Wolper awa kada rasmi wa CCM, mashabiki wamuita ‘Yuda Iskarioti’

Jacqueline Wolper, muigizaji aliyejipatia umaarufu mwaka jana kwa kuwa bega kwa bega na aliyekuwa mgombea urais kupitia tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa, amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi, CCM.

Wolper alitangaza kujiunga na chama hicho tawala Jumamosi iliyopita kwenye mkutano mkuu uliofanyika Dodoma ambapo pia Rais Dkt John Magufuli alichaguliwa kuwa mwenyekiti mpya.

Muigizaji huyo alishare kwenye Instagram picha ikimuonesha akimpa mkono Rais mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete kwenye mkutano...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

WOLPER AWA MGENI RASMI, MAHAFALI CHEKECHEA YA ST. MATHEW

Jacqueline Wolper akitoa hotuba fupi katika mahafali hayo. Akigawa vyeti kwa wahitimu.…

 

1 year ago

Malunde

OSHA YASISITIZA KADA YA USALAMA KAZINI KUTAMBULIKA RASMI

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unakusudia kuishawishi serikali na waajiri katika sekta binafsi hapa nchini kuitambua kada ya Usalama na Afya mahali pa kazi na kuiweka katika mfumo rasmi wa ajira.
Mpango huo uliwekwa wazi na Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA Bi.Khadija Mwenda, alipowahutubia wahitimu wa Kozi ya Taifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi katika hafla ya kufunga kozi hiyo Februari 23,2018 jijini Dar es salaam. Kozi hiyo pamoja na nyingine zinazohusu Usalama na Afya...

 

3 years ago

Bongo5

Kapombe awa shukuru mashabiki, afunguka namna alivyoumia msimu uliopita

Baada ya kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa mashabiki msimu uliopita, beki wa kulia wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amewashukuru mashabiki kwa kuonyesha imani naye na kumfanya awe mshindi wa tuzo hiyo.

IMG_8070_0

Nyota huyo ametwaa tuzo hiyo jana baada ya kujizolea jumla ya kura 203 kati ya zote 560 na kuwazidi wachezaji wenzake watano wa kikosi hicho, kipa Aishi aliyemuatia aliyepata kura 125, Farid Mussa (95), Ramadhan Singano (48), Himid Mao (45) na Pascal Wawa...

 

4 years ago

Mwananchi

Dk Mahiga kada wa 25 urais CCM

>Mwanadiplomasia mkongwe nchini, Dk Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais na kuahidi kuimarisha misingi ya Taifa na kutengeneza mwelekeo imara wa nchi kuelekea uchumi wa kipato cha kati.

 

4 years ago

Mwananchi

Kada aionya CCM urais

Zanzibar. Mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar Hassan Mussa Takrima (72) ameionya CCM kuwa itakuwa katika hatari ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu kama kitasimamisha “mgombea mwepesi, asiye na mvuto na asiyekubalika kwa wananchi”.

 

3 years ago

Mwananchi

Kada wa CCM aachiwa huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  imemuachia huru Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Thomas Ngawaiya aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kujenga hoteli kwa kutumia makandarasi wasiosajiliwa.

 

4 years ago

Bongo Movies

Wolper Aamsha Simanzi kwa Mashabiki Wake!!!

Kila mtu ana haki na uhuru wa kuandika au kuweka chochote kile anachojisikia kwenye akaunti zake za kwenye mitandao ya kijamii “social networks” ilimradi asivunje sheria za mitandao hiyo.Lakini uhuru na haki hiyo kwa watu mashughuri hali huwa tofauti kabisa unabisha?? Muulize Davido.

Turudi Kwenye Mada

Leo mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper” kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM aliweka picha hiyo hapo juu ya filamu ya NDOA YANGU ambayo...

 

2 years ago

Bongo Movies

Jackline Wolper Awapa ‘Kitchen Party’ Mashabiki

Mcheza sinema wa Bongo Movie, Jackline Wolper amewaasa mashabiki wake kuacha kusikiliza maneno ya kukatisha tamaa wanapojitafutia riziki kwa kuwa hiyo ni kawaida.

Jackline ameandika waraka mrefu katika mtandao wa Instagram akiwaasa mashabiki zake kuwa kama watasikiliza maneno ya watu hawatakamilisha ndoto zao.

“Basi leo nataka niwaambie kitu hakuna binadamu anayependa hivyo ulivyo na ndio maana unakuta wanazua mambo mengi ili wajaribu kukufanya ujione mdhaifu. Binadamu bwana wanaweza...

 

4 years ago

GPL

KADA CCM ASIMULIA ALIVYONUSA KIFO!

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza akiugulia. Makongoro Ogingna Issa Mnaly AJALI! Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza ,32, (pichani) amepata ajali mbaya katikati ya wiki iliyopita na kunusurika kifo. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Kibaha mkoani Pwani ambapo kada huyo alikuwa akitoka Morogoro kuelekea Dar es...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani