WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA VIONGOZI WA CHAMA CHA WANUNUZI WA PAMBA NCHINI,WAKUU WA MIKOA INAYOLIMA PAMBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chama Wanunuzi wa Zao la Pamba Tanzania pamoja na Wakuu wa Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Mara, Morogoro, Manyara, Mwanza, Singida, Simiyu, Shinyanga na Tabora, Ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma, Aprili 19, 2018.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA INAYOLIMA PAMBA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa 10 inayolima pamba nchini wasimamie zao hilo kwa karibu ili kuinua uzalishaji wake na kuwaongezea kipato wananchi.
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jana jioni (Ijumaa, Septemba 8, 2017) wakati akizungumza na wakuu hao wa mikoa kwenye kikao alichokitiisha mjini Dodoma kujadili mbinu za kufufua zao hilo. Wakuu wa mikoa walioitwa kwenye kikao hicho ni kutoka mikoa ya Shinyanga, Singida, Kagera, Tabora, Morogoro, Mara, Mwanza, Simiyu, Katavi na...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WANAOTOKA MIKOA INAYOLIMA PAMBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa kwenye ukumbi wa Msekwa, bungeni Mjini Dodoma kabla ya kikao kati ya Waziri Mkuu na Wabunge wanaotoka mikoa inayolima pamba Novemba 14, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokutana na wabunge wanaotoka mikoa inayolima pamba kwenye ukumbi wa Msekwa, bungeni mjini Dodoma Novemba 14, 2017. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa. Baadhi ya wabunge wanaotoka mikoa inayolima...

 

2 years ago

Michuzi

MIKOA INAYOLIMA PAMBA IONGEZE UZALISHAJI-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa 11 inayolima pamba nchini wahakikishe wanasimamia vizuri wakulima wa zao hilo ili kuongeza uzalishaji na kuwaletea tija wananchi.
Agizo hilo limetolewa leo (Jumanne, Septemba 26, 2017) na Waziri Mkuu wakati akizungumza na wakuu hao wa mikoa kwenye kikao alichokitiisha mjini Dar es Salaam kujadili maendeleo ya zao hilo.Kikao hicho ni muendelezo wa kikao alichokitiisha mjini Dodoma (Ijumaa, Septemba 8, 2017) kujadili mbinu za kufufua zao...

 

2 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WANAOTOKA MIKOA INAYOLIMA PAMBA, AAGIZA WIZARA KUTAFITI MBEGU BORA ZA ZAO HILO

DODOMA
WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Kilimo ifanye utafiti wa kina ili kupata aina bora ya mbegu za pamba zitakazowanufaisha wakulima na lazima utafiti huo ufanyike kwa kuzingatia aina ya udongo unaopatikana katika kila mkoa unaolima zao hilo.

Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumanne, Novemba 14, 2017) alipozungumza na wabunge wanaotoka katika mikoa inayolima pamba, Bungeni mjini Dodoma.

“Mbegu za pamba ziko nyingi na zina migogoro. Mbegu nyingine zina manyoya, nyingine...

 

2 years ago

Michuzi

MIKOA INAYOLIMA PAMBA IONGEZE UZALISHAJI - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa 11 inayolima pamba nchini wahakikishe wanasimamia vizuri  wakulima wa zao hilo ili kuongeza uzalishaji na kuwaletea tija wananchi. Agizo hilo limetolewa leo (Jumanne, Septemba 26, 2017) na  Waziri Mkuu wakati akizungumza na wakuu hao wa mikoa kwenye kikao alichokitiisha mjini Dar es Salaam kujadili maendeleo ya zao hilo.
Kikao hicho ni muendelezo wa kikao alichokitiisha mjini Dodoma  (Ijumaa, Septemba 8, 2017) kujadili mbinu za kufufua zao...

 

1 year ago

Malunde

Picha : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATUA SHINYANGA..AKUTANA NA WADAU WA PAMBA KUTOKA MIKOA 16Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amekutana na wadau wa zao la pamba kutoka mikoa 16 inayolima pamba nchini.

Mkutano huo umefanyika leo Ijumaa Desemba 22,2017 katika ukumbi wa mikutano wa shule ya sekondari Savannah Plains iliyopo kata ya Ibadakuli katika manispaa ya Shinyanga.
Kikao hicho kimehudhuriwa na wadau wa pamba wakiwemo mawaziri,wakuu wa mikoa,wilaya,wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri za wilaya,makatibu,wabunge,mashirika,taasisi na wadau...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA PAMBA.

TAM1 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wadau wa  zao la pamba kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 17, 2016. Kulia kwake ni Wazieri wa Kilimo,  Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mku)TAM2

 

2 years ago

Channelten

Wakazi wa mikoa inayolima Pamba Kanda ya Ziwa, wamehimizwa kujikita katika zao hilo

PAMBA

Wakazi wa mikoa inayolima Pamba Kanda ya Ziwa, wamehimizwa kujikita katika zao hilo, ili kujikwamua kiuchumi na hivyo kuchangia katika pato la Taifa ikiwa ni jitihada zinazolenga kumuunga mkono Rais Dk. John Magufuli.

Wakuu wa wilaya zinazolima zao la pamba nchini, wametoa rai hiyo wilayani kwimba mkoani mwanza, wakati wa ziara yao ya kutathmini mafanikio yaliyofikiwa kwenye kilimo cha mkataba cha zao hilo.

Wakuu hao wa wilaya wakiwemo wa kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, kati na magharibi,...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WADAU WA PAMBA JIJINI MWANZA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara  Wenye Viwanda  (TCCIA) mkoa wa Mwanza, Christopher Mwita Gachuma wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza  kuongoza kikao cha wadau wa zao la pamba alichokiitisha, Februari 21, 2018.Watatu kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula na kushoto ni Mbinge wa Sumve, Richard Ndassa. Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba akizungumza...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani