WAZIRI UMMY AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA KLABU YA AFRICAN SPORTS

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu ametoa vifaa vya michezo kwa timu ya African Sports ya Tanga yenye thamani ya zaidi ya milioni 1.5 ikiwa ni mkakati kabambe wa kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye mashindano wanayoshiriki na hatimaye kucheza ligi daraja la kwanza msimu ujao.
Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga wakati wa ufunguzi wa timu ya wanawake ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya wilaya ya Tanga ambapo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AZINDUA MASHINDANO YA BANDA CUP AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu 16 ambazo zinashiriki michuano ya Banda Cup ikiwa ni mchango wake kusaidia mashindano hayo.

Makabidhiano hayo yalifanywa kwa timu 16 ambazo zinashiriki mashindano hayo wakati alipokwenda kuyafungua kwenye viwanja vya CCM mkwakwani mjini Tanga.Mashindano hayo yameanzishwa na Beki wa timu ya Baroka FC ya nchini Afrika kusini Abdi Banda akiwa na lengo la kusaidia kuinua vipaji vya soka...

 

9 months ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AIPIGA 'JEKI' KLABU YA AFRICAN SPORTS

MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu amekabidhi chakula na vifaa vyengine kwa ajili ya kuisaidia timu ya African Sports ya Jijini Tanga kujikimu katika kambi yao iliyopo maeneo ya Donge Tanga.

Msaada huo umefika wakati muafaka ambapo timu hiyo inajiandaa kuelekea michezo yao miwili iliyobakia ya ligi ya Taifa Daraja la Pili inayomalizika ndani ya wiki mbili.Miongoni mwa vitu alivyokabidhi ni pamoja na Mchele...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AIBEBA AFRICAN SPORTS YA JIJINI TANGA

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewakabidhi timu ya African Sports “Wana kimanu manu”fedha milioni 2.1 kwa ajili ya posho za wachezaji wa timu hiyo inayoshiriki Ligi daraja la pili Tanzania.Licha ya kukabidhi fedha hizo lakini pia aliwalipia kwenye shirikisho la soka Tanzania (TFF)Laki tano (500,000) kwa ajili ya leseni za wachezaji na ada ya ushiriki wa timu hizo.

Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo,Waziri Ummy alisema ameamua kutoa msaada ...

 

4 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI

Viongozi wa Kampuni ya Bantu Sports And Fitness Enterprise, wakipanda mti wakati wa Uzinduzi wa Kampuni hiyo iliyoambatana na utoaji wa Msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kutunza mazingra katika Shule ya Sekondari Miono na Kikaro zilizopo Chalinze Mkoa wa Pwani. Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kevin William na Alex Mode wa Shule ya Kikaro wakichuana kuwania mpira baada ya kupokea msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya...

 

4 years ago

GPL

BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI‏

Viongozi wa Kampuni ya Bantu Sports And Fitness Enterprise, wakipanda mti wakati wa Uzinduzi wa Kampuni hiyo iliyoambatana na utoaji wa Msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kutunza mazingra katika Shule ya Sekondari Miono na Kikaro zilizopo Chalinze Mkoa wa Pwani. Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kevin William na Alex Mode wa Shule ya Kikaro wakichuana kuwania mpira… ...

 

5 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo...

 

4 years ago

Michuzi

Milla Sports Club a.k.a. Berlin ya Temeke yakabidhiwa vifaa vya michezo

 Timu ya Milla Sports Club ya Temeke maarufu kama Berlin imeadhimisha siku yake ya Milla Day katika hafla ambayo pia walikabidhiwa  vifaa vya michezo Jersey na mipira ili kusaidia timu hiyo iweze kushiriki ligi ya soka Wilaya ya Temeke. Timu hii ya Berlin imezalisha wanamichezo na viongozi wengi maarufu wa soka nchini. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo MJUMBE wa NEC Ndg. Phares Magesa akitoa msaada huo wa vifaa vya michezo

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Klabu ya Simba SC ya zindua duka la kuuza vifaa vya michezo

IMG_2260

Klabu ya Simba SC ya Jijini Dar es Salaam, wamezindua rasmi duka ambalo litakuwa linauza vitu mbalimabali vyenye nembo ya klabu hiyo kwa lengo la kutengeneza pesa.

IMG_2170
Rais wa klabu ya Simba (katikati) akikata utepe kuzindua duka la kuuza vifaa vya Simba ambalo lipo Dar Free Market Mall Ground Floor

DSC_0350

Rais wa Simba Bw. Evans Aveva amezindua rasmi duka la Simba ambalo lipo katika jengo la Dar FRee Market, eneo la Oysterbay, litakuwa likiuza vifaa vya michezo, jezi, kofia, T-shirts pamoja na vitu...

 

4 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA UTUMISHI YAKABIDHI VIKOMBE VYA SHIMIWI KWA WAZIRI MH.KOMBANI

Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Utumishi Mh.Celina O. Kombani (Mb) (katikati) kuzungumza na watumishi katika hafla fupi ya kuzipongeza timu za Utumishi zilizoshinda kwa kishindo katika Michezo ya SHIMIWI 2014.Kulia ni Mwenyekiti wa Michezo Utumishi Bw.Lumuli Mtaki.Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli kwa wanaume kutoka Utumishi Bw.Hassan Ligoneko akimkabidhi kombe Waziri wa Utumishi Mh.Celina O. Kombani (Mb) wakati wa hafla fupi ya kuzipongeza...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani