Wito kwa Wasanii kushiriki tamasha la Sauti za Busara 2017

Sauti za Busara ni tamasha lifanywalo kila mwaka mwezi wa Febrauri Zanzibar, huonesha muziki wa Afrika yote na kwengineko. Tamasha hilo limo kwenye mtandao wa CNN ilitoa orodha ya matasha 7 ya Afrika ambayo yanamvuto wa kipekee kuyaona.

Pia tamasha la Sauti za Busara limo kwenye matasha 25 bora ya kimataifa na mtandao wa kitalii wa Afro Tourism’s umeliingiza tamasha hili katika matasha 8 bora ya muziki. Na mwezi wa Februari 2015, BBC World Service imelitaja tamasha la Sauti za Busara kama ni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

WITO KWA WASANII: Sauti za Busara 2015

Je muziki wako ni wa laivu? Je muziki wako umehusiana na Africa, Uarabuni au nchi za bahari hindi? Je umevutiwa kupiga muziki mwezi ujao wa Februari Zanzibar? Kama unaweza kujibu ndio, ndio, ndio - basi endelea kusoma... MWISHO...

 

1 year ago

Dewji Blog

Tamasha la Sauti za Busara 2017 kulindima Februari9-12, Wasanii 400 wa Afrika jukwaani Zanzibar

Uongozi wa Busara Promotions wenye makao yake Visiwani Zanzibar, mapema leo  24 Januari 2017, umetoa taarifa kwavyombo vya habari  juu ya kufanyika kwa tamasha hilo  mwezi ujao yaani 9-12 Februari mwaka huu huku likitarajia kupandisha wasanii 400 kutoka kwa vikundi 40 vya muziki kutoka Bara la Afrika ikiwemo Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa Habari,  Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions ambaye pia ni Mkurugenzi wa Tamasha hilo, Bwana Yusuf Mahmoud ‘DJ Yusuf’ amebainisha kuwa, watu...

 

1 year ago

Dewji Blog

Tamasha la Sauti za Busara 2017 kurindima Februari9-12, Wasanii 400 wa Afrika jukwaani Zanzibar

Uongozi wa Busara Promotions wenye makao yake Visiwani Zanzibar, mapema leo  24 Januari 2017, umetoa taarifa kwavyombo vya habari  juu ya kufanyika kwa tamasha hilo  mwezi ujao yaani 9-12 Februari mwaka huu huku likitarajia kupandisha wasanii 400 kutoka kwa vikundi 40 vya muziki kutoka Bara la Afrika ikiwemo Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa Habari,  Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions ambaye pia ni Mkurugenzi wa Tamasha hilo, Bwana Yusuf Mahmoud ‘DJ Yusuf’ amebainisha kuwa, watu...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Wasanii 200 kushiriki Sauti za Busara 2014

VIKUNDI 32 kutoka ndani na nje ya nchi vimechaguliwa kufanya maonesho ya muziki kwenye tamasha la 11 la Sauti za Busara linalotarajiwa kufanyika viwanja vya kihistoria vya Ngome Kongwe visiwani...

 

3 years ago

Mwananchi

Wasanii wa Tanzania ‘wafunikwa’ Tamasha la Sauti za Busara

Zanzibar. Unaweza kusema U-super staa au kuona muziki siyo kazi ama biashara kama zilivyo nyingine ndiko kulipowaponza wanamuzi wa Tanzania na kujikuta wakishindwa kufanya vyema katika tamasha la mwaka huu la Sauti za Busara.

 

1 year ago

Dewji Blog

Wahapahapa Band wapagawisha tamasha la Sauti za Busara 2017

Tamasha la Sauti za Busara msimu wa 14 limeanza mchana wa jana 9 Februari 2017 huku tukishuhudia vikundi mbalimbali vya Burudani  kutoka ndani na nje ya Tanzania ambapo viliweza kutoa burudani ya aina yake.

Jioni burudani hiyo iliamia ndani ya viunga vya Ngome Kongwe ambapo majukwaa mawili ya burudani  yaliyosheheni vifaa  vya kisasa vya muziki Kimataifa.  Jukwaa la Amphitheatre na jukwaa kuu la Mambo Club

Vikundi 9 vya burudani viliweza kukonga nyoyo watu mbalimbali kutoka mataifa tofauti...

 

2 years ago

Dewji Blog

Muda ndio huu wa kuomba ushiriki wa tamasha la Sauti za Busara 2017

Busara Promotions inawataka wasanii kutoka Tanzania na bara zima la Afrika wanaotaka kufanya onyesho katika tamasha la Sauti za Busara, Zanzibar kuanzia tarehe 9 – 12 Februari 2017. Vipaumbele vinatolewa kwa wasanii kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na waandaaji wanafanya kila jitihada kuwashawishi wasanii kutoka ukanda huo kushiriki.   Njia za maombi ni rahisi sana. Kuna fomu ya Kiswahili na kingereza kwenye mtandao na kuwasilishwa kabla ya mwisho wa mwezi wa saba, yakiwa yameambatanishwa...

 

1 year ago

Dewji Blog

Matukio ya picha mbalimbali za tamasha la Sauti za Busara, usiku wa 11 Februari 2017

Tamasha la Sauti za Busara msimu wa 14 linaloendelea  visiwani hapa limezidi kunoga  huku kwa kila anayefika kulishuhudia akipata kukonga nyoyo zake kwa namna ya uhondo ona uhodari wa vikundi mbalimbali vinavyota burudani katika majukwaa matatu tofauti yaliyokizi viwango.

Yafuatayo ni baadhi ya matukio ya picha katika shoo ya jioni na usiku wa jana 11 Februari 2017. Vikundi mbalimbali vimeweza kuonesha uwezo wao jukwaani.

Tausi Women Taarab

 

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani