Wenyeviti wa mitaa Mwanza walegeza, wakomaa

Mwenyekiti wa wenyeviti wa mitaa jijini Mwanza, Masasi Mlagaja amesema ingawa bado wanashikilia msimamo wa kupinga agizo la kupokonywa mihuri, baadhi wameanza kurejesha mihuri kwa watendaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Wenyeviti wa Mitaa Mitatu Wakimbia Makazi yao Mwanza

mwa

Baada ya wakazi wa kata ya Kiseke wilayani Ilemela Jijini Mwanza, kutaka kupewa ufafanuzi juu ya ulipaji wa kodi za majengo bila kuwa na vielelezo vya umiliki, inadaiwa kuwa wenyeviti wa mitaa mitatu ya kata hiyo wameyakimbia makazi yao kutokana na vitisho vinavyohusiana na madai hayo.

Hatua ya kata hiyo kutaka kupewa ufafanuzi juu ya suala hilo imefuata, baada ya Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, kuigaiza halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kuwasilisha mchoro wa kata hiyo, ili...

 

3 years ago

Michuzi

DC MAKONDA ATOA SIKU 20 WENYEVITI WOTE WA SERIKALI ZA MITAA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM WAPEWE RAMANI ZA MITAA YAO

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza na Watendaji na Viongozi wa Serikali za Mitaa wa wilaya hiyo kwenye mkutano uliofanyika Dar es Salaam leo kuhusu jinsi ya kutatua na kukomesha kero za ardhiWatendaji na Viongozi wa Serikali za Mitaa wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya hiyo, Paul Makonda (hayupo pichani)


Na Dotto MwaibaleMkuu wa Wilaya ya Kinondoni ametoa siku 20 kwa Wenyeviti wote wa Serikali za Mitaa  Manispaa hiyo kuwa na ramani ya mitaa ili kuyatambua maeneo ya...

 

4 years ago

Habarileo

Wenyeviti 73 wa mitaa waapishwa

HALMASHAURI ya Mji Kibaha imeapisha wenyeviti wa mitaa 73 na wajumbe 365, ikiwa ni ishara ya viongozi hao kuanza kazi rasmi.

 

4 years ago

Mtanzania

Vurugu uapishaji wenyeviti wa mitaa

Pg 1ENEO la viwanja vya Anatouglou jijini Dar es Salaam, jana lilikumbwa na vurugu wakati wa kuapishwa kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa mitatu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ilala.
Katika vurugu hizo aliyekuwa mgombea wa CCM, Mtaa wa Kigogo Fresh B, Kata ya Pugu, Mariano Haruna, alijikuta akipata fedheha baada ya kudhalilishwa kwa kuvurumishiwa matusi, kukunjwa na kuchaniwa shati lake.
Haruna, alifanyiwa vitendo hivyo na watu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

4 years ago

Habarileo

Wenyeviti mitaa Kinondoni wabanwa

WENYEVITI wa Serikali za Mitaa katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam wametakiwa kuwasimamia watendaji wao kutekeleza miradi ya kijamii ili kuharakisha hali bora za maisha kwa wananchi wao.

 

2 years ago

Mtanzania

WENYEVITI WA MITAA WATISHIA KUJIUZULU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene

Na TUNU NASSOR-DAR ES SALAAM

WENYEVITI wa Serikali za mitaa nchini wametishia kujiuzulu nyadhifa zao kama Serikali itaendelea na msimamo wake wa kuwanyang’anya mihuri ambayo wamedai kuwa ni vitendea kazi vyao.

Kutokana na hilo, wamemwomba Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, kutoa kauli kuhusu hatua hiyo ya kuwanyang’anya...

 

2 years ago

Mtanzania

WENYEVITI WA MITAA WABWAGA MANYANGA

Wenyeviti wa Serikali za mitaa wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye kikao cha pamoja kupinga kunyang’anywa mihuri jana.

Wenyeviti wa Serikali za mitaa wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye kikao cha pamoja kupinga kunyang’anywa mihuri jana.

Na ASHA BANI, Dar es salaam

WENYEVITI wa Serikali ya Mitaa wa Mkoa wa Dar es Salaam, jana walijiuzulu nyadhifa zao wakipinga hatua ya Serikali kuwanyang’anya mihuri ya kufanyia kazi.

Kwa mujibu wa wenyeviti hao, hawatashiriki kwenye shughuli yoyote ya mtaa au kata kama ilivyokuwa awali.

Wenyeviti hao zaidi ya 500, bila kujali itikadi za vyama vyao waliungana na kutoa...

 

4 years ago

Habarileo

Mnyika awapa somo wenyeviti wa mitaa

NAIBU Katibu Mkuu (Bara) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John MnyikaNAIBU Katibu Mkuu (Bara) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amewataka Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji waliochaguliwa kupitia chama hicho kutotumia ofisi za serikali kujinufaisha wenyewe.

 

4 years ago

Mtanzania

Ngumi, mabomu uapishaji wenyeviti wa mitaa

Pg 1

Na Aziza Masoud na Ferdnanda Mbamla, Dar es Salaam
ENEO la Riverside Ubungo jijini Dar es Salaam, jana liligeuka uwanja wa mapambano baada ya polisi kutumia risasi za moto na mabomu ya machozi ili kunusuru hafla ya kuapishwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Kinondoni.
Dalili za kuibuka kwa fujo zilianza kuonekana kwa wananchi waliokuwa wamekusanyika nje ya hoteli ya Land Mark ambako hafla hiyo ilipangwa kufanyika, waliokuwa wakipinga kuapishwa kwa waliokuwa wagombea uenyekiti...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani