Wenye mizani feki waingia matatani msako waaza

kuhakikisha kwamba mnunuzi wa bidhaa hapunjwi, Wakala wa Vipimo Nchini (WMA), wameendelea kufanya ukaguzi wa mizani zinazotumika sehemu tofauti hasa kwa wauzaji wa zao la korosho.

Lengo la kufanya hivyo ni kutaka kubaini mizani zisizo na viwango ambazo hazitoi kipimo kinachostahili.

WMA ilitembelea baadhi ya vyama vya msingi vya ushirika ili kushuhudia hali halisi ya upimaji korosho za wakulima.

Meneja wa WMA, mkoa wa Pwani, Evarist Masengo, alisema katika kuhakikisha wakulima...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

Malunde

WENYE MIZANI FEKI WAENDELEA KUBANWA

Katika kuhakikisha kwamba mnunuzi wa bidhaa hapunjwi, Wakala wa Vipimo Nchini (WMA), wameendelea kufanya ukaguzi wa mizani zinazotumika sehemu tofauti hasa kwa wauzaji wa zao la korosho.
Lengo la kufanya hivyo ni kutaka kubaini mizani zisizo na viwango ambazo hazitoi kipimo kinachostahili.
WMA ilitembelea baadhi ya vyama vya msingi vya ushirika ili kushuhudia hali halisi ya upimaji korosho za wakulima.
Meneja wa WMA, mkoa wa Pwani, Evarist Masengo, alisema katika kuhakikisha wakulima wanauza...

 

5 years ago

BBCSwahili

Malaysia:Msako waingia wiki ya 3

Msako wa ndege ya Malaysia iliyopotea umeingia wiki yake ya tatu bila mafanikio ya kupata kilichosemekana kuwa mabaki ya ndege hiyo

 

3 years ago

Mwananchi

Mizani feki kuondolewa madukani

Wakala wa Vipimo (WMA), Mkoa wa Arusha unatarajia kuanza kufanya msako wa mizani zisizokuwa na ubora katika maduka ya mkoani Arusha zinazodaiwa kutumika kuwapunja wananchi.

 

3 years ago

Habarileo

TBS yaanzisha msako wa helmeti feki

MWAKILISHI wa Kampuni ya GX Investment iliyopo jijini Dar es Salaam ambayo inauza pikipiki, Aba Pelham anasema kuna aina mbili ya helmeti zinazoingizwa nchini.

 

2 years ago

Mwananchi

Msako wa vyeti feki usiwe na upendeleo

Rais John Magufuli wakati akizindua majengo mapya kwa ajili ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Jumamosi iliyopita alisema kuna watumishi wapatao elfu tisa serikalini wenye vyeti feki.

 

2 years ago

Michuzi

SOPHIA MJEMA AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUGAGUA VIPIMO NA MIZANI FEKI ILALA LEO


Mkuu wa wilaya ya Ilala, kwa kushirikiana na Wakala wa vipimo Tanzania (WMA), mkoa wa Ilala, amefanya ziara ya kustukiza katika maeneo mbalimbali, katika kampeni yake ya kudhibiti vipimo na mizani 'feki'. Pichani, Mjema akikagua mzani kwenye bucha moja eneo la Kariakoo, Dar es Salaam, akiwa katika ziara hiyo, Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo na kulia ni mfanyakazi katika bucha hiyo, Omar Khalfan.

Kaimu Meneja wa WMA mkoa wa Ilala, Alban Kihulla, akimuonyesha...

 

2 years ago

CCM Blog

SOPHIA MJEMA AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA VIPIMO NA MIZANI FEKI, ILALA LEO

Mkuu wa wilaya ya Ilala, kwa kushirikiana na Wakala wa vipimo Tanzania (WMA), mkoa wa Ilala, amefanya ziara ya kustukiza katika maeneo mbalimbali, katika kampeni yake ya kudhibiti vipimo na mizani 'feki'. Pichani, Mjema akikagua mzani kwenye bucha moja eneo la Kariakoo, Dar es Salaam, akiwa katika ziara hiyo, Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo na kulia ni mfanyakazi katika bucha hiyo, Omar Khalfan.


MWANZO WA ZIARA HIYOMkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kulia) na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Waliomwaga pesa kwenye kaburi la ‘Ivan Don’ waingia matatani

Siku Tatu zimepita tangu aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Don kuzikwa huku moja ya matukio kubwa katika msiba huo likiwa ni Kundi la Rich Gang kumwaga fedha kwenye kaburi la mfanyabiashara huyo.

Kutokana na kitendo hicho kuzua gumzo, Benki Kuu ya Uganda imetoa tamko la kutaka Vyombo vya Dola viwachukulie hatua waliotupa pesa hizo  kwenye kaburi la Ivan Don wakati anazikwa.

The post Waliomwaga pesa kwenye kaburi la ‘Ivan Don’ waingia matatani appeared first on...

 

1 year ago

Michuzi

WAKULIMA 14 WA PAMBA WAINGIA MATATANI WILAYANI IGUNGA KWA KUVUNJA SHERIA YA PAMBA.

WATU 14 wilayani Igunga wamekamatwa na Serikali ya Mkoa wa Tabora kwa tuhuma za kukaidi maagizo ya kuwataka kulima pamba kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha pamba na kujikuta wakivunja Sheria ya Pamba ya mwaka 2001 na kanuni zake.
Watu hao walikamatwa hivi karibuni na Uongozi wa Wilaya ya Igunga kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri.
Alisema kuwa watuhumiwa hao walikutwa katika mashamba yao ya pamba wakiwa wamepanda pamba kwa mtindo wa kizamani ambao hauzingatia Sheria...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani