WEMA AZUA TIMBWILI KISA ALI KIBA

Na Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
BOSS Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’, Risasi Mchanganyiko limesheheni mchapo kamili. Boss Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. NI ARUSHA
Tukio...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Bongo Movies

Ubuyu: Wema Azua Timbwili Eti Kisa Ally Kiba!

Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kusababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva , Ally Kiba.

Kwa  mujibu wa gazeti la Risasi Mchanganyiko, tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Triple A, jijini Arusha ambapo Wema alienda kwenye sherehe ya mmoja wa rafiki zake huku yeye akipewa ‘taito’ ya mgeni rasmi.

Chanzo cha gazeti hilo kilidokeza kuwa hivi karibuni, Kiba...

 

5 years ago

GPL

WEMA AZUA TIMBWILI GLOBAL, AJIITA YEYE NI CHIZI KULIKO MACHIZI WOOTE!

Stori: Sifael Paul
HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa ni kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Tukio hilo la kumchoresha staa huyo mwenye vituko kila kukicha, lilijiri Jumatatu iliyopita kwenye ofisi za Global...

 

5 years ago

GPL

MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA

Stori: Jamila Said
MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba. Miss Tanga 2011, Zubeida Seif. Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul ‘Diamond’...

 

2 years ago

Bongo Movies

Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani Kisa Watoto Wake

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kwa kusema, hana tabia ya kutelekeza watoto kama mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva anavyofanya. Kiba ambaye wiki iliyopita alikuwa nchini Marekani kikazi, alifungukahayo alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Ijumaa Wikienda kuhusiana na maisha yake ya kimuziki.

Kiba alisema kuwa, katika maisha yake, japo Mungu hajamjalia kufunga ndoa, lakini kwa watoto watatu ambao tayari amewapata, anahakikisha anawalea...

 

4 years ago

CloudsFM

Q-Chillah,TID wataka kutwangana kisa,ngoma mpya ya Ali Kiba

Mastaa wa Bongo Fleva,Q-Chillah na TID mwishoni mwa wiki hii walitaka kutwangana walipokutana katika Klabu moja usiku.Kwa mujibu wa Q-Chillah akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown alisema kuwa alikwenda kwenye klabu hiyo kuangalia shoo iliyokuwa ikifanyika kwenye lakini baadaye aliamua kutoka nje kucheza ‘pool table’ ndipo alipomuona TID.

‘’Nilimuona jamaa(TID) akiniangalia na baadaye alinifuata akaniambia kuwa anataka kuongea na mimi nikamwambia ile siye sehemu yake atafute muda mwingine...

 

3 years ago

Mtanzania

Wema ampaisha Ali Kiba

wema2MREMBO ambaye anatikisa hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika maneno ambayo yalionyesha ni diss ya wazi kwa Diamond na kumpaisha Ali Kiba.

Diamond hivi sasa anajiita Simba jina ambalo mastaa wengi wanalimezea mate.

-Walikuwa wanasubiri na mimi nitaje jina langu la mnyama, mimi ni Mnyanma ndiyo na jina langu ni Wema kama balozi wa wanyama alivyosema’ aliandika Wema Wataalamu wa mambo wanasema balozi aliyetajwa hapo ni mkali Ali Kiba kwa...

 

2 years ago

Bongo Movies

Wema Awacharukia Ali Kiba, Diamond

MREMBO wa Bongo, aliye pia mwigizaji Wema Sepetu amewatolea povu waimbaji wa Bongofleva, Diamond na Ali Kiba kwa kuwaita ‘Wendawazimu’ na kuwataka wakue.

Wema alizungumza hayo wakati wa uzinduzi wa muvi yake katika ukumbi wa Mlimani City juzi, akisema waimbaji hao wanampa ugumu kwani anapenda kazi za Kiba na kazi za Diamond, lakini amachukizwa na bifu lao lisilo na maana.

“Kiba na Diamond ni wendawazimu, yaani wananiudhi sana, sema hawaelewi tu. Watu wanakuwa kama watoto wadogo kila...

 

2 weeks ago

Michuzi

QUEEN DARLIN BADO AMKUMBUKA ALI KIBA,AKIRI DIAMOND ATAFIKA MBALI KISA TANASHA

     Na.Khadija seif,Globu ya jamii
MALKIA wa muziki wa Afro Pop nchini Mwanahawa Abdul  a.k.a Queen Darlin  ameiona nyota ya jaha kupitia muziki wa Diamond kufika mbali kisa  Mwanadada Tanasha.
Darlin amesema Tanasha anafanya muziki, na soko lake amelenga mbali sio Afrika Mashariki tu kutokana na kujuana na watu mbalimbali ambao alikuwa akifanya nao kazi kama video vixen .
"Kuwepo lebo ya wasafi classic baby (WCB) ambayo anasimamia kaka yangu diamond hamaanishi kuwa natoa ngoma...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani