WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KUSHIRIKI IBADA YA KUMUINGIZA KAZINI ASKOFU MKUU WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHELI TANZANIA (KKKT) MJINI MOSHI

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizung4umza na wanahabari ofisini kwake kuhusu ugeni wa Waziri mkuu ,Majaliwa Kassim Majaliwa mkoani Kilimanjaro.Baadhi ya wanahabari wa mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amosi Makala ali-pozung4umza nao ofisini kwake.
Na Dixon Busagaga wa Globu 
ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
WAZIRI mkuu, Majaliwa Kassimu Majaliwa, leo  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ibada maalum ya kumuingiza kazini askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KUSHIRIKI IBADA YA MAALUM YA KUANZA KAZI KWA ASKOFU MKUU WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHELI TANZANIA (KKKT) MJINI MOSHI

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizung4umza na wanahabari ofisini kwake kuhusu ugeni wa Waziri mkuu ,Majaliwa Kassim Majaliwa mkoani Kilimanjaro.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
WAZIRI mkuu, Majaliwa Kassimu Majaliwa, leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ibada maalum ya kumuingiza kazini askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania(KKKT),Askofu Dk Frederick Shoo katika kanisa kuu la Moshi mjini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa...

 

3 years ago

Michuzi

MAJALIWA AHUDHURIA IBADA YA KUMUINGIZA KAZINI MKUU WA KKKT TANZANIA ASKOFU SHOO MJINI MOSHI.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea picha aliyopewa na Askofu Mkuu Mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli,Askofu Frederck Shoo katika ibada ya kumuingiza kazini askofu huyo ilyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31, 2016. Baadhi ya waalikwa walioshiriki katika ibada ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31, 2016.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU WA PILI WA EAGT, DKT MWAKIPESILE, APANGA KUKUTANA NA VIONGOZI WA DINI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ataitisha kikao cha viongozi wa dini zote hivi karibuni ili wapange na kuainisha ni mambo gani ambayo wanaweza kutoa ushauri kwa Serikali na kupata njia bora ya kuwahudumia Watanzania. Ametoa ahadi hiyo leo mchana (Jumapili, Februari 7, 2016) wakati akizungumza na mamia ya waumini walioshiriki ibada ya kumsimika Askofu Mkuu wa Pili wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Askofu Dk. Brown Abel Mwakipesile iliyofanyika kwenye kanisa la...

 

11 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA ASKOFU MKUU WA EAGT DKT. MWAKIPESILE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT, Dkt. Brown  Mwakipesile, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU KIONGOZI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Injinia John Kijazi wakati alipomtembelea Waziri mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017 kwa mazungumzo ya kikazi.Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera Bunge,Kazi Ajira,Vijana na Walemavu Jenista Mhagama Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfafanulia jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara Joyce Sokombi.(chadema) wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango  wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka...

 

1 year ago

Michuzi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua mkutano mkuu wa BAKWATA mjini Dodoma leo.


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini popote walipo wahakikishe wanaipigania na kuilinda amani kwa kila hali ikiwa ni pamoja na kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Machi 31, 2018) kwenye Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma, ambapo amesisitiza kuwa ni muhimu wasaidizi wa Mufti wakasimamia suala hilo. “Dini ni taasisi muhimu sana kwa maisha yetu ya...

 

3 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

2 years ago

CCM Blog

KATIBU MKUU WA CCM KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA, LEO

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akikabirishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu mkuu huyo wa CCM, leo.
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenda eneo la kufanyika mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni baada ya...

 

10 months ago

Michuzi

Makamu wa Rais ashiriki ibada ya kumuweka Wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Mch. Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa KKKT mkoani Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo mara baada ya kuwasili kwenye Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na kumuweka Wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Mch. Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mch. Newton John Maganga, mkoani Tabora leo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani