WHO YAWAJENGEA UWEZO WATENDAJI WA TFDA NA WATALAAM WA DAWA KATIKA VIWANDA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Agnes Kijo amesema ipo haja kwa wazalishaji wa dawa kuhakikisha wanazalisha dawa zenye ubora kwa kuzingatia viwango vilivyoanishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Kijo ameyasema hayo leo wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo watalaam wa dawa katika viwanda  yaliyofanyika makao makuu ya TFDA jijini Dar es Salaam , ambapo amefafanua nia ya mafunzo yanayotolewa ni kwa ajili ya kuzalisha dawa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

UKAGUZI WA TFDA WAKUTANA NA DAWA ZA SERIKALI KATIKA MADUKA BINAFSI , DAWA BANDIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii  MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) iliendesha ukaguzi maalum wa dawa , vifaa tiba na vitendanishi katika Halmashauri na Manispa zilizo Kanda ya Kati na kubaini kuwepo kwa vifaa tiba na vitendanishi bandia duni ambavyo hajasajiliwa pamoja na dawa za serikali katika maduka ya dawa binafsi.  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo , Agnes Kijo amesema kuwa mamlaka haitawaacha watu wafanye vitu kiholela...

 

2 years ago

Dewji Blog

UNESCO-Tanzania yawajengea uwezo maafisa Wizara ya Nape katika kutekeleza mpango mkakati wa Wizara mwaka 2016/2017

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni , (UNESCO), linaendesha mafunzo ya siku tatu kwa maafisa wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ili kuwajengea uwezo wa kutekeelza mpango mkakati wa wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Mafunzo hayo yaliyoanza Novemba 30, 2016, na kuendeshwa na Mkuu wa Ofisi ya UNESCO, nchini, Bi. Zulmira Rodrigues yanafanyika kwenye ofisi za shirika hilo, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

“Tumekusanyika hapa kwa mara ya kwanza...

 

1 year ago

Michuzi

TFDA YAZIDI KUNGARA KATIKA UDHIBITI DAWA NA VIFAA TIBA KATIKA NCHI ZA AFRIKA –WAZIRI UMMY MWALIMU

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imekuwa ni Taasisi bora kwa Bara la Afrikakatika kudhibiti dawa na chakula ili watanzania wapate huduma bora.

Ummy ameyasema hayo wakati wa Uzinduzi wa Maabara Hamishika jijini Dar es Salaam, amesema kuwa katika kulinda afya za  wananchi ni kupata dawa zinazostahili ambazo zimedhibitiwa na TFDA.Amesema kuwa matumizi ya dawa zisizo sahihi...

 

3 years ago

Michuzi

TPDC yawajengea uwezo wanahabari Mtwara

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) liliandaa semina ya waandishi wa Mkoa wa Mtwara, Semina hiyo ililenga kuwajengea uwezo waandishi hao kuielewa sekta ya mafuta na gesi asilia mchini.

Akifungua semina hiyo kwaniaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC Meneja wa Mawasiliano kutoka TPDC Marie Msellemu alisema semina hiyo anaamini itawajengea uwezo waandishi hao hasa wanapo toa taarifa za mafuta na gesi asilia kwa wananchi.

Watoa mada katika semina hiyo kutoka TPDC walitoa mada zilizo gusa...

 

2 years ago

Mwananchi

Sido yawajengea uwezo wenye ulemavu

Mwanza. Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (Sido), Mkoa wa Mwanza limetoa mafunzo ya ufugaji wa kuku na utengenezaji vikapu kwa watu wenye ulemavu wa mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

4 years ago

Tanzania Daima

LEAT yawajengea uwezo wananchi kulinda rasilimali

CHAMA cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira (LEAT) kwa sasa kinaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi, kamati za maliasili na mazingira na viongozi kutoka vijiji na kata mbalimbali za wilaya ya...

 

4 years ago

Dewji Blog

WaterAid yawajengea uwezo wadau wa afya ya ulezi na uzazi

DSC00416

Mkurugenzi wa masuala ya fedha, uchumi na misaada wa shirika la WaterAid Tanzania, Juliet Kayendeke, akizungumza kwenye ufunguzi wa warsha ya siku mbili, iliyohusu kuwajengea uwezo wasimamizi wa mradi wa kuimarisha haki na kuboresha afya ya wanawake, wasichana na watoto katika halmashauri ya wilaya ya Iramba na manispaa ya Singida. Mradi huo wa miaka mitatu,unatarajiwa kukamilika baada ya miaka mitatu na unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni moja.

Nathaniel Limu, Singida

VITENDO...

 

2 years ago

Michuzi

FEMINA HIP YAWAJENGEA VIJANA NCHINI UWEZO WA UONGOZI NA KUJIAMINI.


Na: Frank Shija – MAELEZO

FEMINA Hip yatoa tuzo tano za mwaka kwa Klabu za Fema ambazo zimefanya vizuri katika Nyanja mbalimbali.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Femina Hip Dkt. Minou Fuglesang wakati wa Kongamano la mwaka la Vijana leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi huyo amesema kuwa tuzo hizo zinatolewa ili kutia chachu kwa vijana kuongeza bidi katika kutatua changamoto zao kwa kujiamnini huku wakiwa na ujuzi mwepesi utakaowaomgezea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani