Wimbo Maalum: R. I. P AGNES MASOGANGE KUTOKA SISI VOICE


Ninao hapa wimbo kutoka kwa Sisi voice unaitwa RIP Masogange

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

BBCSwahili

Mlimbwende Agnes Masogange kutoka Tanzania aaga dunia

Mlimbwende mnogesha video za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Agnes Gerald Alias Masogange ameaga dunia

 

9 months ago

Michuzi

KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA

 Jeneza lenye mwili wa video queen nchini na muigizaji wa filamu Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, likiwekwa sawa tayari kwa zoezi la kuaga mwili huo, katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam hivi sasa. Mwili wa Masogange unatarajiwa kuzikwa kesho huko kijijini kwao, Utengule, jijini Mbeya. Sehemu ya Wasanii wa filamu na Muziki nchini, wakiwa wamejumuika pamoja katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar kuomboleza msiba wa video queen nchini na muigizaji wa...

 

3 years ago

Bongo5

Agnes Masogange ana ujauzito wa Davido?

masogange4

Kama ni ‘kiki’ basi imefanikiwa, kwa sababu hadi mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa kuna uwezekano Agnes Masogange akawa na ujauzito wa staa wa Naija, Davido.

masogange4

Agnes na Davido wameonekana kuwa karibu siku za hivi karibuni, baada ya kuwa wanapost picha tofauti tofauti wakiwa wanakula bata pamoja kama couple.

maso david

Mtandao wa Pulse wa Nigeria umeandika kuwa kuna uwezekano malkia huyo wa ‘shepu’ Bongo, Agnes akawa na ujauzito wa Davido baada ya kupost picha ya kipimo cha mimba kinachoonesha...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Kesi ya Agnes Masogange yapigwa kalenda

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Machi 21, 2018 imeisogeza mbele kesi ya mrembo wa video nchini Agnes Gerald maarufu kama Masogange hadi April 4, 2018.

Mrembo huyo ambaye anatuhumiwa kwa kesi ya utumiaji wa dawa za kulevya, kesi yake imeahirishwa kutokana na wakili wake Ruben Simwanza kudai mteja wake huyo amelazwa katika hospitali moja hapa jijini Dar es salaam.

The post Kesi ya Agnes Masogange yapigwa kalenda appeared first on Zanzibar24.

 

9 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AMLILIA AGNES MASOGANGE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Agnes Gerald Waya kufuatia kifo cha mtoto wao Agness alimaarufu kama Masogange kilichotokea Ijumaa.
Rais Magufuli ametuma salamu hizo kupitia kwa Mwenyekiti Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM Bw. Kheri James na kusema kuwa amesikitishwa sana na kifo cha binti huyo kwani kifo chake kinapunguza idadi ya vijana ambao ndiyo jeshi na watu ambao wanaweza kufikisha mbali taifa. 
"Kupitia jukwaa hili...

 

2 years ago

Bongo Movies

VIDEO:Mwakyembe Alivyozidiwa Ujanja na Agnes Masogange

Waziri wa Sheria na Katiba Dkt. Harrison Mwakyembe ameendelea kufunguka jinsi alivyokwama kudhibiti upitishwaji wa dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam wakati alipokuwa Waziri wa Uchukuzi hadi kuzidiwa kete na Agnes Masogange.

SONY DSC

Waziri Mwakyembe akiwa kwenye kipindi cha East Africa Breakfast amesimulia kilichotokea wakati alipotaka kumdhibiti binti mmoja aliyedaiwa kupitisha masanduku matano ya ‘materials’ za kutengenezea dawa za kulevya aliyekamatwa nchini Afrika...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Video Queen Agnes Masogange apalekwa mahakamini

Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye ameonekana kwenye video kadhaa za muziki wa bongofleva Tanzania, alishikiliwa na Polisi toka wiki iliyopita ambapo leo jumatano ndio kafikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza toka ashikiliwe na kusomewa mashitaka mawili ya kutumia dawa za kulevya.

Mrembo huyo ambaye ni maarufu kwa kupamba video za muziki wa wasanii wa bongo fleva, amekana tuhuma hizo na kesi yake kuahirishwa hadi Machi 21 mwaka huu.

Katika mashtaka yake mawili yaliyosomwa na...

 

2 years ago

Bongo5

Agnes Masogange kukamatwa kwa amri ya Mahakama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hati ya kukamatwa Msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange (28), baada ya kushindwa kufika mahakamani mara kwa mara ya pili kesi yake ilipopangwa kutajwa.

Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Wilbroad Mashauri ametoa amri hiyo baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa lakini mshtakiwa, wadhamini na wakili wa utetezi wote hawakuwepo mahakamani.

Wakili wa Serikali Adolf Nkini alidai kuwa kesi hiyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani