngazi kukagua mradi wa maji wilayani Longido,akiwa na Mkuu wa wilaya ya Longido mkoa wa Arusha,Godfrey Chongolo. 
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi),Joseph Kakunda(kulia) na Mkuu wa wilaya ya Longido(wa pili kulia) wakimsikiliza Mhandisi wa Maji wilayani Longido,Ramadhani Musiba(kushoto) utekelezaji wa miradi ya maji.  Naibu Waziri Ofisi ya Rais...

 

4 years ago

GPL

VAZI LA KHANGA MOJA HESHIMA YA NDOA

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia ukurasa huu nikiamini uko salama, tayari kwa kupiga kura keshokutwa kuchagua viongizi watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo. Mpenzi msomaji wangu, katika kuifanya ndoa iwe imara, niliwahi kuzungumzia mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani. Lakini pia nikasema kwamba, kama kwenye nyumba mnaishi wawili tu, sioni shida mke kuvaa anavyotaka. Pia nikasema kuwa, hakuna kitu kibaya kama...

 

3 years ago

Channelten

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Kilimo na Ushirika kuifanyia marekebisho Bodi ya Korosho

majaliwa

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Kilimo na Ushirika Charles Tizeba kuifanyia marekebisho Bodi ya Korosho Tanzania kutokana na kushindwa kulisimamia zao hilo kikamilifu.

Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha kwamba Bodi ya Korosho Tanzania inaonekana kuingilia kazi za minada ya korosho na kuzuia wafanyabiashara  wengine wasiweze kununua zao hilo, hali inayoonyesha wazi kuwa kuna wafanyabiashara  waliopangwa kununua koroshoo bila ya kufuata utaratibu.

Akihutubia  mkutano wa...

 

3 years ago

Bongo5

Ndoa imeniongezea heshima na umakini kwenye maisha yangu – Tunda Man

Ikiwa ni wiki tatu toka msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Tunda Man aingie kwenye maisha ya ndoa, amefunguka na kuzungumzia jinsi maisha ya ndoa yalivyobadili maisha yake.
tundaman
Tunda Man akiwa na familia yake

Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Tunda amesema ndoa imemfanya kuwa makini zaidi ya maisha yake kwa kuwa tayari ana familia ambayo inamtegemea.

“Maisha yamebadilika sana, heshima imeongezeka, nimekuwa makini zaidi kwa sababu kuna watu ambao wapo nyuma yangu,” alisema Tunda Man. “Pia...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani