Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua mkutano mkuu wa BAKWATA mjini Dodoma leo.


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini popote walipo wahakikishe wanaipigania na kuilinda amani kwa kila hali ikiwa ni pamoja na kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Machi 31, 2018) kwenye Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma, ambapo amesisitiza kuwa ni muhimu wasaidizi wa Mufti wakasimamia suala hilo. “Dini ni taasisi muhimu sana kwa maisha yetu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE MJINI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah. Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilillah Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI

  Mjumbe wa Kamati Kuu yaTaifa ya  CCM,  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano Mkuu wa CCM wa Mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea, Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Baadhi ya wajumbe wa...

 

2 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na wabunge Mussa Ntimizi wa Igalula na Felista Bura wa Viti Maalum, bugeni mjini Dodoma Mei 10, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, George Simbachawene kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Mei 10, 2017.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Kange Lugora wa Mwibara (kushoto)  na Katani Ahmed Katani wa Tandahimba (katikati) kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10,2017.

BOFYA...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIWASIKILIZA MAWAZIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Selemani Jaffo wakati wa Kikao cha kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilichoanza leo Novemba 7, 2017 mjini Dodoma.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Umi Mwalimu wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilichoanza leo Novemba 7, 2017 Mjini DodomaPICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

 

1 year ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma kwa lengo la kujifunza Novemba 16, 2017.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu  na  wananfunzi wa shule ya Sekondari ya...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIJIBU MASWALI BUNGENI LEO MJINI DODOMA

Wabunge wa Upinzani wakitoka Bungeni baada ya dua kusomwa na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson Juni 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma Juni 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri .kuu)Wageni waliofika Bungeni mjini Dodoma kujionea shughuli  mbalimbali za bunge wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu  Juni 16, 2016.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiteta na Mbunge wa Nkansi Kaskazini, Ally Kessy bungeni mjini Dodoma...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE LEO MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha kikao cha Tisa cha Bunge, bungeni Mini Dodoma Novemba 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha kikao cha bunge, bungeni mjini Dodoma November 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU KIONGOZI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Injinia John Kijazi wakati alipomtembelea Waziri mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017 kwa mazungumzo ya kikazi.Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera Bunge,Kazi Ajira,Vijana na Walemavu Jenista Mhagama Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfafanulia jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara Joyce Sokombi.(chadema) wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango  wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA MASHIRIKA YA UMMA LEO IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam mapema leo. Mkutano huo uliandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Hazina. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma ambao ulikuwa na lengo ya kujadili nafasi za Mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango wa II wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani