Waziri mashuhuri Kenya Anne Waiguru ajiuzulu

Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

RFI

Afisa wa IEBC Bi Akombe ajiuzulu Kenya,je nini hatma ya kisiasa nchini kenya

Afisa wa IEBC Roselyn Akombe ajiuzulu nafasi yake na kukimbilia Marekani akidai kusalimisha maisha yake na miongoni mwa sababu alizotaja kufikia uamuzi huo ni pamoja na kuwepo mgawanyiko miongoni mwa maafisa wa IEBC....hatua hii itaathiri vipi uchaguzi ujao Octoba 26?

 

4 months ago

RFI

Khawar Qureshi kusimamia kesi za ufisadi zinazowahusu viongozi mashuhuri Kenya

Ofisi ya mwendesha mashtaka nchini Kenya, imemteua Wakili maarufu nchini Uingereza Khawar Qureshi, kusimamia kesi za ufisadi zinazowahusu viongozi mashuhuri nchini humo.

 

4 years ago

GPL

IGP KENYA AJIUZULU

IGP David Kimaiyo. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kustaafu leo kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na usalama nchini humo. Wakati huohuo Kenyatta amempendekeza Waziri Mkuu mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Joseph Ole Lenku. Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali kustaafu...

 

4 years ago

Michuzi

MKUU WA POLISI KENYA AJIUZULU

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Joseph ole Lenku (kulia), na Mkuu wa Polisi, David Kimaiyo ambae  amejiuzulu  muda mfupi leo 

Kufuatia  shambulio  lililofanywa na  kundi la wanamgambo wa Al Shabaad  nchini Kenya kwa  kuwaua   watu  36 yaliyotokea  leo  ,mkuu wa polisi  nchini humu  David Kimaiyo anadaiwa  kutangaza  kujiuzulu nafasi  yake  hiyo.
Mkuu   huyo wa  polisi amelazimika  kujiwajibisha  mwenyewe kwa  kujiuzulu  kutokana na mauwaji ya mara kwa mara  yanayofanywa na kundi  hilo la Al...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mwanasheria mkuu Kenya ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Prof. Githu Muigai amejiuzulu baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa miaka sita na nusu.

Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Prof. Muigai kwa kutumikia nafasi hiyo ambapo kwasasa nafasi hiyo itachukuliwa na jaji Paul Kihara. Kupitia ukurasa wake wa twitter Rais Kenyatta amethibitisha kujiuluzu kwa Prof Githu.

“Nimepokea kwa majuto uamuzi wa mwanasheria mkuu Githu Muigai. Namshukuru kwa huduma yake katika kipindi cha miaka sita na nusu. Nimemteua jaji Paul Kiharara Kariuki”...

 

3 years ago

Dewji Blog

Baada ya Anne Makinda, Waziri Ummy Mwalimu ateua wajumbe wa bodi ya NHIF

Kufuatia Rais Dk. John Pombe Magufuli kumteua Anne S. Makinda kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu, leo Juni, 1 ameteua WWajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

Katika taarifa ambayoo imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Ulisubisya Mpoki imewataja waliochaguliwa na waziri kuwa wajumbe wa bodi ni Dkt. Doroth...

 

4 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa polisi Kenya Kimaiyo ajiuzulu

Mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama

 

1 year ago

Zanzibar 24

Kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya ajiuzulu

Kamishna wa Tume ya Uchaguzi  Kenya Roselyn Akombe amejiuzulu na kusema tume imegawanyika na inafanya kazi bila kuzingatia utaratibu.

Dr. Akombe alituma taarifa kutoka New York alipokuwa akifanya kazi Umoja wa Mataifa kabla ya kwenda kufanya kazi tume ya uchaguzi.

Katika taarifa hiyo Dr. Akombe alisema uchaguzi uliopangwa kufanyika hauwezi kukidhi matakwa ya uchaguzi unaoaminika.

” Kwa jinsi tume ilivyo sasa ni hakika haiwezi kutuhakikishia uchaguzi utakaoaminika tarehe 26 Oktoba. Sitaki...

 

3 years ago

Bongo5

Mkuu wa tume ya kupambana na rushwa Kenya ajiuzulu

Mkuu wa tume ya kupambana na rushwa Kenya (EACC) Philip Kinisu, amejiuzulu siku moja baada ya kamati ya bunge kupendekeza afutwe kazi kwa sababu ya muingiliano ya maslahi.

EACC-chairman-Philip-Kinisu-resigns

EACC ilikuwa inatakiwa ifanye uchunguzi kuhusu tuhuma za ufisadi katika huduma ya vijana kwa taifa (NYS) ambayo hufadhiliwa na serikali, lakimni kampuni ambayo inamilikiwa na Bw. Kinisu inadaiwa kushiriki katika shughuli za kibiashara na NYS.

Wabunge walikuwa wamemuomba Rais Uhuru Kenyatta aunde jopo la kumchunguza, na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani