WAZIRI MWIGULU ASEMA KWA SIMBA ILIPOFIKA ANAIPA BARAKA ZA USHINDI FAINALI YA SPORT PESA ILA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk.Mwigulu amesema kwa sasa anachoweza kukielezea kwa timu ya Simba anamuomba Mungu aifanikishe timu hiyo kuhsinda mchezo wa fainali wa michuano ya Sport pesa dhidi ya timu ya Gor Mahia ya nchini Kenya.

Simba ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wametinga fainali ya michuano hiyo na kesho Jumapili watacheza mchezo wa fainali ya michuano hiyo na timu ya Gor Mahia ya Kenya.

Akizungumza na Michuzi Blog jijini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA


Vikosi vya Yanga ,Simba, JKU cha Zanzibar vimeondoka nchini kwenda Nairobi nchini Kenya.Yanga ,Simba ,Singida united na JKU wanakwenda kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup itakayofanyika mjini Nakuru nchini Kenya.Michuano hiyo itaanza Jumapili ikishirikisha timu nane, nne kutoka Tanzania na nne kutoka Kenya.Kikosi kamili cha Yanga Sports Club  kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup .
Kikosi kamili cha Simba SC kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Zitakavyotumika pesa za viingilio vya Sport Pesa Super Cup

Baada ya CEO wa Everton Robert Elstone kuthibitisha kuwa  timu yake ya Everton itakuja Dar es Salaam July 13 kucheza mchezo wa kirafiki na Bingwa Sport Pesa Super Cup kama sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu England. Waandishi wa habari baada ya hapo wakamdaka Mkurugenzi wa Utawala wa Sport Pesa Abbas Tarimba […]

The post VIDEO: Zitakavyotumika pesa za viingilio vya Sport Pesa Super Cup appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

GOOD NEWS: Niliwaona kwa Jirani, sasa SPORT PESA imeingia Tanzania

Hii ni habari nyingine njema kabisa na ninakumbuka May 2 2017 niliweka stori ya Jamaa mmoja wa Kenya aliejishindia Shilingi za Kitanzania zaidi ya BILIONI 4 kwa sababu tu alitabiri na kupatia mechi 17 kwenye kampuni ya SPORTPESA. Mimi kama Mwandishi wa habari nimekua nikifatilia sana pia habari za Kenya na kuna wakati niliona jinsi Betting […]

The post GOOD NEWS: Niliwaona kwa Jirani, sasa SPORT PESA imeingia Tanzania appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Bongo Movies

Nisha kwa Baraka Nimefuata Penzi, Si Pesa

Staa wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa sababu ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mwanamuziki Baraka Da Prince ni kuhitaji penzi la kweli na si vinginevyo.

Akipiga stori na Ijumaa, Nisha alisema kuwa watu wamekuwa wakimsengenya kwa kudai kuwa eti yeye kuwa na Baraka ni sawa na ‘kumbemenda’ lakini akajitetea kwamba penzi la siku hizi haliangalii umri, kikubwa ni penzi la kweli.

“Unaweza kuwa na mtu mzima mwenzako na msielewane lakini ukawa na ‘serengeti boy’...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ushindi wa Simba vs African Lyon uliyoipeleka robo fainali ya ASFC

February 16 wekundu wa Msimbazi Simba walicheza mchezo wao wa hatua ya 16 bora ya kombe la Azam Sports Federation dhidi ya African Lyon uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Simba walicheza game hiyo na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Laudit Mavugo dakika ya 57, ushindi huo unaipeleleka Simba robo fainaili ya […]

The post VIDEO: Ushindi wa Simba vs African Lyon uliyoipeleka robo fainali ya ASFC appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Simba unaowafanya wakutane na Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-08-at-7-45-40-pm

Baada ya jana January 7 2017 Dar es Salaam Young Africans kuruhusu kufungwa goli 4-0 dhidi ya Azam FC na kumaliza Kundi B wakiwa nafasi ya pili, Simba wameifunga Jang’ombe Boys goli 2-0 na kuifanya Simba kumaliza Kundi A wakiwa nafasi ya kwanza. Ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Jang’ombe Boys zilizofungwa na Laudit Mavugo […]

The post Ushindi wa Simba unaowafanya wakutane na Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ACHOTA BARAKA KWA MAMA MARIA NYERERE KUELEKEA SAFARI YAKE YA URAIS NCHINI TANZANIA

Mwigulu Nchemba akiwa na Mama Maria Nyerere hii leo Kijijini Butiama,Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere alipokwenda kusalimia .Mwigulu Nchemba akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwl.Nyerere,Nyerere anaendelea kukumbukwa kwa kuwa Muasisi wa Taifa letu na Kiongozi aliyeweka Misingi Imara ya Tanzania tuliyonayo sasa.
Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mama Maria nyerere hii leo,Nyumbani Butiama.Wakati wa kuchota Baraka za Mama Maria nyerere akiwa...

 

11 months ago

BBCSwahili

Timu nane kukipiga kombe la Sport Pesa Nairobi

Mshindi wa mashindano hayo atasafiri hadi England kutoana jasho na Everton mwezi Julai

 

2 years ago

Michuzi

Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo akipokea pesa kutoka kwa mashabiki wa SimbaNa Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Ushindi wa bao 2-1 wa klabu ya Simba dhidi ya mahasimu wao Dar es Salaam Young Africa umeweza kuwaneemesha wafungaji wa Simba, Laudit Mavugo na Shiza kichuya.
Wachezaji hao ambao waliweza kung’ara katika mchezo huo, walijipatia fedha za kutosha kutoka kwa mashabiki wa mchezo huo ,waliokuwa wakiwatuza fedha mara baada ya mchezo huo kuisha.
Ushindi wa mchezo huo ameleta shnagwe na furaha kubwa kwa washabiki na kuamua kuwajaza manoti wachezaji hao.Mshambuliaji wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani