Waziri wa Mazingira atoa onyo kali kwa kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd kwa kukiuka taratibu za usafi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (mwenye shati la drafti) akipiga picha maji yanayopita kwenye mto Kibandu kutoka kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd.Kulia ni Diwani wa Kata ya Kigogo Richard Chengula. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.  Binilith Mahenge (kulia) akipiga picha bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam,  Bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

Kiwanda Cha Mtibwa Sugar Chatozwa Faini kwa Kukiuka Sheria Za Mazingira

Naibu waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina, amekitoza faini ya Shilingi Milioni 50 kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kubainika kuwepo kwa ukiukwaji mkubwa wa sheria za mazingira katika kiwanda hicho

Mpina ametoa siku saba kwa uongozi wa kiwanda cha Mtibwa kuhakikisha kimelipa faini hiyo pamoja na siku 30 za kuhakikisha kinarekebisha miundombinu yote ya kiwanda hicho, ambayo imeonekana kuwa na kasoro na kupelekea uchafuzi wa Mazingira.

Naibu...

 

3 years ago

Ippmedia

Kiwanda cha kutengeneza nguo cha NIDA chatozwa faini ya Sh milioni 30 kwa uchafuzi wa mazingira

Kiwanda cha kutengeneza nguo cha NIDA kimetozwa faini ya shilingi milioni 30 kwa kosa la kutiririsha maji yenye kemikali kwenye mto Kibangu kinyume na sheria pamoja na mazingira machafu ya kiwanda.

Day n Time: Alhamisi Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA WACHINA DAR CHATOZWA FAINI YA SHILINGI MILIONI 25 KWA KUKIUKA SHERIA YA MAZINGIRA NA KANUNI ZAKE.

  Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina (kushoto) mara baada ya kuwasili na kutembelea kiwanda cha kutengeneza sabuni ya unga cha Murzer kilichopo jijini Dar e s salaam.   Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina (katikati) alipofanya ziara ya kukagua mazingira katika kiwanda cha kutengeneza viroba vya mifuko Unberg International kilichopo jijini Dar es salaam.Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rungu la serikali likiangukia kiwanda cha Nida Textile, chapigwa faini ya Milioni 30

Kiwanda cha kutengeneza nguo cha Nida Textile Industries kilichopo Tabata Jijini Dar es Salaam kimetozwa faini ya shilingi milioni Thelathini kwa kosa la uchafuzi wa mazingira kwa kutiririsha maji taka na yenye sumu katika mto kibangu kuhatarisha maisha ya mazingira na viumbe hai pamoja na kiwanda hicho kuwa na mazingira machafu na hivyo kuatarisha maisha ya wafanyakazi kiwandani hapo.

Faini hiyo inayotakiwa kulipwa ndani ya siku saba kwa Baraza la Taifa na Hifadhi na Usimamizi waMazingira...

 

2 years ago

Bongo5

Vituo 4 vya utangazaji vyapewa onyo kali na TCRA kwa kukiuka maadili

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kali kwa vituo vinne vya utangazaji kwa kukiuka maadili ya utangazaji kwa mujibu wa sheria na kuvitaka viombe radhi siku tatu mfululizo kuanzia leo (Ijumaa) kupitia taarifa ya habari.

Akitoa adhabu hizo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Valerie Msoka amesema vituo hivyo vimepewa onyo kali ikiwa ni pamoja na kutozwa faini na kuomba radhi wasikilizaji wake

Amevitaja vituo hivyo kuwa ni Star TV,Channel ten, Clouds FM na Times...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI DK. KIGWANGALLA ATOA ONYO KALI KWA MADAKTARI NA WAUGUZI WANAOJIHUSISHA NA MATENDO YA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA.

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa onyo kali kwa wanataalum wa sekta ya afya kuacha mara moja vitendo vya kupokea na kuomba rushwa kwani endapo watabainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.
Dk. Kigwangalla emesema hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kuadhimisha siku ya kinywa na meno duniani yaliyofanyika katika viwanja vya shule ya tiba ya kinywa na Meno, Muhimbili.
Ambapo amesema kuwa kwa utawala...

 

2 years ago

Michuzi

WANASHINYANGA WAOMBA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MKAA RAFIKI KWA MAZINGIRA KATIKA SIKU YA USAFI KITAIFA


EVELYN MKOKOI-SHINYANGA
Uongozi wa mkoa wa Shinyanga kupitia Mkuu wa Wilaya yake Bi Josephine Matiru umeiomba serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais Kujenga kiwanda kitakacho tengeneza mkaa utokanao na mabaki ya miti ambao ni rafiki kwa mazingira ili kunusuru hali ya mkoa huo kuendelea kuwa jangwa kutokana na ukataji miti ovyo kwa matumizi ya makaa manyumbani, matumizi mengine na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia nchi.
Mkuu wa wilaya hiyo ametoa ombi hilo leo mbele ya Naibu Waziri...

 

10 months ago

Michuzi

KIWANDA CHA NYAMA CHAPIGWA FAINI YA MILION 5 KWA KUSHINDWA KUKIDHI VIGEZO VYA USAFI WA MAZINGIRA

Na Mahmoud Ahmad Dodoma
Kiwanda cha nyama cha Tanzania (TMC) kimepigwa faini ya Milion 5 baada ya kukiuka kanuni za uhifadhi wa mazingira na kuchelewa kutekeleza agizo walilopewa kuhakikisha wanafanyiakazi maagizo waliyopewa juu ya kufanyiakazi kanuni za utunzaji wa mazingira ikiwemo kufanya tathmini mazingira kabla ya kuanza kazi.
Akizungumza wakati akikagua machinjio hayo na kiwanda hicho cha nyama, Naibu waziri wa nchi Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola ambapo...

 

3 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani