WAZIRI MKUU AJUMUIKA NA WATALII 330 TOKA CHINA KATIKA CHAKULA CHA USIKU

 Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii na Utamaduni katika jumbo la Zhejiang, Bw. Xu Peng, wakati alipowapokea Watalii 330 tokea nchini China, katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. Tokea kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni  ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehui  na kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kigwangala. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Malunde

Waziri Mkuu Apokea Watalii 330 Kutoka China ..... Ni Kundi La Kwanza Kati Ya Watalii 10,000 Wanaotarajiwa Kuja Tanzania

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapokea watalii 330 wakiwemo wafanyabiashara na wawekezaji kutoka jimbo la Zhejiang, China ambao waliwasili jana usiku kwenye uwanja wa ndege wa KIA.
Watalii hao ni kundi la kwanza miongoni mwa watalii 10,000 ambao wanatarajiwa kutembelea Tanzania mwaka huu, chini ya mpango unaosimamiwa baina ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Bodi ya Utalii Tanzania na kampuni ya TouchRoad International Holding Group ya China.
Akizungumza na watalii hao kwenye chakula cha jioni...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA NA WATU WENYE ULEMAVU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya watu wenye ulemavu, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Februari 4, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na muimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Saida Kalori, katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya watu wenye ulemavu, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Februari 4, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,PINDA AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA TIMU YA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU,WALIOTWAA KOMBE LA DUNIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014. Wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma...

 

1 week ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA AJUMUIKA NA WAUMINI WA KANISA LA WASABATO MAGOMENI KATIKA IBADA YA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA IDARA YA FAMILIA KANISANI

Na Derek Murusuri, Magomeni, Dar es SalaamSabato/Jumamosi 11 May 2019
#Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa: "Serikali ya awamu ya tano itaendelea kuheshimu uhuru wa kuabudu nchini."
#Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa: "Serikali yetu itaendelea kushirikiana na dini zote katika taifa letu ili kuleta utulivu, amani na umoja wa kitaifa. Kuja kwangu hapa katika Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni kuabudu pamoja nanyi leo ni uthibitisho huo."
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa:...

 

3 years ago

Mwananchi

Watalii ‘wafakamia’ chakula cha mamantilie

Ujio wa watalii wengi wanaoingia mjini Moshi kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro na kutembelea vivutio vya utalii, imegeuka shubiri kwa wamiliki wa hoteli, baada ya watalii kwenda kula kwenye vibanda vya mamantilie.

 

4 years ago

Vijimambo

Chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa Ijumaa, Machi 12, 2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KATIKA KITUO CHA MPAKA WA RUSUMO

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa kwanza kushoto) akiwa katika ziara yake mpakani mwa Tanzania na Rwanda (Rusumo) kwa lengo la kufanya Tathimini ya Utekelezaji wa mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara na uwekezaji nchini. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akizungumza na baadhi ya madereva wa malori wakati wa ziara yake katika kituo cha Rusumo Wilayni Ngara Mkoa wa Kagera. Msimamizi wa Mamlaka ya...

 

4 years ago

GPL

SHOGA: CHAKULA CHA USIKU KINAANDALIWA MAPEMA!

Shoga yangu, ni matumaini yangu kwamba haujambo na unaendelea vyema na malezi ya familia akiwemo shemeji yangu. Kwa upande wangu, nipo buheri wa afya.Leo shoga yangu nitazungumza nawe mada inayohusiana na kichwa kilichopo hapo juu, ni kweli kabisa chakula cha usiku kinapaswa kuandaliwa mapema. Nafikiri shoga yangu, utakuwa umeelewa namaanisha nini maana hakuna kitu ambacho kinaweza kufanyika vizuri bila kukifanyia maandalizi, iwe...

 

4 years ago

GPL

DIAMOND, ZALI WAKIPATA CHAKULA CHA USIKU

Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' (wa tatu kulia) akipata chakula cha usiku na wageni wake wakiongozwa na staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (katikati) usiku wa kuamkia leo nchini Uganda. Diamond…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani