Waziri Mkuu Apokea Watalii 330 Kutoka China ..... Ni Kundi La Kwanza Kati Ya Watalii 10,000 Wanaotarajiwa Kuja Tanzania

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapokea watalii 330 wakiwemo wafanyabiashara na wawekezaji kutoka jimbo la Zhejiang, China ambao waliwasili jana usiku kwenye uwanja wa ndege wa KIA.
Watalii hao ni kundi la kwanza miongoni mwa watalii 10,000 ambao wanatarajiwa kutembelea Tanzania mwaka huu, chini ya mpango unaosimamiwa baina ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Bodi ya Utalii Tanzania na kampuni ya TouchRoad International Holding Group ya China.
Akizungumza na watalii hao kwenye chakula cha jioni...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AJUMUIKA NA WATALII 330 TOKA CHINA KATIKA CHAKULA CHA USIKU

 Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii na Utamaduni katika jumbo la Zhejiang, Bw. Xu Peng, wakati alipowapokea Watalii 330 tokea nchini China, katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. Tokea kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni  ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehui  na kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kigwangala. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi...

 

3 weeks ago

Malunde

WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1,000 KUTOKA ISRAEL

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watalii kutoka Israel wakawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania pindi wakirudi  huko kwao.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumamosi, Aprili 27, 2019) kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akiwaaga watalii 274 walioondoka nchini leo mchana kurejea kwao.
Watalii hao ni miongoni mwa watalii 1,000 waliowasili nchini tangu Aprili 20, mwaka huu na kutembelea maeneo kadhaa ya vivutio kwenye ukanda wa Kaskazini.
Kundi la kwanza liliondoka jana usiku,...

 

3 years ago

Mwananchi

Tanzania ya kwanza kati ya nchi zitakazotembelewa na watalii

Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kati ya orodha ya nchi kumi bora duniani zitakazotembelewa na watalii mwaka huu.

 

3 weeks ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1000 KUTOKA NCHINI ISRAEL

 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Khamis Kigwangala, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA, kuwasalimia na kuwaaga Watalii kutoka nchini Israel Aprili 27, 2019 Wasanii wa kabila la Kimasai, wakitoa burudani kwa Watalii kutoka nchini Israel Aprili 27, 2019, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Khamis Kigwangala, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa...

 

5 years ago

Michuzi

KUNDI LA KWANZA LA WATALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO LAPANDA KILELE CHA SHIRA

Mabasi maalumu yanayotumika kupandisha watalii wa ndani yakiwa katika foleni tayari kwa safari ya kuelekea mlima Kilimanjaro katika kilele cha Shira. Watalii wa ndani wakipatiwa maelezo juu ya mlima Kilimanjaro kablaya kuanza safari ya kuelekea Kilele cha Shira. Watalii wa ndani wakiwa ndani ya basi kuelekea kilele cha Shira mlima Kilimanjaro.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

3 years ago

Mwananchi

RC: Tanapa vutieni watalii kutoka China

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadiki amelitaka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) kujipenyeza nchini China kusaka watalii wa kupanda Mlima Kilimanjaro ili kuongeza mapato.

 

5 years ago

GPL

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 44 KUTOKA CHINA

Waziri mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amepokea pikipiki 44 zikiwa ni msaada kutoka Ubalozi wa China na Kampuni ya Fu-Tang ya kutoka China. Amekabidhiwa msaada huo leo mchana (Jumanne, Desemba 24, 2013) mbele ya viongozi wa wilaya ya Mlele katika hafla fupi iliyofanyika kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi na kushuhudiwa na wakazi wa kijiji hicho. Akizungumza na viongozi wa wilaya hiyo pamoja na wakazi...

 

1 year ago

Michuzi

TANZANIA,CHINA KUSHIRIKIANA KUONGEZA WATALII.


Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

TANZANIA na China zimeamua kushirikiana kwa lengo la kukuza soko la utalii nchini.

Hivyo imeelezwa watu maarufu na mashuhuri wa nchi ya China akiwamo mwigizaji maarufu wa nchi hiyo Maododo atakuwa miongoni mwa watakaokuja kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo.Hatua inakuja kipindi ambacho kumekuwa na uchache wa watalii wa kutoka China kuja Tanzania,hivyo moja ya mkakati wa kuongeza watalii hao ni kuweka ushirikiano kwenye eneo la utalii.

Akizungumza katika...

 

1 week ago

Malunde

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kupokea Watalii 343 Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo jioni Jumapili Mei 12  anatarajiwa kuwapokea watalii 343 kutoka China wanaokuja nchini kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii kwa siku tano.
Mara baada ya watalii hao kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) itafanyika hafla fupi ya kuwakaribisha na kesho wataanza safari ya kutembelea vivutio  huku baadhi yao wakishiriki kongamano la uwekezaji sekta ya utalii litakalofanyika kesho.
Ujio wa watalii hao unatokana  Bodi ya Utalii (TTB)...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani