Waziri Mkuu Majaliwa afungua mkutano wa “Africa World Heritage” Jijini Arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ unaendelea kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC)  mjini Arusha leo  Mei 31, 2016.

IMGS9664 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasabai  wasanii waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kufungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’  mjini Arusha Mei 31, 2016.

IMGS9645Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA 6 WA NSSF JIJINI ARUSHA

 Waziri Mkuu Mhe.  Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa taifa kabla ya kufungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na  kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza   kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano...

 

2 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa kufungua mkutano wa LAPF, kesho jijini Arusha


Na Pamela Mollel Arusha.

MFUKO wahifadhi ya wafanyakazi wa serikali za mitaa,LAPF,umeipongeza serikali kwakulipa malimbikizo ya madeni ambayo mfuko huo na mingine ilikuwa ikiidai kwamiaka mingi na hivyo kuathiri usitawi wa mifuko hiyo.
Meneja wa LAPFkanda ya kaskazini, Rajabu Kinande, amesema hatua ya serikali kulipa madenihayo kumeiongezea mifuko ya hifadhi ya jamii uwezo wa kuhudumia wanachama waokwa wakati. Kinande, ameyasemahayo Marchi 7 jijini Arusha,alipokuwaakizungumza na vyombo vya...

 

4 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO


Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa hotuba yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mh. Pinda awewasihi wasomi nchini pamoja na watanzania  kuacha fikra ya kusubiri kuajiriwa mara wanapomaliza vyuo badala yake wajiajiri wenyewe ili waweze kukabiliana na changamoto za maisha.
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni...

 

4 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SILIMA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI JIJINI ARUSHA LEO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Kulia kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Baraza hilo ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga. Mkutano huo ambao unaenda sambamba na Maadhimisho ya...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA MASHIRIKA YA UMMA LEO IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam mapema leo. Mkutano huo uliandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Hazina. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma ambao ulikuwa na lengo ya kujadili nafasi za Mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango wa II wa...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI

  Mjumbe wa Kamati Kuu yaTaifa ya  CCM,  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano Mkuu wa CCM wa Mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea, Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Baadhi ya wajumbe wa...

 

8 months ago

Michuzi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua mkutano mkuu wa BAKWATA mjini Dodoma leo.


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini popote walipo wahakikishe wanaipigania na kuilinda amani kwa kila hali ikiwa ni pamoja na kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Machi 31, 2018) kwenye Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma, ambapo amesisitiza kuwa ni muhimu wasaidizi wa Mufti wakasimamia suala hilo. “Dini ni taasisi muhimu sana kwa maisha yetu ya...

 

5 years ago

Michuzi

JK afungua Mkutano mkuu wa NSSf jijini Arusha leo

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF  Bwana Crescentius Magori akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  katika viwanja vya AICC mjini Arusha ambapo alifungua mkutano Mkuu wa wadau wa NSSF leo jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo muda mfupi baada ya kuwasili katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC mjini Arusha leo ambapo alifungua mkutano wa nne wa wadau wa NSSF.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MAALUM WA WANARUKWA NA KATAVI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari 20, 2016 kufungua mkutano Malum wa Wanarukwa na Katavi. Waziri Mkuu, Kasim Majlaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda wakifurahia ngoma baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari 20, 2016 kufungua mkutano Malum wa Wanarukwa na Katavi. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakitazama baadhi ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani