Wema Sepetu amtambulisha msanii mpya kwenye kampuni yake ya Endless Fame

Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame,Wema Sepetu,akimtambulisha msanii mpya,Ally Luna ambaye atakuwa chini ya usimamizi wa kampuni hiyo ambapo alitambulishwa usiku wa kuamkia Dec 29 kwa mashabiki kwenye ukumbi wa Kibo Complex uliopo Tegeta Dar es Salam. Shoo hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali akiwemo , Izzo Bizness, Barnaba, Bob Junior, God Zilla, Mirror na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye event hiyo.

Izzo B.Bob Junior.Petitman

Msanii Linex.Msanii mpya wa Endless Fame,Ally Luna.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

WEMA AMTAMBULISHA MSANII MPYA WA KAMPUNI YAKE

Wema Sepetu, akiwashukuru mashabiki zake kwa sapoti waliyompa kwa mwaka 2014 na kumtambulisha msanii Luna. Msanii wa Bongo Fleva, Ally Luna (kushoto), akiimba wimbo es kumsifia Wema mara baada ya kutambulishwa kuwa chini ya Kampuni ya Endless Fame.…

 

3 years ago

Bongo Movies

PetitMan:Sipo Endless Fame, Sina Tatizo na Wema Sepetu

Aliyekuwa meneja wa wasanii walikuwa kwenye kampuni ya Endless Fame chini ya Wema Sepetu,PetitMan amesema kuwa kwa sasa hayupo tena kwenye kampuni hiyo kutokana na matatizo ya kifamilia lakini hata tatizo na Wema Sepetu na kuwa wanaongea kama kawaida.

Wema-na-Petit

PetitMan Akiwa na Wema Sepetu (2015)

‘’Endless Fame nilikuwa kama ‘Coordinator’ na pia nilikuwa meneja wa wasanii, kwa sasa hivi nimesimama kufanya kazi Endless kutokana na matatizo yetu ya kifamilia na unajua ile kampuni ni kama familia yangu...

 

3 years ago

Bongo5

Wema Sepetu amtaja aliyesababisha wasanii wa Endless Fame wasifanye vizuri

Malkia wa filamu na mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu amefunguka na kueleza sababu ya wasanii wa label hiyo kutofanya vizuri.
BongoCeleb_20160618121512
Wema Sepetu (katikati) akiwa na Martin Kadinda pamoja Petit Man

Akiongea katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii, Wema amesema mfanyakazi wake Petit Man ndiye aliyosababisha hayo yote kutokea.

“Naweza kusema kuwa kwasababu muda mrefu sana nimemwachia Petit Man akifanya hiyo kazi na sidhani kama alikuwa anaitendea haki kwahiyo ‘let us another six month...

 

5 years ago

GPL

MIRROR WA ENDLESS FAME KUFANYA YAKE NDANI YA THE PLAYLIST YA TIMES FM JUMAPILI HII

Mwimbaji wa Bongo Flava anaefanya kazi chini ya kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu, Mirror aka Kioo atakuwa katika kipindi cha The Playlist cha 100.5 Times Fm Jumapili hii (June 1). Mkali huyo wa ‘Baby’ ambaye hivi sasa ameachia pini jipya alilolibatiza jina la ‘Kolokolo’ atazicheza ngoma tano kali anazozipenda zaidi na kuzielezea, pia atajibu maswali ya kichokozi yaliyonyooshwa na rula ya Omary Tambwe aka Lil Ommy,...

 

3 years ago

Bongo5

Martin Kadinda: Petit bado ni mfanyakazi wa Endless Fame

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema kuwa petit Man bado yupo Endless Fame Films.

Wema na Petit.

Hivi karibuni kumeonekana kutokea ugomvi kati ya Petit na Mirror. Taarifa zimedai kuwa ugomvi huo umefanya mpaka agombane na bosi wa Endless Fame, Wema Sepetu japo siku chache alipofanya mahojiano na Bongo5, Petit alisema, “Mimi sidhani kama nina tatizo na Wema. Ndiye aliyenifanya mimi nijulikane na Wema ndiye mtu ambaye mimi nimetoka naye mbali sana miaka tisa. Kwahiyo hata kama nikiwa nimegombana...

 

4 years ago

Vijimambo

Weekend ya uchaguzi: Msanii Ksher kapita kwenye Ubunge, Wastara na Wema Sepetu hawakupata za kutosha


2015 tumeshuhudia mastaa mbalimbali wa kike na wa kiume Tanzania wakitangaza nia ya kuingia bungeni akiwemo mwimbaji wa Taarab Mzee Yusuf, Profesa Jay, Steve Nyerere na kwa Wanawake waliojitokeza kuziwania nafasi za Ubunge wa viti maalum ni pamoja na waigizaji Wema Sepetu na Wastara, na msanii wa bongofleva Ksher.Wema Sepetu na Wastara hawakupita kutokana na kukosa kura za kutosha lakini Khadija Shaaban (Ksher) amepita tena ambapo alithibitisha hayo na wakati mwingi kwenye maneno yake ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Diamond amtambulisha msanii mpya wa WCB

Mwimbaji kutoka WCB ambaye anafanya vizuri katika mziki wa Bongofleva Diamond Platnumz kupitia Clouds 360 ya Clouds TV amemtambulisha msanii mpya ambaye atakuwa mmoja kati  ya wasanii wanaounda kundi hilo.

Katika utambulisho huo Diamond amesema kuwa ana wajibu mkubwa wa kuwasaidia wengine kwa kuwa hata yeye alisaidiwa ndiyo maana amefikia hatua hiyo aliyofikiwa.

“Ujio wangu hapa leo ni kwa ajili ya kumtambulisha kijana wetu mwingine kama sehemu ya kuwasaidia wengine. Nawashukuru sana Clouds...

 

3 years ago

Bongo5

Wema Sepetu kuisaliti ndoa yake kwenye ‘Chungu Cha Tatu’

Wema Sepetu

Wema Sepetu amevaa uhusika kwenye filamu ya Chungu Cha Tatu kama mwanamke aliye ndani ya ndoa lakini anashindwa kujizuia na kuamua kutoka na wanaume wengine ili kukidhi mahitaji yake.

Wema Sepetu

Akizungumza na Bongo5, afisa masoko wa kampuni ya Steps Entertainment, Kambarake alisema filamu hiyo italeta msisimko kutokana na mwanadada huyo kuivaa vyema uhusika wake.

“Wema ndio mhusika mkuu na ameingia kwenye mahusiano anajikuta anaingia kwa mwanaume fulani labda atapata anachohitaji. Kwahiyo mapenzi...

 

2 years ago

Malunde

DIAMOND AMTAMBULISHA MSANII MWINGINE LEBO YA WASAFI...TAZAMA PICHA YAKE HAPA

Jana  tarahe 21, Diamond alitangaza kuwa atamtambulisha msanii mpya kutoko lebo ya Wasafi akifanya mahojiano kwa Clouds FM.

“Panapo majaaliwa siku ya jumatatu kesho, ntakuwepo kwenye LEO TENA ya Clouds fm na familia nzima ya @Wcb_wasafi tukimtambulisha Kijana mwenzetu Mwingine Mpya toka Mtaani, ndani ya @Wcb_Wasafi….. Sisi ni vijana ambao tumekulia kwenye umaskini na bado tupo kwenye kupambana namna ya kujikwamua kwenye umasikini… na ndiomaana tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kila tukiona...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani