Wito wa usaili kwa wizara mbalimbali Pemba

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia wale wote walioomba nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Wizara ya Afya, Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana na Wizara ya Fedha na Mipango kwa nafasi za Pemba wanatakiwa kufika kwenye usaili kwa mujibu wa taasisi aliyoomba kwa utaratibu ufuatao:-

MCHANGANUO WA USAILI – PEMBA

1. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI – PEMBA – Skuli ya Fidel – Castro Pemba saa 2:00 asubuhi

16/09/2017 •...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Zanzibar 24

Usaili kwa wizara ya afya – pemba na kamisheni ya utalii – pemba

Usaili kwa KAMISHENI YA UTALII – PEMBA utafanyika siku ya tarehe 24 Machi, 2018 skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 za asubuhi na

WASAILIWA WENYEWE NI:

KAMISHENI YA UTALII

NAFASI YA KAZI YA AFISA MAENDELEO YA UTALII DARAJA LA II
NO JINA KAMILI JINSIA
1 ABUBAKAR MOHD ALI M
2 JUMA MASOUD HAMAD M
3 KOMBO HAJI MAKAME M
4 MGENI JUMA KHAMIS F
5 SALEH MALIK ABDI M

MSAIDIZI AFISA MANUNUZI DARAJA LA III
NO JINA KMILI JINSIA
1 ALAWI YUSSUF MOH’D MME
2 AZIZA YUSSUF SALEH MKE
3 FADHILA SALEH NASSOR...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Wito wa usaili Wizara ya Afya Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Afya Unguja kufika katika usaili utakaofanyika Chuo cha Taifa SUZA – Tawi la Nkrumah Beit el Raas siku ya Jumatatu ya tarehe 11 Septemba, 2017 saa 2:00 za asubuhi

Pia wasailiwa wanaombwa wachukue vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

Wasailiwa wenyewe ni:

NAFASI YA KAZI YA AFISA MIONZI MSAIDIZI DARAJA LA III
NAM. JINA KAMILI
1...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Wito wa Usaili: WIZARA YA KAZI, UWEZESHAJI, WAZEE, VIJANA, WANAWAKE NA WATOTO KWA AJILI YA BARAZA LA VIJANA

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto kwa ajili ya Baraza la Vijana kufika katika Wizara ya Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, siku ya Jumamosi ya tarehe 04 Novemba, 2017 saa 2:00 za asubuhi kwa ajili ya usaili.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

VIJANA WENYEWE...

 

3 months ago

Zanzibar 24

Orodha ya majina usaili wizara ya fedha – Pemba

Usaili WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO utafanyika siku ya tarehe 26 Machi, 2018 skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 asubuhi

WASAILIWA WENYEWE NI:

WAKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II
No. JINA KAMILI
1 ABASS SAID MBAROUK
2 ABDALLA RAJAB HAJI
3 ABDALLAH MUSSA HASSAN
4 ABDULLA ASHRAQ MAHMOUD
5 ABDULWAHID NASSOR KOMBO
6 ABUBAKAR KHAMIS HAMAD
7 AISHA JUMA ALI
8 ALI OMAR SALIM
9 ALI RASHID OMAR
10 ALI SALIM SHEHA
11 ALLY JUMA ALLY
12 AMINA ALI HAMAD
13 AMINA MTUMWA MACHANO
14 AMINA SALUM KHAMIS
15 AMNE OMAR...

 

2 months ago

Zanzibar 24

Wito wizara ya fedha na mipango – Pemba

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia wale wote walioomba nafasi za kazi Wizara ya Fedha na Mipango – Pemba na ambao walifanya usaili wa awali tarehe 26/03/2018 kwamba wafike Skuli ya Fidel Kasro – Pemba kwa ajili ya kufanya usaili wa mara ya Pili kwa utaratibu ufuatao hapo chini:-

Wasailiwa wote wanatakiwa wachukue vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

MCHANGANUO WA USAILI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO PEMBA

NAM. TAREHE...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Wito wa usaili wizara mbali mbali Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana walioomba nafasi za kazi katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko, Wizara ya Kazi, uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake wa Watoto, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, na Maktaba Kuu Zanzibar wanatakiwa kufika katika usaili siku ya Jumamosi ya tarehe 22 Julai, 2017 saa 4:30 za asubuhi katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Tunguu Zanzibar.
Pia wanatakiwa kuchukua vyeti vya kumalizia masomo, Cheti cha...

 

3 months ago

Zanzibar 24

Usaili kwa shirika la huduma za maktaba-pemba na ofisi ya msajili wa hakimiliki

OFISI YA MSAJILI WA HAKIMILIKI – PEMBA NA SHIRIKA LA HUDUMA ZA MAKTABA – PEMBA

Usaili kwa OFISI YA MSAJILI WA HAKIMILIKI – PEMBA na SHIRIKA LA HUDUMA ZA MAKTABA – PEMBA utafanyika siku ya tarehe 23 Machi, 2018 Skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 asubuhi

WASAILIWA WENYEWE NI:

AFISALESENI
NO JINA KAMILI
1 KHATIB KHALID HAMAD
2 MGENI FUMU MAKAME
3 SALEH SAID MOH’D
4 SITI HABIBU MOH’D

AFISAUTUMISHI
NO JINA KAMILI
1 HAJI SALIM HAJI
2 KHADIJA SALIM BAKAR
3 MKUBWA ALI JUMA SHAHA
4 OMAR ABEID...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Wito kwa usaili kamisheni ya wakfu na maliamana na kamisheni ya utalii unguja

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana na Kamisheni ya Utalii Unguja kwenda kuangalia majina yao Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo (kikwajuni Zanzibar) kuanzia siku ya Jumatano ya tarehe 11 Oktoba, 2017.

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao wanaombwa kufika Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo (kikwajuni Zanzibar) kwa ajili ya kufanyiwa usaili siku ya Alkhamis ya tarehe...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Tangazo la wito wa usaili ofisi ya msajili wa hakimiliki

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi kwa Ofisi ya Msajili wa Hakimiliki kufika katika usaili siku ya Jumapili tarehe 11 Machi, 2017 katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Tunguu saa 2:00 asubuhi.

Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibar mkaazi.

 

Tangazo la wito wa usaili ofisi ya makamo wa pili wa rais

WASAILIWA WENYEWE NI:

WAHUDUMU
NO JINA KAMILI
1 AMINA AHMED...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani