Waziri wa Kilimo na Ushirika akutana na Wanunuzi wa Tumbaku

 Waziri wa wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh.Eng Christopher Chiza amewataka wanunuzi wa tumbaku kuja na mikakati mipya ili kuwanufaisha na kuimarisha soko la wakulima wa tumbaku. Mhe. Chiza ameyasema hayo leo ofsini kwake alipokutana na Meneja mkuu wa kampuni ya ununuzi wa tumbaku kutoka kampuni ya JTI.  Pamoja na mambo mengine waziri amewataka wafanya biashara hao kuaanda mikataba kwa lugha ya Kiswahili na kingereza ili kuwafanya wakulima waelewe masharti na manufaa ambayo yanaweza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Waziri wa kilimo atua mkoani Iringa, akutana na wakulima wa Tumbaku

  mwi5Waziri wa Kilimo Mifugo na Ushirika Mh. Mwigulu Nchemba  akipokelewa katika  ofisi ya Mkuu wa Iringa na kupokelewa na  Mkuu wa Mkoa Mh. Amina Masenza na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Richard Kasesela.mwi3Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku halitakufa kwani linaleta pato kwa taifa. Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku...

 

4 years ago

Michuzi

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Akutana na Balozi wa Marekani

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Masatu Wasira amefanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe Mark Childress ofisini kwake.
Mhe Wasira katika mazungumzo yake na Balozi Childdress alibainisha changamoto zinazokabili kilimo nchini kuwa ni pamoja na zana duni zinazotumiwa na wakulima wadogo katika kilimo kuwa ni jembe la mkono. Alisema kwa kutumia jembe la mkono itakuwa ni ngumu kuondoa umaskini kwa wakulima wadogo katika maeneo ya vijijini.
Aliongeza...

 

4 years ago

Vijimambo

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akizungumza na  Bwana Karol Zarajczyk, ambaye ni Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.
 Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...

 

2 years ago

Channelten

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Kilimo na Ushirika kuifanyia marekebisho Bodi ya Korosho

majaliwa

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Kilimo na Ushirika Charles Tizeba kuifanyia marekebisho Bodi ya Korosho Tanzania kutokana na kushindwa kulisimamia zao hilo kikamilifu.

Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha kwamba Bodi ya Korosho Tanzania inaonekana kuingilia kazi za minada ya korosho na kuzuia wafanyabiashara  wengine wasiweze kununua zao hilo, hali inayoonyesha wazi kuwa kuna wafanyabiashara  waliopangwa kununua koroshoo bila ya kufuata utaratibu.

Akihutubia  mkutano wa...

 

4 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 - 1963.

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Waziri wa kilimo Zanzibar awataka wakulima wa mbogamboga kujiunga na vyama vya ushirika

Waziri wa kilimo maliasili  mifugo na uvuvi Zanzibar Hamad Rashid amewataka wakulima wa kilimo cha mbogamboga na matunda kujiunga na vikundi vya ushirika ili kunufaika na huduma ya mikopo inayotolewa kwa lengo la kuboresha maendeleo katika  kilimo wanachozalisha.

Akizungumza na mwanahabari wetu  huko ofisini kwake maruhubi amesema wafanya biashara wengi wakiwemo wakulima wa mbogamboga wanafanya biashara kinyume na utaratibu jambo ambalo linapekekea kutotambuliwa kisheria na kukuso huduma ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA, MHE. CHIZA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI, MS. DIANNA MELROSE

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akifanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini, Bibi Dianna Melrose. Balozi huyo alimtembleza Waziri Chiza ofisini kwake kwa lengo la kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili yenye lengo la kukuza Sekta ya Kilimohususan kwenye eneo la uwekezaji katika mashamba makubwa(Picha na Issa Sabuni, WKCU).

 

11 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA VIONGOZI WA CHAMA CHA WANUNUZI WA PAMBA NCHINI,WAKUU WA MIKOA INAYOLIMA PAMBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chama Wanunuzi wa Zao la Pamba Tanzania pamoja na Wakuu wa Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Mara, Morogoro, Manyara, Mwanza, Singida, Simiyu, Shinyanga na Tabora, Ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma, Aprili 19, 2018.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani