WAZIRI UMMY AFUNGUA MDAHALO WA WABUNGE JIJINI DODOMA KUHUSU WAJIBU WA WAZAZI KATIKA MALEZI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAZIRI UMMY ATOA TAARIFA KUHUSU UGONJWA WA EBOLA LEO JIJINI DODOMA Waziri wa Afya,Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu akitoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Ebola leo Jijini Dodoma,kulia ni Mkurugenzi wa Tiba dkt. Dorothy GwajimaWaziri wa Afya,Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu akitoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Ebola leo Jijini Dodoma,kushoto ni Mkurugenzi huduma za Kinga dkt.Leonard Subi.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

 

12 months ago

Michuzi

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma.Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Uongozi  Prof Joseph Semboja,Nlanla Gumede kutoka Afrika Kusini na Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji  wananchi kiuchumi Bi.Beng’i Issa. 

 Afisa...

 

1 week ago

Michuzi

WAZIRI MKUCHIKA AFUNGUA WARSHA KUHUSU HALI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA KIMATAIFA WA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti Chama cha Wabunge walio katika Mapambano dhidi ya Rushwa (APNAC) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Cpt. George Mkuchika akifungua warsha kuhusu hali ya utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Mapambano dhidi ya Rushwa iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), CP Diwani Athumani akiwasilisha maada mbele ya Wajumbe Chama cha Wabunge...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy azindua ujenzi wa wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Gairo

Halmashauri ya Wilaya ya Gairo imetakiwa kuweka mipango ya kuhakikisha inafanya ujenzi wa hospitali ya wilaya ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kiafya katika wilaya hiyo.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu wakati akizindua ujenzi wa wodi ya wazazi inayojengwa kwenye kituo cha Afya mjini hapa inayodhaminiwa na mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby.

Waziri Ummy amesema wodi hiyo ikikamilika itawasaidia akina mama wengi wa halmashauri...

 

2 years ago

Michuzi

MDAHALO KUHUSU NAFASI YA DIASPORA KATIKA UCHUMI KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


Na: Nuru Juma & Husna Saidi – MAELEZOWATANZANIA waalikwa kushiriki katika mdahalo baina ya Diaspora na  wenzao waishio nchini ili kujadili nafasi ya Diaspora katika uchumi wa nchi, unaotarajiwa kufanyika tarehe 11 na 12 April katika ukumbi wa Mzalendo Pub Jijini Dar es Salaam.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa kampuni ya  Ikolo Investiment Bw Maggid Mjengwa wakati akiongea na waandishi wa habari, leo jijini Dar es Salaam.

Mjengwa amesema kuwa Mdahalo huo umeandaliwa kwa lengo mahususi la...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati wa ufunguzi semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari 22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo. Washiriki wa Semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...

 

5 years ago

Mwananchi

Wazazi wasikimbie kivuli chao kuhusu malezi

Mafanikio ya mtoto kielimu huchangiwa na jitihada za mzazi na mwalimu, hitilafu kwenye jitihada za mmoja kati ya hawa huhusiana moja kwa moja na udhaifu wa kitaaluma wa mtoto.

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA UJENZI WA WODI YA WAZAZI KATIKA KITUO CHA AFYA CHA GAIRO. Waziri wa afya akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa halmashauri hiyo,mara baada ya kuzindua ujenzi wa wodi ya wazazi inayojengwa kwenye kituo cha afya gairo(picha na wizara ya afya)
  Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi ya wodi ya wazazi kwenye kituo cha afya Gairo. Waziri Ummy Mwalimu akiwasikiliza watumishi wa kituo hicho cha afya(hawapo pichani),kushoto ni mbunge wa jimbo la Gairo Mhe.Ahmed Shabiby(wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy Mwalimu awaongoza Wabunge wa Tanga kutoa pole wahanga wa mauaji jijini Tanga

Picha za matukio ya Waziri Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu alipoongoza wabunge wa mkoa wa Tanga kuwapa pole wahanga tukio la mauaji ya kinyama la watu wanne kuchinjwa katika kijiji cha Kibati .

Ummy Mwalimu

Waziri Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari Mkoani Tanga mara baada ya kutembelea eneo la Zed B walipohamia wananchi wa Mtaa wa Kibatini kulipotokea mauaji wa watu wanane kwa kuchinjwa ambapo aliongozana...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani