WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KITUO CHA AFYA RAHALEO NA MAKAAZI YA MADAKTARI WA CHINA NA CUBA

MUUGUZI wa Kitu cha Afya Rahaleo Wanu Amour akimuonyesha kichupa cha chanjo ya watoto Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed (mwenye suti) alipofanya ziara ya kutembelea kituo hicho .
Na Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed amesisitiza msimamo wake wa kufuatilia na kupambana na Wafanyakazi wakorofi  wenye tabia ya kuwatolea lugha chafu  wagonjwa wanapofika vituo vya afya kutafuta huduma.
Amesema Wafanyakazi wengi wa vituo vya afya ni wazuri na wanatekeleza wajibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kigwangalla afanya ziara kwenye Zahanati za Segerea, Tabata ‘A’ na kituo cha Afya Mnyamani Dar

Naibu Waziri wa Afya,  Dk. Kigwangalla  afanya ziara kwenye Zahanati za Segerea, Tabata ‘A’ na kituo cha Afya Mnyamani

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara ya kushtukiza katika Zahanati na Kituo cha Afya ndani ya Jimbo la Segerea kwa kile kilichoelezwa kusikiliza kero za Wananchi waliokuwa wakilalamikia huduma mbovu zilizokuwa zikitolewa na watumishi wa sehemu hizo.

Katika ziara hiyo, Dk. Kigwangalla aliongozana na Mbunge wa...

 

4 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA WITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ''A'' UNGUJA

Mkuu wa kituo cha Afya cha Mkokotoni Mcha Haji Makame akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (alievaa miwani) alipofanya ziara ya kutembelea vituo vya afya vya Wilaya Kaskazini A. Wa kwanza (kushoto) mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Andymicheel Ghirmany akifuatiwa na mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Bibi Fransisca.Mkuu wa kituo cha Afya Mkokotoni akiwaonyesha wawakilishi wa UNICEF Bibi Fransisca na mwenzake wa WHO Ghirmany jiko la kuchoma takataka za Hospitali...

 

2 years ago

Dewji Blog

PICHA: Ziara ya Waziri wa Afya na Waziri wa Maendeleo wa Denmark katika Kituo cha Afya Buguruni

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametembelea Kituo cha Afya Buguruni akiwa na Waziri wa Maendeleo wa Denmark, Martin Bille Hermann pamoja na Mkuu wa Wilaya, Sophia Mjema.

Lengo la ziara hiyo ni kufuatilia utoaji wa huduma za Afya  katika vituo vinavyomilikiwa na Serikali ambapo Demnark ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa sekta ya afya nchini kupitia Mfuko wa Afya wa Pamoja (Health Basket Fund).

MO Blog imekuwekea picha za ziara hiyo.

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MHE. MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGUA KITUO CHA AFYA NUNGWI

 Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Dk,Ameesh Mehta mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Hospitali ya Dk,MEHTA(DR MEHTAS HOSPITAL)Ilioko Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Waziri wa Afya Mahmoud Thabit kombo akikunjuwa kitambaa ikiwa ni ishara ya Uwekaji wa jiwe la msingi la Hospitali ya Dk,Mehta(DR MEHTAS HOSPITAL)Ilioko Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Waziri wa Afya Mahmoud Thabit kombo akikata utepe ikiwa ishara ya Ufunguzi wa  Hospitali ya Dk,Mehta(DR MEHTAS...

 

3 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

2 years ago

Ippmedia

3 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI WA AFYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, MWANANYAMALA NA KITUO CHA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA CHA FOREPLAN (T) LIMITED, ILALA BUNGONI JIJINI DAR ES SALAAM ALIAGIZA JESHI LA POLISI KUMKAMATA NA KUMFIKISHA MAHAKAMANI MMI

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangalla (kushoto) akisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Damu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dk. Stella Rwezaura (katikati) mara baada ya kutembelea wodi ya wagonjwa ya Mwaisela mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo leo jijini Dar es salaam kufuatia kuwepo kwa taarifa za zilizozaagaa kwenye mitandao ya kijamii za mgonjwa Kuluthumu Kasongo...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA AFANYA ZIARA MKOANI KAGERA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KABYAILE MISSENYI

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amefanya ziara ya kikazi Mkoani Kagera kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya Kabyaile Wilayani Missenyi kinachojengwa upya na Jeshi la Wananchi Tanzania mara baada ya kuathiriwa na Tetemeko la Ardhi lililotokea Mwezi Septemba mwaka jana.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Mabeyo alifanya ziara hiyo Machi 2, 2017 na lengo kuu ilikuwa ni kuona maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho mara baada muda alioutoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Watendaji wizara ya afya Zanzibar wakagua ujenzi wa kituo cha afya kijitoupele

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo amesema kujengwa vituo vya afya katika maeneo mbali mbali kutaweza kusaidia kupungua msongamano wa wagonjwa katika Hospital kuu ya Rufaa Mnazi Mmoja .

Hayo amesema Dkt Fadhil Mohammed Abdullah mkurugenzi wa kinga na elimu ya afya  kwa niaba ya waziri wa afya  wakati alipokuwa akikaguwa  kituo cha afya kilichokuwa meli nne katika jimbo la kijitoupele.

Amesema kituo hiki cha afya kilichojengwa hapo kina umuhimu mkubwa  sana hasa ukizingatia katika jimbo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani