Wilaya ya kyerwa yagawa chakula cha msaada kwa wakazi wa kijiji cha Muhulile mkoani Kagera

Siku moja baada ya ITV kutangaza wakazi wa kijiji cha Muhulile kata ya Nkwenda wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wanakabiliwa na janga la njaa , uongozi wa wilaya hiyo umemuita mwandishi wa itv Cosmas Makongo kwa lengo la kukanusha ukweli wa jambo hilo wakimtaka kuonyesha alipopata picha huku Mkurugenzi Mtendaji wa halamshauri hiyo akitoa ufafanuzi.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

Ippmedia

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Wakazi wa kijiji cha Ilemba B wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamechangishana na kufanikiwa kulima

IMG_0523

Wakazi wa kijiji cha Ilemba B wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamechangishana na kufanikiwa kulima barabara yenye urefu wa kilometa saba kwa gharama ya shilingi mil 3.1 ikiwa ni mchango wa fedha taslimu na nguvu za wananchi na kuboresha miundombinu ya barabara katika mitaa ya kijiji hicho.

Mwenyekiti wa kijiji cha Ilemba B amesema baada ya kuona barabara za mitaa kijijini hapo hazipitiki wananchi kwa sauti moja walikubali kuvunja nyumba zitakazokuwa zimepitiwa na barabara na kuchangia...

 

4 years ago

Vijimambo

IDDI SANDALY ATOA MSAADA WA COMPUTER SHULE YA SEKONDARi YA KIJIJI CHA MTIBWANI, WILAYA YA MAINA MKOANI TANGA


Rais wa DMV Bwn. Iddi Sandaly amekabidhi msaada wa computer shule ya sekondari ya Mtibwani iliyopo Kijiji cha Mtibwani Wilaya ya Maina Mkoani Tanga. Katika makabidhiano hayo Bwn. Sandaly aliongea na Walimu na wanafunzi wa sekondari hiyo na wao kumshukuru na sasa shule hiyo ndio itakua na lab ya kwanza itakayokua na computer katika Wilaya hiyo ya Maina. Rais wa DMV Bwn. Iddi Sandaly (mwenye t-shirt) nyekundu akizitoa computer kwenye mabox na kumkabidhi mwalimu. Bwn. Iddi Sandaly akifanya...

 

2 years ago

Michuzi

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Akabidhi Vifaa Kwa Kituo Cha Afya Bogowa Wilaya ya Mkoani Kijiji cha Mganyageni Pemba.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akikabidhi mashuka kwa Muuguzi Mkuu wa Afya na Jamii wa Kituo cha Afya Bogowa Bi. Moza Mohammed Ali, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kituo cha Afya Bogowa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akikabidhi mashine ya kupimia Sukari katika Kituo hicho kwa Muuguzi Mkuu wa Afya na Jamii wa Kituo cha Afya Bogowa Bi. Moza Mohammed Ali,...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA MISENYI NA KUTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA SUGAR, MISENYI MKOANI KAGERA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Wilaya ya Misenyi(hawaonekani pichani) wakati akielekea katika kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani hapo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika wakati wananchi wa Misenyi walipokuwa wakiwasilisha Kero zao mara baada ya kusimama wakati akiwa njiani kuelekea katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo wialayani humo.

 

2 years ago

Michuzi

SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika (wa tatu kushoto), akizungumza na wazee wa Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga mkoani Morogoro wakati alipofika kituoni hapo kutoa msaada wa vitu mbaimbali vyakula, vifaa vya usafi, nguo pamoja na sabuni za kufulia.Afisa Uhusiano wa mamlaka hiyo, Bw. Ally Masaninga, wakigawa mifuko yenye vyakula kwa wazee wanaolelewa katika kituo cha Fungafunga...

 

3 years ago

Michuzi

HATIMAYE MSIKITI WA KIJIJI CHA MLAMLENI WILAYA YA MKURANGA WAJENGWA UPYA KWA MSAADA WA WASAMARIA WEMA WA NDANIO NA NJE YA NCHI

Na  Ghalib Nassor Monero
Asalaam Alaykum Warahmatullahi wabarakatu, Alhamdulilah....
Kwa Niaba ya wakazi wa kijiji cha Mlamleni , kitongoji cha kimbangulie , wilaya ya Mkuranga  Mkoa wa Pwani ninatoa shukran za dhati kwanza Ma Admin wote wa blogs mlioshirikiana nasi katika kulitangaza jambo hili la kheri.
Pili tunawashukuru wale wote wadau ambao wameshirikiana nasi kwa hali na mali katika Ujenzi wa Jengo hili la msikiti kutoka Nyasi Mpaka kuwa katika Muonekano mpya kama mnavyo ona katika...

 

5 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WANANCHI 50 WAHANGA WA MAFURIKO WAPATIWA MSAADA WA CHAKULA KIJIJI CHA THEMI YA SIMBA ARUSHA

Mzee wa kanisa la Waadventista wasabato  mtaa wa kijenge   Agrey Tumaini akigawa mahindi kwa wananchi wa kitongoji cha kitongoji  cha Nyamagana  kilichopo katika kijiji cha Themi ya simba wilayani Arumeru MKoani Arusha (picha na woinde shizza,Arusha=========  ======  ====== Na Woinde shizza,Arusha
Zaidi ya wananchi  50  wa kitongoji  cha Nyamagana  kilichopo katika kijiji cha Themi ya simba wilayani Arumeru MKoani Arusha ambao waliathiriwa na mafuriko yaliotokea mwisho mwa mwezi wa nne...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKAZI WA KIJIJI CHA LIKWACHU, WILAYA YA RUANGWA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipo ongea nao, wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Lindi, Julai 11, 2017. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Likwachu, Wilaya ya Ruangwa, akiwa...

 

4 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KIJIJI CHA KISANGA WATOA MAONI YAO KUHUSU WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 (VIDEO)

   Ni Siku ya 16 huku Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Msimu wa nne shindano linalo endeshwa na Shirika la Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow,  Likiwa linaelekea Ukingoni ambapo katika siku hii tunaona Maisha ya Mama Shujaa wa Chakula  walivyo ishi kwa Siku 15, lakini kubwa zaidi ni wakazi wa Kijiji cha Kisanga hususani wale ambao ndio waliokuwa wanaishi na Akina mama hao katika Kaya zao kutoa maoni yao jinsi walivyo ishi na akina Mama hao. Pia hapa tutaona wasifu wa Washiriki...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani