Waziri Mkuu atoa maelekezo kufufua michezo nchini

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amesema hali ya kiwango cha michezo nchini si ya kuridhisha hivyo lazima wanamichezo kuanzia shule za awali, msingi, sekondari pamoja na vyuo waandaliwe vyema.  Waziri Majaliwa aliyasema hayo jana katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza wakati akifungua rasmi Mashindano ya Umoja wa Michezo kwa shule za Sekondari nchini UMISSETA, ulioambatana na pia na ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Waziri Makamba atoa maelekezo katika kikao kazi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe  January Makamba akiwasili katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa ajili ya Kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi yake.  Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe  January Makamba (kushoto) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava mara baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa ajili ya Kikao kazi...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Waziri Ummy Mwalimu atoa maelekezo kitendo cha Mbunge kumchoma sindano mwanafunzi

kufuatia kusambaa kwa picha ya Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga inayomuonesha akimchoma sindano mwanafunzi kama ishara ya kuzindua chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi wilayani Ulanga, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto ameibuka na kusema kuwa kitendi hicho si sahihi.

Watumiaji mbalimbali wa mitandao ya kijamii wamelaani kitendo hicho huku baadhi wakisema ni kucheza na afya za watu, kutokana na mtu asiye na utaalamu wa kitabibu kifanya shughuli hiyo.

Waziri...

 

2 years ago

Michuzi

TIMU YA KUKUSANYA MALALAMIKO NA KERO ZA WAFUNGWA ILIYOUNDWA NA MKUU WA MKOA WA DODOMA KWA MAELEKEZO YA WAZIRI MKUU IMEKAMILISHA KAZI YAKE LEO

Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mhe. James Karayemaha (kusoto) ambaye ni Mwenyekiti wa Timu iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana kwa maelekezo ya Waziri Mkuu kwa lengo la kukusanya Malalamiko, kero na hoja za wafungwa na Mahabusu kwenye magereza mjini Dodoma akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Dodoma taarifa ya kazi hiyo mara baada ya kuikamilisha mapema leo. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana (wa sita kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa timu ya...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WADAU WA MICHEZO NCHINI

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipata maelezo kuhusu michoro ya viwanja vya ndani vinavyotarajiwa kujengwa pembeni mwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kutoka wa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ( watatu kulshoto) na katibu Mkuu wake Profesa Elisante Ole Gabriel (wapili kushoto) wakati alipozungumza na wadau wa michezo kwenye uwanja wa Taifa leo Februari 17, 2016 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa michezo nchini kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MSAIDIZI WA MTENDAJI MKUU WA OFISI YA WAZIRI MKUU


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Msaidizi wa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Marehemu Margareth Lwekama katika ibada ya kumuombea marehemu iyoyofanyia kwenye Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Oktoba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

2 years ago

Mwananchi

Ndolanga atoa maelekezo

Mwenyekiti wa zamani wa FAT, Muhidin Ndolanga amesema; "Tukihitaji kusonga mbele na Tanzania iwe na mafanikio lazima tunayochekelea yaendane na vitendo vya kuwa washindani kimataifa kwa kupeperusha vyema bendera ya taifa, hilo ndilo la msingi na msaada kwa  wachezaji wenye uwezo kupanua wigo wa ajira zao."

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA WITO KWA WAUGUZI NCHINI KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU KATIKA KUWAHUDUMIA WAGONJWA

luw1Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mery Majaliwa wakimsalimia Bahati Omary kutoka kijiji cha Nangao Wilaya Liwale ambaye amejifungua mtoto wa kike katika Hospitali ya wilaya ya Nachingwea  Waziri mkuu alifika katika Hospitali hapo kujionea jinsi huduma za afya zinavyo tolewa kwa wagonjwa waziri mkuu yupo katika ziara ya kikazi katika wilaya ya Nachingwea na Ruwangwa  Mkoani Lindi luw2Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea na watumishi wa Hospitali ya Nachingwea pamoja na wananchi ...

 

1 year ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe awataka wataalam wa Michezo kuleta matokeo Chanya katika sekta ya Michezo nchini.

Na Lorietha Laurence-WHUSM
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka wakufunzi 128 ambao ni wataalam wa michezo kuzingatia kwa makini yote waliojifunza na kuyafanyia kazi ili kuleta matokeo chanya kwenye sekta ya michezo nchini .
Akizungumza katika ufungaji wa mafunzo hayo Wilayani Kyela Mkoani Mbeya ambapo Mhe. Dkt. Mwakyemba alieleza kuwa sekta ya michezo ni ajira na chanzo kikubwa cha mapato hivyo wakufunzi hao wakasimamie vyema waliyojifunza na...

 

3 years ago

Mtanzania

RC Bendera atoa maelekezo Bima ya Afya

Joel-BenderaNa ELIYA MBONEA, MANYARA

VIONGOZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wametakiwa kuhakikisha kaya 40,642 zinajiunga kwenye Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kabla ya Desemba mwaka huu.

Agizo hilo lilitolewa wilayani hapa juzi na Mkuu wa Mkoa huo, Joel Bendera, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Duru, Tarafa ya Goroa.

Akizungumza katika mkutano huo, Bendera alisema ili kufikia malengo ya kuwa na asilimia 50 za kaya zilizojiunga na CHF, viongozi wa wilaya hiyo wanatakiwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani