Wema we Bado Mdogo Usizae – Mange Kimambi

Blogger maarufu hapa nchini Mange Kimambi ametoa ushauri ambao mwenyewe ameuita wa bure kwa mwanadada mwenye jina lake hapa mjini Wema Sepetu, na kumtaka asizae kwa kulazimishwa na maneno ya watu, bali asubiri mpaka akiolewa.

wema-32

Mange ametoa ushauri huo kwenye ukurasa wake wa instagram baada ya seke seke lililomkuta mwanadada huyo la kushambuliwa na watu wakimtuhumu kuwa hana uwezo wa kuzaa, kabla na hata baada ya kuharibika kwa ujauzito aliokuwa nao siku za hivi karibuni.

Mange amedai pia...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

MANGE KIMAMBI AKERWA KITENDO CHA MDOGO WAKE KWENDA KWA MAKONDA

Kufuatia mdogo wake Mange Kimambi kufika Ofisini kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro wake wa kutelekeza mtoto Mange amesema kuwa hajafurahishwa na kitendo hicho.
Amesema kuwa amechukizwa na kitendo hicho cha mdogo wake kufika ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, ambapo ameandika kwenye ukurasa wake Instagram ataifufua kesi ya mirathi iliyoamuliwa mwaka 2016.
Aidha, katika hatua nyingine Mange ameituhumu familia yake kwa kuuza machimbo ya...

 

1 year ago

Malunde

MANGE KIMAMBI AMMWAGIA POVU WEMA SEPETU KISA DIAMOND

Mwanaharakati wa siasa mtandaoni Mange Kimambi ameibuka na kumwagia matusi mazito msanii wa Bongo movie Wema Sepetu baada ya kuzua maneno maneno jana kwenye mtandao wa Instagram.

Siku ya jana Wema alishika headlines za mitandao ya kijamii baada ya kuposti posti kadhaa zilizoamsha tetesi kuwa amerudiana na Diamond na alizidi kuzua maneno baada ya kuonekana akiwa na Esma huku wakiitana wifi.

Sio siri kuwa Wema na Mange wapo kwenye bifu kali tangu Wema afanye uamuzi wa kurudi CCM mapema mwaka...

 

3 years ago

Bongo5

Mange Kimambi atoa ushauri wa bure kwa Wema kuhusu kuzaa

Blogger maarufu Mange Kimambi ametoa ushauri ambao mwenyewe ameuita wa bure kwa mwanadada Wema Sepetu, na kumtaka asizae kwa kulazimishwa na maneno ya watu, bali asubiri mpaka akiolewa.
Wema  na Mange

Kupitia instagram Mange, ameandika

Baada ya kusoma posti ya Idris all I can say is Pole mdogo wangu.

Kama hukuwa na mimba kama wasio kupenda wanavyodai au kama kweli ulikuwa nayo ni wewe, Idris na Mungu mnaeujua ukweli. Wanawake wengi mno wanapata miscarrage especially mimba ya kwanza, ila kwako wewe lazma...

 

2 years ago

Malunde

MBOWE AMSHUKURU MANGE KIMAMBI NA WEMA SEPETU KUHAMASISHA MICHANGO KWA AJILI YA TUNDU LISSU

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amewashukuru Watanzania wanaoendelea kumchangia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiwataja wanaoongoza katika kuhamasisha uchangiaji mitandaoni akiwamo Mange Kimambi na Wema Sepetu.
Mbowe amesema mpaka leo Ijumaa jumla ya Sh204 milioni zimepatikana katika michango hiyo pamoja na msaada wa hali ambao wamekuwa wakipewa na Watanzania.
“Tunawashukuru wanaoendelea kuchangisha, tunamshukuru Mange Kimambi kwa kuwahamasisha diaspora kuchangia na katika...

 

2 years ago

Bongo Movies

Alikiba Amzungumzia Mange Kimambi

Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Seduce me’ amefunguka na kusema kuwa Tanzania kila mtu ana haki na uhuru wake hivyo hata yeye anajisikia vizuri kuona watu maarufu wanapenda kazi zake na kudai ana haki ya kupendwa na Mange Kimambi

Alikiba, Mange Kimambi na Ommy Dimpoz

Alikiba amedai kuwa Mange Kimambi ni moja kati ya mashabiki zake na kusema anashukuru sana kuona anapenda kazi zake na kumpa nguvu katika kazi zake hizo kwa kutoa ‘support’.

“Ni kama shabiki wangu na...

 

1 year ago

Malunde

MANGE KIMAMBI AIBUKIA TARIME

Mbunge wa Serengeti, Marwa Ryoba Chacha (CHADEMA) ameonyesha kutofurahishwa na kitendo cha polisi kutaka kuzuia mkutano wa Mbunge wa Tarime Vijijini CHADEMA, Mhe. John Heche kwa kile kinachodaiwa kuhofia maandamano yanayoratibiwa na Mange Kimambi.
Mara Ryoba amesema kuwa polisi wamekuwa na upendeleo kwa kuwa wanaona watu wa CCM wakiendelea kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa ili hali watu wa upinzani wakizuiliwa. 
"Haki huinua taifa; bali dhambi ni aibu ya watu wote. Nimepata taarifa...

 

2 years ago

Malunde

IGP SIRRO KUMSHUGHULIKIA MANGE KIMAMBI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi linatambua makosa ya kimtandao yanayofanywa na mwanadada Mange Kimambi na kusema kuwa jeshi la polisi linashughulikia suala hilo.

IGP Sirro amesema hayo jana alipokuwa mjini Iringa kwenye ziara ambapo alisema kuwa jeshi la polisi linatambua uvunjifu wa sheria ya makosa ya kimtandao yanayofanywa na mwadada huyo maarufu mitandaoni ambaye amekuwa mkosoaji wa mambo mbalimbali na kutoa machapisho...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Wafuasi wa Mange Kimambi waanza kuwekwa mbaroni

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa madai ya kuchochea maandamano ya nchi nzima ambayo yanakusudiwa kufanyika Aprili 26 mwaka huu. Anaripoti Dany Tibason … (endelea).  Maandamano hayo yaliyopangwa kufanyika Aprili 26 mwaka huu, yanayohamasishwa na Mange Kimambi anayeishi nchini Marekani kwa lengo la ...

 

1 year ago

BBCSwahili

Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa serikali ya Magufuli

Mange Kimambi, mwanamitindo aliyabadilika kuwa mwanaharakati wa siasa na anaaminiwa kuwa ndio chanzo cha maandamano ya taifa yanategemewa kufanyika Aprili 26

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani