WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, akipokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 19.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika  benki hiyo.  Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 19.5 kutoka Benki ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Michuzi

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 10.1 KUTOKA NMB

Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaBenki ya NMB imetoa gawio la Sh. bilioni 10.1 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 32 ya hisa za Benki hiyo baada ya kupata faida ya Sh. bilioni 94.8 baada ya kodi kwa mwaka 2017/2018.Tukio hilo la kukabidhi hundi kifani ya gawio hilo limefanyika Makao Makuu ya Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma, kati ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango, kwa niaba ya Serikali, na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ineke Bussemaker. Dkt. Mpango...

 

2 years ago

Michuzi

Shirika la Posta Tanzania Lapata Gawio la Fedha kutoka Benki ya Posta

Awamu ya Tano ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kutekeleza azma yake ya kukusanya kodi, mapato na gawio kutoka kwa wananchi, wafanyabiashara mbalimbali, wawekezaji na Taasisi na mashirika ya umma ili kuongeza makusanyo ya ndani ya nchi kwa lengo la kuiwezesha Serikali kujiendesha yenyewe na kupunguza misaada na mikopo kutoka nchi wahisani, wabia wa maendeleo na mashirika mbalimbali ya umoja wa mataifa. Taasisi za Serikali na mashirika ya umma yanaendelea...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kutoka Bungeni: Wizara ya Afya yawasilisha bajeti yake ya Bilioni 845 kwa mwaka wa fedha

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Waziri wake Mh. Ummy Mwalimu imewasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017

Akisoma hotuba hiyo Waziri Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia mwezi machi 2016 Wizara imekusanya jumla ya Shilingi 87,117,583,604 ikilinganishwa na makadirio ya Shilingi 122,998,941,500.00 yaliyoidhinishwa kwa mwaka 2015/2016’

‘Hii ni asilimia 70.8 ya makadirio ya makusanyo ambayo yamevuka lengo kutokana na...

 

4 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile pamoja na Msajili wa Hazina, Nd. Lawrence Mafuru wakipokea hundi ya mfano ya shilingi Bilioni 3 kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania Limited iliyokabidhiwa na Mkuu wa Puma Energy Tanzania Limited, Nd. Philippe Corsaletti. Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum akiwashukuru watendaji wakuu wa Puma Energy Tanzania Limited kwa kuwasilisha kwa Serikali gawio la faida la...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA SH. BILIONI 23 KUTOKA KAMPUNI ZA PUMA ENERGY, TIPER (T) na NMB BANK PLC

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Philip Mpango (Mb), akipokea hundi kifani yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt. Ben Mosha, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya yapokea vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni 1.4

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni 1.4 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kutoa chanjo kwa akina mama na watoto dhidi ya magonjwa mbalimbali nchini.

Akiongea na waandishi wa habari Wizarani hapo, Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Neema Rusibimayila ameeleza kuwa vifaa tiba hivyo vitasaidia uhifadhi wa chanjo katika mikoa mbalimbali pamoja...

 

2 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAPOKEA TUZO YA NBAA

Wahasibu nchini wametakiwa kuzingatia viwango vya uhasibu vinavyotakiwa na kukubalika kitaifa na kimataifa wakati wa kuandaa taarifa za fedha kwa kuzingatia maslahi ya Taifa.
Wito huo umetolewa na Kamishna Msaidizi Sera, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Shogholo Msangi, wakati akikabidhi tuzo za Taarifa Bora za Fedha kwa mwaka 2015/2016, kwaniaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dotto James tukio lililofanyika katika Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC), kilichoko Bunju, nje kidogo ya Jiji...

 

3 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPOKEA BILIONI 210 KUTOKA JAPANI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile na Balozi wa Japani nchini Bw. Masaharu Yoshida wakibadilishana hati ya mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 210 kwa ajili ya mradi wa Umeme kati ya Tanzania na Kenya.Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile na Balozi wa Japani nchini Bw.Masaharu Yoshida wakisaini mkataba wa mkopo. Nyuma yao kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Omar Chambo, kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Seiji Kihara wakishuhudia...

 

4 years ago

Vijimambo

SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA ZAIDI YA SH. BILIONI 10 KUTOKA FINLAND

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akitia saini mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Balozi wa Finland nchini Bi. Sanikka Antila.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akibadilishana hati ya mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV waliosaini leo jijini Dar es...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani