Wimbo Mpya: JK ft EMBE DOGO - MAKANZA GA MHINDI

Malunde1 blog inakualika kusikiliza wimbo mpya kutoka kwa JK akimshirikisha Embe Dogo wimbo unaitwa Makanza Ga Mhindi.Wimbo huu umetengenezwa katika studio za BFaster zilizoko Bariadi mkoani Simiyu..Sikiliza hapa chini


Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

Habari mpya kuhusu Dogo Mfaume…alirekodi wimbo kabla ya kifo

Siku mbili tangu aliyekuwa mwimbaji wa Mchiriku Dogo Mfaume afariki akisubiri matibabu Hospitali ya Muhimbili, story ambayo inasambaa kwenye mitandano ya kijamii kwa sasa ni kuhusu kufanya wimbo mpya ambao alitaka kuutoa kupitia WCB. Akizungumza kwenye 255 ya XXL ya Clouds FM Mkurugenzi wa Sober House Pili Misana amefunguka na kusema kuwa kabla ya kufariki May 17, […]

The post Habari mpya kuhusu Dogo Mfaume…alirekodi wimbo kabla ya kifo appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Bongo5

Namkubali sana Harmorapa, wimbo wake mpya anausikiliza sana – Dogo Janja

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amefunguka kwa kudai kuwa yeye ni mmoja kati ya mashabiki wakubwa wa msanii Harmorapa ambaye anafanya vizuri na wimbo wake ‘Kikobo ya Mabishoo’.

Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa yeye kwenye playlist yake ya kila siku lazima asikilize wimbo wa rapper huyo.

“Nampenda sana Harmorapa na mimi ni mmoja kati ya wasanii ambao nasikiliza sana kazi zake, hata wimbo wake mpya uko kwenye simu yangu na kila siku nausikiliza,” alisema Dogo...

 

2 years ago

Bongo5

Wimbo wa ‘My Life’ ulivyoyagusa maisha ya Dogo Janja

Dogo Janja

Muziki ni sanaa ambayo watu wanaweza kujifunza kupitia mashairi yake. Inaweza kikawa ni kitu ambacho kiliwahi kutokea au hakijatokea pia.

Dogo Janja

Kwa sasa ‘My Life’ ambao ni wimbo wa Dogo Janja unafanya vizuri. Watu wamevutiwa zaidi na jinsi msanii huyo alivyobadilika kwenye style ya kuimba japo kuna sehemu ametumia style yake ya mwanzo.

Dogo Janja ameweza kutumia mashairi ambayo mengine ndani yake yameweza kumgusa moja kwa moja kwenye maisha yake halisi.

“Kitambo mimi nachana zaidi hata ya...

 

2 years ago

Global Publishers

Dogo wa Miaka 5 Atengeneza Wimbo Albamu ya Kendrick Lamar

alicia-keys-600x800

Mtoto Egypt.

MTOTO wa nyoka naye ni nyoka! Unaweza kutumia msemo huu baada ya mtoto mastaa wa Marekani katika tasnia ya muziki, Alicia Keys na prodyuza Swizz Beatz anayeitwa Egypt (umri wa miaka mitano) ametengeneza ngoma iliyopo kwenye alabamu mpya ya Kendrick Lama ya untitled, unmastered.

This is Egypt playing the intro to his beat on #Kendrick #7 on the album ⚡️⚡️⚡️⚡️ 5yrs old in his zone !! #proudparents making of the beat vid 2

A video posted by therealswizzz (@therealswizzz) on Mar...

 

1 year ago

Bongo5

Rapper King Kaka aachia video ya wimbo mpya, ataja maana ya wimbo huo

Baada ya kuanza mwaka 2017 kwa kuachia ‘Senzenina’, King Kaka kutoka Kenya ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Milele’ ambao amemshirikisha Pascal Tokodi na amefunguka maana ya jina hilo kwenye wimbo huo.

Rapper huyo ameiambia Bongo5, “Naamini hakuna mdundo wa upendo, ila huleta watu pamoja. Amri iliyo kuu katika biblia ni upendo. hadithi zote za upendo lazima zitabaki milele. Na hivyo ndio jinsi milele ulitokea.”

Naye Pascal Tokodi ambaye ameshirikishwa katika wimbo huo amesema, “Kwangu...

 

2 years ago

Bongo5

Aslay adai wimbo wao mpya ‘Mama’, ni wimbo uliotokana na kifo cha mama yake

Aslay2

Msanii wa Kundi la Yamoto Band, Aslay amesema kifo cha mama yake mzazi kimewapelekea waimbe wimbo ‘Mama’ kuwaenzi akina mama wote.
Aslay2

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Aslay alisema yeye pamoja na msanii mwenzake katika kundi hilo ‘Enock’ wamewapoteza mama zao siku za karibuni ndipo wakaamua kuwakumbusha watanzania umuhimu wa mama.

“Unajua mimi na mwenzangu Enock tumewapoteza mama zetu siku za karibuni hivyo tuliamua kuwaimbia kina mama kwa hisia kali ili...

 

1 year ago

Bongo5

Dully Sykes kuachia wimbo mpya uitwao Yono, atumia chorus ya wimbo wa Jose Chameleone

Msanii mkongwe wa muziki nchini, Prince Dully Sykes anajipanga kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Yono’ baada ya kufanya vizuri na wimbo Inde ambao alimshirikisha Harmonize wa WCB.

Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa kwenye wimbo huo ametumia chorus ya wimbo wa zamani wa Jose Chameleone ambao ulikuwa kwenye albamu ya muimbaji huyo iliyotoka mwaka 2003.

“Mungu akipenda kesho naachia mkwaju wangu mpya wimbo unaitwa Yono, chorus ya wimbo nilipewa na Jose Chameleone toka mwaka 2003 baada ya...

 

2 years ago

Bongo5

Dogo Janja aliniletea nyimbo zaidi ya 20 kabla ya kuupata wimbo My Life – Madee

Dogo Janja (kulia) akiwa na Madee

Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Madee Ali amesema Dogo Janja alimletea nyimbo zaidi ya 20 kabla ya kuupata wimbo ‘My Life’ ambao amedai huo ndio ulikuwa unaendana na soko.
Dogo Janja (kulia) akiwa na Madee

Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii, Madee amesema alifanya yote hayo ili kumtaka Dojo Janja mpya.

“Unajua muziki ambao alikuwa anaufanya Dogo Janja mwanzo ulikuwa wa mkumbo fulani hivi, kwa hiyo watu wakaimba imba sana muziki huo” alisema Madee.

“Sasa alivyokaa kwa muda mrefu nilikuwa natafakari the way...

 

2 years ago

Bongo5

Young Dee asema ameachia wimbo ‘Furaha’ kwajili ya kumfariji Dogo Janja

Msanii wa muziki wa hip hop, Young Dee amesema ameachia wimbo ‘Furaha’ ili kumfariji msanii wenzake Dojo Janja aliyefiwa na Baba yake hivi karibuni.
dogo-janja-and-young-dee

Rapa huyo ambaye alikuwa kimya kwenye muziki tangu atangaze kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya, amedai hakuwa na mpango wa kuachia wimbo huo.

Kupitia Instagram, Dogo Janja ameandika:

Nilipanga kuachia video yangu nikiwa na furaha sana. Furaha yangu nilitamani sana itawale kwanzia kwangu, mashabiki wangu, pamoja na wasanii wenzangu....

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani