WAZIRI MWAKYEMBE ATEUA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA MICHEZO MALYA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha michezo Malya.
Uteuzi huo umetekelezwa kwa mujibu wa sheria ya Na. 9 ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ya mwaka 1997 ikisomwa na mwongozo wa uteuzi wa bodi ya uongozi wa vyuo vya elimu ya juu.

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya hazina ya michezo nchini

Na Eleuteri Mangi, WHUSM
Wakurugenzi wa halimashauri wameaswa kutumia fursa uwepo wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya kilichopo mkoani Mwanza kwa kuwaruhusu walimu wa michezo wengi zaidi kuongeza ujuzi wao ili kuinua sekta ya michezo nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel alipotembelea chuo hicho kujionea namna chuo hicho kinavyoendesha programu zake katika jitihada za kuendeleza sekta ya michezo...

 

2 years ago

Michuzi

CHUO CHA MICHEZO MALYA KUWA CHA MFANO

Serikali imesema itakuwa bega kwa bega na Chuo cha michezo Malya ili kuhakikisha chuo hicho kinakuwa kitovu cha kuzalisha walimu bora na wenye weledi katika masuala mazima ya michezo hapa nchini na hata nje ya nchi. 
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo Sanaa na Michezo, Mh. Harrison George Mwakyembe, alipokuwa akifunga mafuzo ya muda mfupi yanayo tolewa na chuo hicho, ambapo jumla ya wahitimu wapatao sitini na tisa (69) walitunukiwa vyeti na waziri huyo. 
Mwakyembe...

 

3 years ago

CCM Blog

NAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA PAMOJA NA CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA MKOANI MWANZA

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji Mstaafu Mark Bomani
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (katikati) akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni Bujora, kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu Charles Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza

 Waziri wa Habari,...

 

2 years ago

Mwananchi

Waziri Mbarawa ateua Mwenyekiti, wajumbe wa Bodi ya TBA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa, amemteua Dk Edward Ngwale kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Majengo(TBA).

 

9 months ago

Zanzibar 24

Waziri Mwakyembe amteua Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Tanzania.

The post Waziri Mwakyembe amteua Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania appeared first on Zanzibar24.

 

9 months ago

Malunde

WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA FILAMU NCHINI

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Prof. Frowin Paul Nyoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu nchini Tanzania pamoja na wajumbe wapya sita wa bodi hiyo.

Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na Wizara hiyo na kusema uteuzi huo umeanza kufanya kazi rasmi Aprili 18, 2018 na wataitumikia bodi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu.

Kwa taarifa kamili soma hapa chini..

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani