WAZIRI WA KILIMO AAGIZA KURUDIWA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA USHIRIKA KILA MAHALI PENYE DOSARI WILAYANI IKUNGI

Na Mathias Canal-WK, Singida

Waziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Afisa ushirika wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Ndg Gurisha Msemo kufanya ziara ya kikazi maeneo yote kuliko fanyika uchaguzi wa viongozi wa vyama vya ushirika ili kubaini uhalali wa uwepo wao.

Mhe Tizeba ametoa kauli hiyo mara baada ya wakazi wa Kijiji cha Mkunguakihendo na Misughaa Wilayani Ikungi kuonyesha kutotambua namna walivyochaguliwa viongozi waliopo madarakani kukiongoza chama hicho katika ngazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 - 1963.

 

1 year ago

Michuzi

DC MTATURU AZINDUA MSIMU WA KILIMO 2017/2018 WILAYANI IKUNGI

Na Mathias Canal, SingidaMkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu amezindua msimu wa kilimo 2017/18 ikiwa ni Sehemu ya kuwasihi wananchi kuanza kujiandaa kwani tayari wakati wa kuanza kilimo umekaribia.Katika uzinduzi huo uliofanyika katika kijiji na kata ya Ihanja wilayani Ikungi Mhe Mtaturu pamoja na  mambo mengine lakini amewasihi kutumia vizuri mvua za mwanzo kupandia.Katika mkutano huo wa uzinduzi  Mhe Mtaturu pia ameanzisha utaratibu huo wa kuzindua...

 

2 years ago

Michuzi

RC NCHIMBI AAGIZA KUVUNJWA KWA BODI YA USHIRIKA MSAI WILAYANI IRAMBA, NDANI YA WIKI MBILI


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Iramba Emmanuel Luhahula, asimamie kuvunjwa kwa bodi ya Ushirika wa Kijiji cha Msai Wilayani Iramba ndani ya wiki mbili, kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 50.
Dkt Nchimbi ametoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipokuwa katika mkutano na wakulima wa Pamba wa Kijiji cha Msai, ambao wamemueleza kutokuwa na imani na viongozi wa bodi hiyo kutokana na upotevu wa fedha hizo na wakiwa hawajachukuliwa...

 

2 years ago

Michuzi

KILELE CHA IKUNGI HALF MARATHON 2016 CHARINDIMA WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na viongozi wa ngazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ikungi wakishuhudia wakimbiaji wanavyowasili katika uwanja wa shule Ya Sekondari Ikungi.Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 walivyoanza mbio hizo katika Kijiji Cha Kimbwi Kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 wakichuana kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi. Mwandishi...

 

1 year ago

Malunde

DC LINDI AAGIZA VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA WAKAMATWE KWA KUCHANGANYA MCHANGA NA KOROSHO


Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga ameliagiza jeshi la polisi wilayani humo liwakamate na kuwafikisha mahakamani viongozi na watendaji wa chama cha msingi cha ushirika cha ushirika Pangatena kwa tuhuma za kuchanganya mchanga na korosho (kuchakachua). 
Akieleza tukio hilo leo kutoka Lindi, alisema viongozi na watendaji wa chama hicho wanatuhumiwa kuchanganya mchanga na korosho baada ya kupokea kutoka kwa wakulima kwa lengo la kulinganisha uzito baada ya kupunguza na kuuza korosho...

 

2 years ago

Channelten

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Kilimo na Ushirika kuifanyia marekebisho Bodi ya Korosho

majaliwa

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Kilimo na Ushirika Charles Tizeba kuifanyia marekebisho Bodi ya Korosho Tanzania kutokana na kushindwa kulisimamia zao hilo kikamilifu.

Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha kwamba Bodi ya Korosho Tanzania inaonekana kuingilia kazi za minada ya korosho na kuzuia wafanyabiashara  wengine wasiweze kununua zao hilo, hali inayoonyesha wazi kuwa kuna wafanyabiashara  waliopangwa kununua koroshoo bila ya kufuata utaratibu.

Akihutubia  mkutano wa...

 

3 years ago

Ippmedia

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Kilimo na Ushirika akutana na Wanunuzi wa Tumbaku

 Waziri wa wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh.Eng Christopher Chiza amewataka wanunuzi wa tumbaku kuja na mikakati mipya ili kuwanufaisha na kuimarisha soko la wakulima wa tumbaku. Mhe. Chiza ameyasema hayo leo ofsini kwake alipokutana na Meneja mkuu wa kampuni ya ununuzi wa tumbaku kutoka kampuni ya JTI.  Pamoja na mambo mengine waziri amewataka wafanya biashara hao kuaanda mikataba kwa lugha ya Kiswahili na kingereza ili kuwafanya wakulima waelewe masharti na manufaa ambayo yanaweza...

 

4 years ago

Michuzi

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Akutana na Balozi wa Marekani

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Masatu Wasira amefanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe Mark Childress ofisini kwake.
Mhe Wasira katika mazungumzo yake na Balozi Childdress alibainisha changamoto zinazokabili kilimo nchini kuwa ni pamoja na zana duni zinazotumiwa na wakulima wadogo katika kilimo kuwa ni jembe la mkono. Alisema kwa kutumia jembe la mkono itakuwa ni ngumu kuondoa umaskini kwa wakulima wadogo katika maeneo ya vijijini.
Aliongeza...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani