WAZIRI UMMY AZINDUA MASHINDANO YA BANDA CUP AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu 16 ambazo zinashiriki michuano ya Banda Cup ikiwa ni mchango wake kusaidia mashindano hayo.

Makabidhiano hayo yalifanywa kwa timu 16 ambazo zinashiriki mashindano hayo wakati alipokwenda kuyafungua kwenye viwanja vya CCM mkwakwani mjini Tanga.Mashindano hayo yameanzishwa na Beki wa timu ya Baroka FC ya nchini Afrika kusini Abdi Banda akiwa na lengo la kusaidia kuinua vipaji vya soka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA KLABU YA AFRICAN SPORTS

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu ametoa vifaa vya michezo kwa timu ya African Sports ya Tanga yenye thamani ya zaidi ya milioni 1.5 ikiwa ni mkakati kabambe wa kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye mashindano wanayoshiriki na hatimaye kucheza ligi daraja la kwanza msimu ujao.
Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga wakati wa ufunguzi wa timu ya wanawake ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya wilaya ya Tanga ambapo...

 

4 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.
 DC Makonda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk.Aziz Msuya, Diwani...

 

9 months ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akikagua wachezaji wa timu ya Mashabiki wa Yanga muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Aweso Cup kati ya timu ya mashabiki wa Yanga na timu ya mashabiki wa Simba leo mjini Pangani.Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wapili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya mashabiki wa Simba muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa ufunguzi...

 

4 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo. Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...

 

4 years ago

GPL

MAKONDA AZINDUA KINONDONI CUP JIJINI DAR, AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138‏

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.… ...

 

2 years ago

Michuzi

Waziri Ummy Mwalimu Azindua Huduma Mpya ya Kupandikiza Vifaa vya Usikivu Muhimbili, apiga Marufuku Wagonjwa Kutibiwa Nje ya Nchi

Serikali imesema kwamba kuanzia sasa haitapeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya kupandikiza vifaa vya usikivu kwa kuwa huduma hiyo imeanza kutolewa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).Kauli hiyo imetolewa Leo na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu katika hospitali hiyo wakati akizindua huduma ya upasuaji wa kupandikiza vivaa vya usikivu (Cochlea Implant).Ummy alisema kuwa huduma hizo zitakuwa zikitolewa Muhimbili kwa sababu ina madaktari...

 

9 months ago

Michuzi

JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI

Mlezi wa timu za Jeshi, Luten Kanal, David Mziray akipokea vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja Mwandamizi wa NMB, Mahususi kwa wateja, Gibson  Mlaseko kwa ajili ya michezo ya Mkuu wa Majeshi itakayofanyika jijini Dar es Salaam
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.BENK ya NMB imetoa vifaa vyenye thamani ya Tsh. Milioni 10 kwa timu za Majeshi ambazo zinajiandaa na mashindano ya Majeshi yanayotarajia kuanza Mei 8 hadi 20, mwaka huu kwenye viwanja vya Uhuru na Twalipo Jijini Dar es Salaam.Michezo...

 

3 years ago

Vijimambo

Dk. Shein Azindua Uwanja wa Basketi Wete na Kukadidhi Vifaa vya Michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Resi za Baskeli Pemba Ndg Masoud Omar vifaa vya mchezo huo pamoja na baskeli haipo pichani. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Mpira wa Bidmilton Ndg Ali Mwinyi Faki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Kareti Ndg Halfan...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA UMMY APOKEA VIFAA VYA MACHO VYENYE THAMANI YA MILIONI 320


Na Amina Kibwana, Globu ya Jamii.
WIZARA ya Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto imepokea vifaa vya huduma za macho vyenye thamani ya milioni 321, 234,002 kutoka kwa Shirika la Christian Blind Blind Mission kupitia benki ya Standard Chartered kupitia mradi wa "Seeing is Believing, Child Eye Health" leo jijini Dar es salaam. 
Akipokea misaada hiyo, Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu ameshukuru kwa msaada huo kwani kupata vifaa hivyo vitasaidia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani