Yanga, Azam, Simba vitani

Pg 32 Okt 17NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

LIGI Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita katika viwanja tofauti huku Yanga ikiikaribisha Azam FC katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Yanga, Azam na Simba zitakuwa zikicheza kusaka ushindi katika mechi zao ili zijiweke katika nafasi nzuri katika mbio za kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara.

Yanga ina pointi 15 sawa na Azam lakini inaongoza kwa kupachika mabao 13 huku Azam ikiwa na mabao 9, hivyo kila moja itakuwa ikisaka ushindi ili kuongoza...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Azam, Yanga, Simba vitani

LEO ni vita ya namba. Baada ya mapumziko ya mwezi mmoja michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kutimua vumbi katika viwanja sita tofauti, huku Simba, Azam FC na Yanga kila moja ikiingia katika vita ya namba kusaka pointi tatu muhimu.

 

4 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo

>Miamba ya soka nchini, Yanga na Simba baada ya kushindwa kutambiana wiki iliyopita leo itasaka ushindi wa ugenini dhidi ya Stand United na Prisons huku mabingwa watetezi Azam wakiwa nyumbani kuwavaa JKT Ruvu.

 

2 years ago

Habarileo

Azam, Simba vitani

WAKATI Yanga tayari imetwaa taji la Ligi Kuu Tanzania Bara na juzi kukabidhiwa mwali wake, vita sasa imebaki kwa Azam FC na Simba kuwania nafasi ya pili na zile zinazopigania kutoshuka daraja.

 

4 years ago

Mwananchi

Azam FC, Yanga vitani

>Mabingwa watetezi wa Bara, Yanga na vinara wa Ligi Kuu, Azam leo wataendeleza mbio zao za kusaka ubingwa wakati watakapozikabili Prisons ya Mbeya na Mgambo Shooting ya Tanga kwenye viwanja tofauti.

 

2 years ago

Habarileo

Yanga, Azam vitani leo

YANGA na Azam leo zinashuka kwenye viwanja tofauti katika michezo ya Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.

 

2 years ago

BBCSwahili

Yanga na Azam vitani kesho

Timu za Azam na Yanga vitashuka katika dimba la taifa Dar es salaam hapo kesho katika mchezo wa fainali.

 

2 years ago

Habarileo

Yanga, Azam FC zarejea vitani leo

YANGA na Azam zinarejea tena kwenye kinyang’anyiro cha Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara leo baada ya kumaliza mechi zao za kimataifa na Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF). Yanga iliyofuzu Raundi ya Pili ya Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kuitoa timu ya APR ya Rwanda na pia kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la FC kwa kuifunga Ndanda FC ya Mtwara Alhamisi wiki hii, leo itaikaribisha timu isiyotabirika ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

5 years ago

Mwananchi

Azam, Simba zaingia vitani Mapinduzi leo

>Wawakilishi wa Tanzania Bara Azam na Simba, leo watarusha kete nyingine ya kusaka tiketi ya kucheza nusu fainali wakati watakapozikabili Cloves Stars na Chuoni za Zanzibar.

 

7 months ago

Michuzi

AZAM FC, SIMBA SC VITANI KESHO UWANJA WA TAIFA

Na Agness Francis,  Globu ya jamii MABINGWA Afrika Mashariki na kati Azam FC watakuwa wageni dhidi ya vinara aa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sc katika mchezo wao wa 2 mzunguko wa 2.
Mchezo huo  utakaorindima kesho  katika  dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni.
Akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi zao Mzizima jijini Dar es Salaam, Msemaji Mkuu wa Azam FC Jaffary Iddy Maganga amesema wapo vizuri katika kumkabili mnyama Simba na kuhakikisha wanaondoka ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani