Wema Sepetu Afungukia Kutajwa kwenye Nyimbo ya Bongo Fleva

Mlimbwende Wema Sepetu ambaye wengi humuita msanii mwenye nyota yake, amesema watu wanamfanyia vitu vya ajabu ili kujinufaisha likija suala la kuimba muziki, kwani kwake jambo hilo limeshindikana kabisa.

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Wema amesema yeye hana mpango wa kuingia kwenye muziki, na hata wimbo wa Haitham alioshirikishwa hakuimba, lakini wamemgeuka na kuandika kwamba ameshirikishwa kuimba kwenye wimbo huo.

“Mi kuimba siwezi mwenzangu, kila nikijaribisha inabuma,...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Mwana FA azitaja nyimbo 3 bora kwenye Bongo Fleva mwaka huu

Rapper Mwana FA aka Binamu amezitaja nyimbo zake tatu ambazo anazikubali kwa mwaka huu kutoka Bongo.

14374474_1615930842032624_4195279520216907776_n

Hitmaker huyo wa Asanteni alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa linauliza “Nitajie ngoma tatu za kibongo ambazo ni bora kwako kwa mwaka huu toka uanze?”

FA alijibu swali hilo kwa kuandika, “Aje, Chafu Pozi na Too Much.”

fa-1

Wiki iliyopita wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Campus Vibes cha Times FM, Binamu aliwataja Bill Nas na Darassa ndio...

 

2 years ago

Bongo Movies

Water Chilambo Aomba Nyimbo Zake za Bongo Fleva Sizipigwe,Wamsapoti Kwenye Gospel

Aliyekuwa mshindi wa BSS Water Chilambo amesema anaomba TV na Radio kuacha kupiga nyimbo zake za bongo fleva kwa sasa na wamsapoti kwenye muziki wa Gospel ambao anaufanya.

Water Chilambo

Akipiga story kupitia eNewz Chilambo amesema wametokea wasanii wengi pamoja na waandaaji wa muziki kumuita ili waweze kufanya kolabo ya nyimbo ya bongo fleva lakini aliwakatalia hali iliyowapelekea wengine kutokumuamini na kuhisi kwamba anaringa.

Lakini pia Chilambo amesema ameamua mwenyewe kubadilika na...

 

2 years ago

Michuzi

KESI YA WEMA SEPETU KUTAJWA TENA MACHI 15 2017.

.Msanii Wema Sepetu akitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kesi yake ya kuahirishwa hadi March 15 mwaka huu.Kesi hiyo imeaihirishwa na Hakimu Mkazi Thomas Simna baada ya wakili wa Serikali Constantine Kakula kuieleza mahakama kuwa upelelezi dhidi ya kesi hiyo bado haujakamilika

 

2 years ago

Bongo5

Msanii wa Nigeria YCEE azitaja nyimbo za Bongo Fleva zinazofanya vizuri kwao

Msanii wa Nigeria, Oludemilade Martin Alejo aka YCEE ambaye yupo nchini kwenye ziara yake ya muda mfupi amezitaja nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva ambazo kwa sasa zinachezwa zaidi nchini kwao.

Ycee 2

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio kuwa wimbo wa Kidogo wa Diamond aliowashirikisha P-Square umekuwa ukichezwa zaidi kwenye vituo vya radio na runinga za nchini humo inawezekana ikawa ni kila baada ya dakika 20.

Ycee pia ameongeza kuwa hata wimbo wa ‘Unconditionally...

 

3 years ago

Bongo Movies

TID Afungukia Penzi Lake na Wema Sepetu

Msanii mkongwe wa muziki, TID amesema kipindi cha nyuma alikuwa anatoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu lakini baadae alitemwa hali ambayo ilimuumiza sana.

tid67

Akizungumza katika kipindi cha Clouds TV Ijumaa hii, TID amesema hali hiyo ilimfanya atoke na wasichana wengi.

“Nilikuwa ‘namdate’ Wema Sepetu akaniambia sikutaaki, tangu kipindi hicho nimekuwa na wasichana wengi. Ikitokea Wema anataka kurudi hakuna nafasi, I’m occupied,” alisema TID.

TID amesema katika kipindi hicho aliumizwa...

 

1 year ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Afungukia Ishu ya Umri Wake

Msanii wa filamu nchini ambaye pia alishawahi kutwaa taji la mrembo wa Tanzania Wema Abraham Sepetu, amewacharukia na kuwajibu watu wanaoendelea kumsema vibaya kuhusu umri wake sahihi.

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja ndio sahihi.

“Hao wanaosema kama wao ndio wamenizaa sawa, lakini aliyenizaa mama yangu Bi Mariam Sepetu ndio anajua umri...

 

3 years ago

MillardAyo

Good news kwa Bongo Fleva, list ya video za Bongo Fleva imeongezeka Trace Tv, hii imetambulishwa leo…

Ilikuwa ni nadra sana kuweka Mtv Base au Trace Tv ukakutana na video ya msanii wa Bongo Fleva inachezwa, siku hizi haishangazi kuona Alikiba, Diamond, Vanessa na wengine wakipata Air Time katika vituo hivyo mtu wangu. Usiku wa January 25 ni good news nyingine kwa muziki wa Bongo Fleva, vijana kutoka Mkubwa na Wanawe Unataka […]

The post Good news kwa Bongo Fleva, list ya video za Bongo Fleva imeongezeka Trace Tv, hii imetambulishwa leo… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Bongo Movies

Wanabongo Fleva wa 5 Anaowakubali Wema Sepetu, Diamond Namba Moja!

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu pamoja na kutengena na mpenzi wake Nassib Abdul ‘Diamond’ lakini alipoamua kutaja wasanii wanaofanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva mtaliki wake huyo kampa namba moja katika wasanii watano ambao yeye anaona wanafanya vizuri katika muziki.

“Muziki umeshika kasi na kuna wasanii ambao wanafanya vinzuri kuliko wengine, kwangu Top 5 yangu 1 Nassib, wa pili ni Ashley, Ali kiba, Barnaba na wa tano ni mirrow hawa ni wasanii wanzuri wapo level za...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mpenzi Mpya wa Wema Sepetu Afungukia Penzi Lao

‘Model’ anayedaiwa kuchukua nafasi ya Idriss kwa kutoka kimapenzi na mrembo Wema Sepetu, amejikuta akiweka hadharani mahaba yake kwa mrembo huyo kwa kutoa maelezo yanayothibitisha kuwa hivi sasa yeye na Wema ni wapenzi.

calisah

Kijana huyo anayefahamika kwa jina la Calisah, alikumbana na kibano kizito kupitia kipindi cha FNL kinachuruka kila Ijumaa kupitia EATV, pale alipotakiwa kutoa ufafanuzi wa mahusiano yake na mrembo huyo ambaye alikuwa Miss Tanzania mwaka 2006.

Calisah alisema Wema ni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani