WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BMT, BODI YA LIGI NA TFF MJINI DODOMA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UONGOZI WA SIMBA MJINI DODOMA

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe amekutana na na uongozi wa klabu ya Simba ukiongozwa na Rais wake Bw. Evans Aveva kwenye Ofisi zake Mjini Dodoma.Uongozi wa Simba umeitikia wito wa Mhe. Mwakyembe wa kukutana naye na kujadili masuala mbalimbali ya mpira wa Miguu zikiwemo fursa na changamoto katika mabadiliko na maendeleo ya uendeshaji wa timu.Aidha  Mhe. Mwakyembe  amepokea maoni ya Uongozi wa samba na kusahauri kuendelea kutoa ushirikiano na wadau wa...

 

12 months ago

Mwananchi

Mwakyembe kuanzia BMT, TFF

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema tangu achukuwa nafasi ya kuongoza wizara hiyo amegundua mambo yanayorudisha nyuma mchezo wa soka hapa nchini na kuahidi kuanza kuyachukulia hatua kwa kuanzia Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na Shirikisho la Soka nchini (TFF).

 

10 months ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA

 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma.Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene.Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akimkabidhi Kamusi kuu ya Kiswahili  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene leo Mjini Dodoma. Picha na Daudi Manongi - MAELEZO,DODOMA.

 

1 year ago

Bongo Movies

VIDEO: Nay wa Mitego Akutana na Waziri Mwakyembe Dodoma

Staa wa Bongofleva Nay wa Mitego alifika katika ofisi za Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo zilizopo Dodoma kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Waziri Dr. Harrison Mwakyembe ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu msanii huyo kuachiwa huru.

Nay wa Mitego na Waziri Dr. Harrison Mwakyembe

Nay wa Mitego alikuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi Dar es slaam kwa tuhuma za wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kutokuwa na maadili kisha baadae aliachiwa huru baada ya agizo lililotolewa na...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA MAELEZO ONLINE TV MJINI DODOMA

Na Daudi Manongi-MAELEZO.Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe,Harrison Mwakyembe ameipongeza Idara ya Habari-MAELEZO kwa ubunifu mkubwa  katika kuitangaza Serikali. ameyasema hayo jana mjini Dodoma wakati akizindua televisheni ya mtandaoni ya Idara ya Habari-MAELEZO inayoitwa MAELEZOTV.“Napenda nichukue fursa hii kwa kuwapongeza Idara ya Habari kwa kazi nzuri mnayoifanya katika Wizara hii,nawapongeza kwa ubunifu mkubwa na leo tunazindua Televisheni ya mtandaoni ya Idara hii  kwa...

 

2 months ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe Akutana Na Wajumbe Bodi Ya Filamu,atemebela Studio Zinazoandaa Kazi Za Filamu,Muziki

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Bw. Silvester Sengerema (kulia) moja ya kompyuta mpakato kuashiria makabidhiano ya vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa kwa ajili ya kuimarisha majukumu ya Bodi ya Filamu alipofanya ziara katika ofisi za Bodi na kukutana na wajumbe wa Bodi ya Filamu jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce FissooWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na...

 

10 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AMUAGIZA MWAKYEMBE AICHUNGUZE BMT


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe alifanyie mapitio Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na iwapo hatoridhika na utendaji wake alivunje.
“Ninamuagiza Waziri mwenye dhamana kufanya mapitio na kutathmnini upya utendaji kazi wa Baraza la Michezo Tanzania juu ya usimamizi wake wa michezo nchini na kama hataridhika, anayo mamlaka ya kulivunja Baraza hilo.” 
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumatano, Julai 5, 2017) katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani