WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAPOKEZI YA MAKAMU WA RAIS KUHAMIA MKOANI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongaza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika mapokezi rasmi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan baada ya kuhamia Mkoani Dodoma leo Desemba 15, 2017. kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa salamu za kumkaribisha Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan aliyehamia rasmi Mkoani Dodoma leo Desemba 15, 2017.Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan wakiwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAPOKEZI YA MAKAMU WA RAIS KUHAMIA MKOANI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongaza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika mapokezi rasmi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan baada ya kuhamia Mkoani Dodoma leo Desemba 15, 2017. kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa salamu za kumkaribisha Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan aliyehamia rasmi Mkoani Dodoma leo Desemba 15, 2017. Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MABAKI YA MWILI WA MAREHEMU YUSTINO NDUGAI, KONGWA MKOANI DODOMA


Wziri Mkuu Kassim Majaliwa . akiweka Shada la Maua katika kaburi alipo Zikwa Kwamara ya Pili Marehemu Yustino Ndugai Baba Mzazi wa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Job Ndugai. Shughuli hiyo imefanyika June 17 , 2017 katika makaburi ya familia ya Ndugai Kijij cha Chimoloto Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.
Waiziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa Salamu za Serekali kwa Wananchi , Katika Tukio la Mazishi ya Mara ya Pili ya Marehemu Yustino Ndugai Baba Mzazi wa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa kuhamia Dodoma

Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, anahamia mji wa Dodoma zaidi ya miaka 40 tangu mji huo kutangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania.

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE MJINI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah. Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilillah Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MAZOEZI YA KITAIFA MKOANI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza matembezi yaliyoshirikisha  Mawaziri, Wabunge pamoja na wananchi walioshiriki mazoezi hayo ambayo yamehitimishwa katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma yakiwa nalengo la kupambana na maradhi yasiyo ambukizika.  Mazoezi hayo yamefanyika kitaifa Mkoani Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza mazoezi ya viungo kwa Mawaziri Wabunge pamoja na wananchi waliouhudhiria katika kushiriki mazoezi hayo ambayo yamefanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma yakiwa na...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkaribisha Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipomtembelea waziri Mkuu ofisini kwake Magogoni Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiongea na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd alipofika ofisini kwa waziri Mkuu jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi .Picha na Chris Mfinanga

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KAZI CHA BARAZA LA MAWAZIRI DODOMA

Waziri Mkuu Mhe.  Kassim Majaliwa akiongoza Kikao cha Kazi cha Baraza la  Kazi la  Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma mwishoni mwa juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA JIJINI DAR LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa nyumbani kwake mjini Dodoma akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa kuzindua kikosi kazi cha Taifa cha bonde la mto Ruaha Mkuu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani