YANGA , SIMBA VUTA NIKUVUTE CECAFA

Na Agness Francis,Globu ya Jamii
WATANI wajadi Yanga Sc na SimbaSc wamepangwa kundi moja katika michuano ya Kombe la Kangame (CECAFA).
Simba na Yanga wamepangwa kundi C la michuano hiyo inayojumuisha timu 12 za Afrika Mashariki na Kati ambayo itaanza kutimua vumbi Juni 28 mpaka Julai 13 mwaka huu ambapo Tanzania watakuwa wenyeji wa michuano hiyo.Mashindano hayo yataonyeshwa kupitia Azam TV.
Michuano hiyo itachezwa nchini Tanzania kwa mitanange yake kupigwa kwenye Uwanja Mkuu wa Taifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Ni Bunge la vuta nikuvute

Mkutano wa pili wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unaendelea mjini Dodoma huku mambo kadhaa yakiibuka na kusababisha mgawanyiko wa Bunge kwa itikadi za vyama.

 

4 years ago

BBCSwahili

Vuta nikuvute kuhusu ‘selfie’ ya tumbili

Mpigapicha anayedai kumiliki ‘selfie’ ya tumbili kutoka Indonesia amesema atapinga jaribio la kumpokonya hakimiliki ya picha hiyo.

 

4 years ago

Mwananchi

Vuta nikuvute ya Burundi na historia yake

>Burundi nchi ndogo iliopo katika  Ukanda wa Afrika Mashariki, ilikaliwa na wakoloni wa Kibeligiji  na kujikuta ikipita kwenye jangwa la harubu na misukosuko mingi ikiwamo ya umwagaji wa damu.

 

3 years ago

Habarileo

Vuta nikuvute ubora wa sembe, dona

KUTOKANA na kuwepo kwa habari kuhusu uzalishaji usiokidhi ubora wa unga wa dona na sembe katika baadhi ya maeneo nchini, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetaka wazalishaji wa bidhaa hizo, kuzingatia taratibu zilizowekwa na mamlaka husika katika uzalishaji wake.

 

4 years ago

Habarileo

Vuta nikuvute ndani ya Bunge yamalizwa kistaarabu

BUNGE jana liliahirishwa kwa mara tatu mfululizo, kutokana na kutoafikiana juu ya mapendekezo yaliyotolewa dhidi ya wahusika wa sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa katika Benki Kuu Tanzania (BoT).

 

3 years ago

Mwananchi

Vuta nikuvute bungeni, Chenge ahairisha kikao

Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge amelazimika kuahirisha kikao cha Bunge mara mbili leo asubuhi baada ya wabunge wa upinzani kupinga hoja ya serikali ya kutorusha moja kwa moja shughuli zote za Bunge hicho kupitia TBC.

 

3 years ago

Mwananchi

CUF, Profesa Lipumba sasa ni vuta nikuvute

Dar es Salaam. Wakati Chama cha Wananchi (CUF) kikimtuhumu mwenyekiti wake wa zamani, Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kuchochea vurugu katika mkutano mkuu maalumu uliofanyika juzi, mwanasiasa huyo amesema mkutano huo umekiuka misingi ya demokrasia.

 

2 years ago

Habarileo

Vuta nikuvute yaendelea Pori Tengefu Loliondo

WANANCHI wanaoishi karibu na Pori Tengefu la Loliondo, mkoani Arusha wameileza Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa iliyopo chini ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kuwa eneo hilo la kilomita 1,500 ni nyeti kutokana na sababu za masuala ya mila huku wataalamu kwa upande wao, wakielezea umuhimu wa pori hilo kwa uhifadhi.

 

4 years ago

Vijimambo

Vuta nikuvute Bungeni, Spika Makinda ahairisha bunge

Spika wa Bunge Anna Makinda amelazimika kuahirisha kikao cha Bunge kilichoanza jana, baada ya vuta nikuvute iliyotokea  baada ya kutolewa kwa hoja binafsi kutoka kwa Mbunge na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia kuhusu jeshi la polisi kumshambulia Profesa Ibrahimu Lipumba jana akiwa kwenye maandamano .Akizungumza katika bunge hilo Mbatia amesema kuwa kitendo cha polisi cha kuwapiga raia wasiokuwa na hatia, kuwazalilisha waandishi wa habari na kupiga mabomu ya machozi kiasi cha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani