WAZIRI WA JK AREJEA CCM ATWAE JIMBO 2020

Mwanasiasa wa upinzani na aliyekuwa Naibu Waziri katika serikali ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete, Goodluck Ole Medeye, ametangaza kurejea Chama Cha Mapinduzi huku akidai kuwa ameamua kufanya hivyo kwa kuwa vitendo vya rushwa,-Hususan nyakati za uchaguzi, vimemalizwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Dk. John Magufuli.

Ole Medeye juzi alisema kilichomkimbiza CCM mwaka 2015 na kujiunga na Chadema ni vitendo vya rushwa katika mchakato wa kupata wagombea wa chama hicho tawala.

Alisema anafurahi kuona...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

HOTUBA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA, AKIWASILISHA TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2015 – 2020


1.0.      UTANGULIZINdugu Mwenyekiti na WanaCCM wenzangu;Serikali ya Awamu ya Tano inatimiza miaka miwili toka iingie madarakani mwezi Novemba, 2015.

Katika kipindi hiki, Serikali imeendelea kutekeleza changamoto zinazowakabili wananchi kwa kuweka sera madhubuti zinazosaidia kutatua changamoto mbalimbali ambazo Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitoa mwelekeo wake wakati akifungua Bunge jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 20 Novemba,...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUSHIKA KASI,CCM YATAMBA KUNYAKUA JIMBO.

 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo jioni,alipokwenda kuzungumza nao na kuomba ridhaa yao ya kuwaongoza kama Mbunge.  Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akizungumza na Wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA JIMBO LA MPWAPWA NA KIBAKWE,LEO KUWASILI JIMBO LA KONGWA.

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa,Nape Nnauye sambamba na viongozi mbalimbali wa chama mkoani Dodoma jana wamemaliza ziara ya Kikazi katika jimbo la Mpwapwa na Kibakwe mkoani Dodoma,ambapo leo wanaanza ziara katika jimbo la Kongwa.Kinana anaendelea na ziara yake ya siku tisa mkoani humo,akikagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 ikiwemo sambamba na kuimarisha uhai chama,kusikiliza matatizo...

 

1 year ago

Channelten

Kujitenga kwa Jimbo la Catalonia, Kiongozi wa jimbo hilo aitisha mkutano na waziri mkuu

35c72790b41d77cd7900d8e2ca1e9f70

Kiongozi wa jimbo linalotaka kujitenga na kujitawala la Catalonia Carles Puigdemont ameitisha mkutano na waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy mapema iwezekanavyo huku muda wa mwisho aliopewa na serikali kuu ya Uhispania kufafanua zaidi azma yake ya kutaka Catalonia kuwa taifa huru, ukiwa ni leo.

Katika barua aliyomuandikia Rajoy, Puigdemont amesema wasiwache hali izidi kuzorota, na kwa nia njema, kwa kutambua tatizo na kulikabili ana hakika watapata njia ya kufikia suluhu.

Hata hivyo...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MISUNGWI,KESHO KUVAMIA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kushoto), akishiriki kupalilia katika shamba la dengu la mwanakijiji cha Manawa, Kata ya Misasi, Luhoyo Mwilima (Wanne kulia), akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana,Leo aliendelea na ziara yake katika jimbo la Misungwi linaloongozwa na Mh. Charles Kitwanga ambaye pia ni naibu Waziri wa Nishati na Madini akitembelea maeneo...

 

4 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA LEO JIMBO LA NYAMAGANA,KESHO KUUNGURUMA LIVE JIMBO LA ILEMELA JIJINI MWANZA

 Wananchi wakiwa wamesimama juu ya daraja la zamani, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa daraja jipya la Isegenge katika Kata ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo.Ndugu Kinana kesho atahutubia katika mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza,mkutano huo utarushwa moja kwa moja na televisheni mbalimbali ikiwa ni sehemu ya hitimisho ziara yake...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mabo ya Ndani Mhe Hamad Masauni atembelea miradi ya jimbo lake

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Yussuf Masauni na Aliyekuwa Mwakilishi wa Rahaleo kwa sasa ni Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Mhe Nassor Salim Jazira wakiteta jambo wakati wa ziara ya Mbunge Mhe Masauni kutembelea Mradi wa Maji Kaburikikombe Zanzibar.  Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni akiwa katika ziara yake kutembelea mradi wa kisima cha maji Kaburikikombe Migimbani Zanzibar. Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Tanzania...

 

3 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ZANZIBAR na Naibu Waziri wa Mabo ya Ndani Mhe Hamad Masaudi Atembelea Miradi ya Jimbo lake.

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni akiwa katika ziara yake kutembelea mradi wa kisima cha maji kaburukikombe migimbani Zanzibar.Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Hamad Yussuf Masauni akizungumza na Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa ziara yake katika mradi wa maji kaburi kikombe migombani Zanzibar Mradi huo unasimamiwa na Jumuiya ya TAYI  Tanzania Youth Icon kulia aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo na kwa sasa anagombea Jimbo la...

 

4 years ago

Vijimambo

KAGONJI AREJEA CCM


Mzee Charles Kagonji arudi CCM Uongozi mzima wa Jimbo la Mlalo warudi CCMKinana awapokea kwa mikono miwili Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiutangazia umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa mikutano Sunga kurejea rasmi kwa Charles Kagonji (mwenye shati la kitenge) kwenye Chama Cha Mapinduzi akitokea Chadema,wengine katika picha hii ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Lushoto Balozi Abdi Hassan Mshangama
 Mzee Charles Kagonji...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani