WCF YAWAELIMISHA MAAFISA WAAJIRI KUHUSU MISINGI YA KULINDA USALAMA NA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Anselim Peter, (aliyesimama), akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina juu ya masuala ya msingi ya kulinda usalama na afya mahala pa kazi na Fidia kwa wafanyakazi kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, (JNICC), jijini Dar es Salaam Machi 22, 2018. Wengine pichani  I Mkurugenmzi wa Huduma za Tiba na Tathmini wa WCF, Dkt. Abdulsalaam Omar, (katikati), na Meneja wa Tathmini ya hatari mahala pa kazi,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI(WCF) UMEKUWA MSHINDI WA PILI KATIKA MASUALA YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI

MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeibuka mshindi wa pili katika masuala ya usalama na afya mahala pa kazi katika maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahala pa kazi nchini ambayo huadhimishwa duniani kote tarehe 28 Aprili kila mwaka.
Maadhimisho haya huratibiwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) nchini na kwa mwaka huu yamefanyika Mkoani Iringa yakitanguliwa na maonyesho kutoka kwa wadau kuanzia tarehe 26 Aprili na kufikia kileleni leo tarehe 29.
Mgeni Rasmi katika...

 

3 weeks ago

Malunde

WCF YASHINDA TUZO KATIKA MASUALA YA AFYA NA USALAMA MAHALA PA KAZI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi Tuzo na Cheti Bw. Masha MshombaMkurugenzi Mkuu wa WCF. Mfuko umekuwa Mshindi katika masuala ya afya na usalamakazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Tuzo hiyo imetolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani, 2019.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe....

 

3 weeks ago

Michuzi

WCF YASHINDA TUZO KATIKA MASWALA YA AFYA NA USALAMA MAHALA PA KAZI JIJINI MBEYA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi Tuzo na Cheti Bw. Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa WCF. Mfuko umekuwa Mshindi katika masuala ya afya na usalama kazini baina ya Taasisi za Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Tuzo hiyo imetolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani, 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe....

 

4 years ago

Michuzi

WAKANDARASI WAASWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI-OSHA

 Mkuu wa kitengo cha sheria wa Wakala wa usalama na afya mahali pa kazi(OSHA),Joyce  Mwalubungu, akizungumza na wakandalasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Mshauri mkuu wa ufundi wa ujasiliamali na miradi kwa vijana Jelous Chirove akizungumza na wakandarasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

 

1 year ago

Michuzi

NSSF YAWAELIMISHA WAAJIRI KUHUSU SHERIA MPYA YA HIFADHI YA JAMII NA WAJIBU WAO ILI KULINDA HAKI ZA WANACHAMA

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeendesha semina kwa waajiri wa Mkoa wa Temeke katika jijini Dar Es Salaam na kuhudhuriwa na waajiri takrabani 200 waliopo katika mkoa wa Temeke kwa mgawanyo wa mipaka ya NSSF.
Akifungua Semina hiyo juzi, Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji, Bathow Mmuni, aliwaambia waajiri kwamba sheria mpya ya hifadhi ya jamii imeshasainiwa na Rais na sasa zimebakia taratibu za kiuendeshaji.
‘Semina hizo ambazo zimepangwa kuendelea nchi nzima zikiwa na lango la...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waajiri watakiwa kulinda afya za wafanyakazi

Waajiri kote nchini wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kisheria kwa wafanyakazi waliowaajiri kwa kuhakikisha kuwa wanaweka mazingira mazuri ya kufanyia kazi na kuwapatia vitendea kazi muhimu vya kuwakinga na madhara ya kiafya katika maeneo yao ya kazi.

 Akizungumza wakati wa mkutano wa wadau kuhusu usalama wa Afya mahali pa kazi jijini Dar es salaam, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Bakari Kambi amesema kuwa waajiri wana wajibu huo kwa kuwa maeneo ya kazi  ni sehemu muhimu katika maisha...

 

3 years ago

Michuzi

WAAJIRI WATAKIWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI WAO.

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Bakari Kambi akizungumza wakati wa mkutano wa wadau kuhusu usalama wa Afya mahali pa kazi jijini Dar es salaam. Kiongozi wa Timu ya wataalamu wa Afya ya Jamii na Mazingira kutoka Makao Makuu ya Shirika la Afya Duniani, Geneva, Dk. Ivan Ivanov akizungumza wakati wa mkutano wa wadau kuhusu usalama wa Afya mahali pa kazi jijini Dar es salaam. 
Na. Aron Msigwa – Dar es Salaam.Waajiri kote nchini wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kisheria kwa wafanyakazi...

 

5 years ago

Michuzi

Wanafunzi wapatiwa mafunzo ya usalama na Afya mahala pa kazi na barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Usalama, Afya na Mazingira wa Vodacom Karen Lwakatare. Meneja wa Mamlaka ya Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) kanda ya Pwani Jerome Materu akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala...

 

2 years ago

Michuzi

MAONESHO YA SABASABA 2017; WAAJIRI NA WAFANYAKAZI WAJITOKEZA KWA WINGI BANDA LA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF) KUPATA ELIMU ZAIDI KUHUSU MFUKO HUO


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
WAAJIRI na wafanyakazi wamejitokeza kwa wingi kupata elimu kuhusu kazi za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), kwenye banda la Mfuko huo lililoko kwenye hema kubwa la Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kunakofanyika maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam.

Maonesho hayo ya kila mwaka huwaleta pamoja wafanyabiashara ya makampuni makubwa ya kimataifa kutoka nje na dnani ya nchi, lakini pia...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani