Waziri Mkuu aagiza wakazi wa Dodoma kulipwa fidia

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuweka utaratibu wa kuwafidia watu wanaopisha maeneo yao. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Majaliwa ametoa maagizo hayo jana alipokuwa akizungumza na wananchi na wafanyabiashara wa eneo la Mjimpya waliopisha ujenzi wa bustani. Waziri Mkuu alifanya ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ambayo yametengwa kama ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

RC aagiza wakazi jimboni kwa Waziri Mkuu wajenge vyoo

Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi ametoa wiki mbili kwa wakazi wa jimbo la Ruangwa kuhakikisha wanajenga vyoo kuepuka mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AONGOZA WAKAZI WA DODOMA MAZISHI YA ASKOFU ISUJA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Askofu Mkuu wa Jimbo la Dodoma , Beatus Kinyaiya katika mazishi ya Askofu Mstaafu wa Dodoma Mathias Isuja yaliyofanyika kwenye kanisa kuu la Mtakatifu Paul wa Msalaba Mjini Dodoma Aprili 20, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dodoma, Mathias Isuja katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa   Kuu la Mtakatifu Paul wa Msalaba Aprili 20, 2016.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua...

 

2 years ago

Channelten

Uzinduzi wa minada ya Korosho, Mkuu wa wilaya aagiza wakulima kulipwa kwa wakati

Cashew-Nuts-TheDollarBusiness

Kamati ya muda ya Chama Kikuu kinachosimamia mauzo ya zao la Korosho Wilayani Ruangwa, Nachingwea na Liwale(RUNALI) kwa kushirikina na taasisi za kifedha, imetakiwa kuhikisha wakulima wa zao hilo wanalipwa kwa wakati ili kudhibiti uuzaji holela wa korosho

Wito umetolewa na Mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Rukia Muwango wakati wa uzinduzi wa msimu wa ukusanyaji na uuzaji wa korosho katika wilaya ya Nachingwea.

Akihutubia mkutano wa hadhara,Mkuu wa wilaya hiyo ameagiza wakulima kulipwa kwa...

 

5 years ago

Dewji Blog

WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

 

3 years ago

Channelten

Waziri Mkuu aagiza mkuu wa Mkoa kukutana na mwekezaji anayewazalilisha Wananchi Simiyu

IMGS7136

Mbunge wa Meatu amemuomba waziri mkuu kuchukua hatua stahiki dhidi ya mwekezaji anayejihusisha na shughuli za uwindaji wilayani Meatu mkoani Simiyu anayedaiwa kuwadhalilisha wananchi.

Aidha mbunge huyo ameiomba serikali kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa mipaka baina ya pori la akiba la Maswa na vijiji vinavyopakana na hifadhi hiyo.

Akizungumza kwa niaba ya wananchi katika mkutano wa hadhara, Mbunge huyo wa Meatu amedai kuwa kero kubwa inahusisha kampuni binafsi ya mwekezaji ambayo waannchi...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AHOJI KUCHELEWESHWA KULIPWA KWA WAKULIMA WA KOROSHO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atamuita Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho, Bw. Hassan Jarufo ili aje amueleze ni kwa nini wakulima wa zao hilo wanacheleweshewa malipo yao kinyume na maagizo ya Serikali.
Ametoa kauli hiyo leo mchana wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa mkoa wa Lndi mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo kwenye Ikulu ndogo wilayani Nachingwea. Waziri Mkuu amewasili wilayani Nachingwea akiwa njiani kuelekea Ruangwa kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka.
“Niliagiza...

 

3 years ago

Habarileo

Agizo la fidia la Waziri Mkuu latekelezwa

MANISPAA ya Bukoba mkoani Kagera imetekeleza agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa la kufidia wananchi wanaoidai viwanja 847.

 

4 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani